Ndugu zangu katika bwana natumai mu wazima,kama kichwa kinavyo jieleza nipo karibu na mgodi Wa acacia gold mining sasa kuna fursa za vijana zimetolewa kwa mwenye wazo la kampuni atapewa support...
Wadau,
Mimi nawaza badala ya kuwa tunajadili fursa mbali mbali tu kiujumla. Kwanini tusiwe tunaonyesha mfano mtu yupo Mbeya au Kahama anatujajia bei ya mchele pande hizo? Mtu ambaye yupo Singida...
Naleta kwenu wazo la biashara.Naomba mtu ambae anaweza akapata soko la uhakika la ukwaju wa asili tufanye kitu cha maana kuna sehemu nimepita nimekuta upo wa kutosha.
Nikajiuliza akina Azam...
Habarini wanaJF,poleni na majukumu ya kila siku.
Nahitaji kufungua akaunti (saving A/c) Azania Bank, ningependa kufahamu gharama za uendeshaji kila mwezi, vile gharama za kutoa pesa ATM na kwa...
Kutokana na punguzo la Black Friday nilikua napita online niagize saa. Nimetembelea baadhi wa tovuti maarufu hapa Africa mojawapo ni hii Kikuu.
Tokea nimejua online market mpaka jana...
Nampa ushauri wa bure mchimbaji wa madini Laizer. Ushauri usichukuwe pesa na kukimbilia kujenga. Majengo Tanzania yanatumia pesa nyingi kuliko yanavyoingiza.
TSH: 7.7B
Kodi makadirio: 25%: TSH...
Naomba kuuliza jamani nataka kuanza biashara ya kufanya service za magari, anaejuwa vitu vya au vifaa vinavyo hitajika kuanzisha hii biashara. Munielewe sio GERAGE.
Nitashukuru kwa yoyote mwenye...
Tunafahamu kwamba mtu yeyote yule au taasisi inapokwenda kuchukua mkopo bank au kwa mtu lazima kwanza kuwe na makubaliano. Makubaliano hayo ni pamoja na dhamana ya kitu fulani.
Je, taifa lolote...
Propaganda za hawa jamaa zimekua nyingi sana mara ooh nilikua professor wa chuo kikuu but now nimeacha hii fursa ndo imenifanya nikaacha kazi
Mara oooh nilikua masikini leo namiliki range rover...
Habari zenu wakuu,
Nina rafiki yangu kutoka nje, anatafuta madini ya Almasi sio kwamba anataka mengi lakini vijiwe tu kadhaa.
Kiukweli Mimi si mjuaji wa Mambo ya madini. Nahitaji kufahamu kwa...
Habari zenu wadau,
Poleni na kazi na mihangaiko ya maisha. Ninayo furaha ya kuwashirikisha kwenye Jambo la manufaa na lenye heri.
Kama Kichwa Cha habari kinavyosema, nahitaji watu jinsia zote...
Habari wapambanaji wenzangu ntafurahi kujua mko poa na mnaendelea na majukumu ya kimaisha.
Labda wale wa mpaka mwiaho wa mwezi Leo wamepumzika ila wajanja wanaendelea na side hustle.
Jumamosi ya...
Wakuu nimekuwa nikipambana kila leo kufikiria natoka vipi ilhali elimu yetu bongo haina msaada wowote(tunakaa na vyeti ndani). Kuna biashara nilikuwa nafanya mkoa fulani kwa takribani miezi 6 toka...
Serikali yetu ya awamu ya 5 inawajali sana wayonge na maskini na inahitaji watu watajirike na waondokane na umasikini lakini nauliza tu kwanini Serikai haiku ruhusu haya mawe yauzwe kwa mnada ili...
Kitu nimechogundua katika safari yangu ya maisha baada ya ku experience vyote viwili kwa muda mrefu, ni kwamba kuna tofauti kubwa ya wasomi hasa watumishi na wafanya biashara. Miongoni mwa tofauti...