Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wana JF! Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, nipo mwaka 3 moja kati ya vyuo hapa nchini. Lakini moja kati ya vitu vinavyoniumiza hapa duniani ni pale ninapoishiwa hela ya matumizi na...
2 Reactions
76 Replies
9K Views
Habari wana JF Mimi ni mwanachuo katika chuo kikuu cha st Joseph kipo mbezi kimara,Dar es salaam. Nahitaji partner .ambae tunaweza kufanya biashara pamoja ya kuuza mafuta ya alizeti kwa sababu...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Nataka kufanya kazi za kutengeneza fanicha za chuma nahitaji mtu wa kushirikiana nae. Aliye tayari tunzungume tafadhali. Niko Dar - Kawe
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau naomba wenye data kuhusu biashara ya mafuta ya alizeti wanijuze. The following should b included. 1.upatikanaji wake i.e location 2.Market yake kwa hapa Dar 3.Profit margin ikoje Thanx...
0 Reactions
98 Replies
55K Views
Habari wana JF, kwa wazoefu naomba msaada kuelekezwa namna ya kuijaza adress Fomu ya ALIEXPRESS kuna parcel nahitaji kuiagiza uko mtandaoni sasa nimekomea apa. 1. STREET ADRESS ni adress ya posta...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Faida za Ajira: 1. Uhakika wa kipato kwa kila mwezi. Haijalishi hali ya uchumi imepanda au imeshuka, kipato kinabakia palepale. 2. Uhakika wa matibabu kupitia BIMA YA AFYA. 3. Kupata connections...
5 Reactions
49 Replies
19K Views
Sina Takwimu za uhakika za idadi ya Wafungwa Nchini ila nina imani kabisa katika Magereza yetu tunaweza kuwa na idadi ya Wafungwa ambao wanaweza kuzalisha bidhaa mbalimbali na kuchangia katika...
2 Reactions
5 Replies
739 Views
Natambua kwamba kama taifa tunao wataalamu wa fani mbalimbali. Natambua pia kwamba "Sciences" katika ujumla wake ni msingi wa mafanikio katika taifa lolote. Kwa msingi huo basi naonelea itakuwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, ninaomba kujuzwa kuhusu biashara ya usafiri je ni biashara gani kati ya hizi. 1.Biashara ya mabasi ya mikoani, hii itakuwa inahusu mabasi ya abiria wa mikoani, ninaomba mnijuze...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Baada ya kuwa tumekashinda kagonjwa ka Corona, hivi maenesho ya Biashara al maarufu Saba Saba mwaka huu yapo?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Niaje wadau. Kuna kampuni imekuja kutangaza kuwa inauza viwanja Mlandizi. Ikatoa na ramani na inasema unaweza kulipa kidogokidogo ndani ya miezi 18 unatakiwa uwe umemaliza. Sijawahi kufika huko...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
How to Invest on the Dar es Salaam Stock Exchange If you really want to invest at the furthest reaches of Africa’s frontier markets, the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) is for you. The little...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wana jf. Leo nimeamka na wazo la kufungua pub. Na safari yangu ndio inaanza kama ifuatavyo. Kwa wale wazoefu ningeomba mnisaidie list ya vinywaji vyote vinavyotakiwa kwaajili...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu Kama kichwa kinavyosomeka nahitaji ushauri nataka kufungua kampuni. Naomba hasa ushauri ni kampuni gani itanilipa endapo nikifungua kwa mtaji wa 30mil namaanisha niisajili itambulike...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ishu yako inategemea mambo mawili makubwa 1.Mazingira uliyopo 2.Mtaji Mf ukinunua boda boda 2 ukawapa vijana kwa siku utapata 14,000/= boda 2 kuzinunua ni 4.8m -TVS Ukifungua saloon 2 za kiume...
13 Reactions
83 Replies
15K Views
Wadau kama mnavyojua kizazi hiki kimesheheni fursa kibao za mtandaoni ikiambatanishwa na urahisi wa kutuma na kupokea pesa. Ila kwa bahati mbaya Tanzania tupo nyuma sana yani kwa lugha nyepesi...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna biashara nataka kufanya naombeni mnielekeze njia za malipo kwa watu walio nje katika nchi nilizotaja, nawezaje pokea malipo kutoka kwao, njia zipi nitumie, kuuliza si ujinga.
0 Reactions
3 Replies
978 Views
Nimeona simu nzuri AliExpress za Xiaomi wanauza nimevutiwa kuzinunua maana bei ni rhisi kiasi naomba mwenye uelewa wa jinsi ya kuzinunua na kuzipata nikiwa Tanzania. Je vipi ubora wake? Je...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jaman naombeni kuuliza unaweza kulipia BRELA baada ya kumaliza process zote
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini wana JF, naomba kufahamishwa aina ya sabufa inayodumu kwa muda mrefu na yenye mziki mnene. Nimefanikisha vihela kadhaa hapa sasa sijui nichujue aina gani. Pia kama ukiniwekea na kabei...
3 Reactions
21 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…