Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu, Wakubwa, Wakulungwa. Kwa upepo huu wa korona na sisi tunaolima mazao ambayo yanategemea soko kutoka nje ya nchi, mwaka huu kutakuwa na neema kweli kama mwaka Jana.? Au tujiandae...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani tuelimishane kuhusu hii mikopo ya mabenki maana watu tunashindwa kurejesha na dhamana zetu zinaishia kupigwa mnada. Nahisi kuna tatizo la uelewa wa hizi riba. Riba ya mkopo ni 17% of...
3 Reactions
67 Replies
18K Views
Kansela Rishi sunak amesema, takwimu zinaonyesha kuwa hali imekuwa mbaya sana kwa uchumi wa taifa hilo kutokana na mripuko wa virusi vya corona. Deni la taifa hilo kwa sasa lenye kiwango cha...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ningependa kujua changamoto mbalimbali zinazo weza kutokea katika ukusanyaji na usafirishaji wa mazao ya kilimo kama vile mahindi, maharage au mpunga maana ni biashara ninayo panga kuifanya pindi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
leo nilikua kwa rafiki yangu anauza nguo mjini anatembea na ndulele mfukoni anasema inamsaidia sana. wakuu kunaweza kuwa na ukweli wowote kwenye jambo hili?
0 Reactions
15 Replies
13K Views
Wana Jf poleni na majukumu mbalimbali ktk ujenzi wa Tz yetu. Mimi nilikuwa muajiriwa wa serikali ktk Idara ya Afya. Nimekuwa ktk ajira kwa kipindi kirefu zaidi ya miaka 20, serikalini na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Tumaini langu wote ni wazima. Kama kichwa cha habari kinavyo someka nahitaji kufanya biashara ya kuuza samaki pale soko la Kilombelo Arusha kama kuna mtu mwenyeji au mwenye ndugu, jamaa ama...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Mimi ni mwanafunzi ambae namalizia elimu yangu ya biashara CBE ila kwa sasa siitaji tena kuendelea na masomo naitaji kuanzish biashara yangu binafsi na biashala ninayo taka kufanya ni biashara ya...
2 Reactions
37 Replies
7K Views
Kama na wewe ulikuwa hujui, ngoja nikujuze! Katika kumsindikiza rafiki yangu mgeni; mfanya biashara toka Dubai, Ambaye anataka kuweka duka moja la vifaa na simu kariakoo; Tulibahatika kupita...
3 Reactions
32 Replies
14K Views
Mara ya kwanza nilikuwa napost hapa kwa walioajiriwa but hawalipwi mshahara na kuamua kujiongeza twende point Nimejiongeza na hitaji kujenga location Kigambon wenyeji nikaribisheni ni sehem gani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau salamu kwenu. Naombeni kujua nitawezaje kujua kampuni halali ya kufanya malipo online. Niliwahi kununua kitabu online nilikoma. Majamaa wakaendelea kukata hela kwenye akaunti yangu kila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau Nafikiria kufanya biashara ya namna hii. Yaani nachukua bidhaa kama nguo za watoto. Simu ndogo hizi na accessories zake. Nazunguka kwenye masoko na vijiwe kuvinadi kwa kutumia mziki...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari Ninatafuta mawasiliano kuhusu viwanja vya Pongwe 2, Bei, Ukubwa.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
What’s stopping your from getting rich, or from becoming richer than you already are? Well according to Tom Corley, my good friend and co-author of my book Rich Habits Poor Habits, it’s likely to...
5 Reactions
5 Replies
992 Views
Tanzania criticises Moody's for negative rating outlook Credit: Reuters - Tanzania criticises Moody's for negative rating outlook DAR ES SALAAM, March 5 (Reuters) - Tanzania criticised Moody’s...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Biashara ya Home delivery inachangamoto sana hasa wateja wanapo kuwa ni Wabongo wenzetu. Inahitaji moyo sana kufanya hii biashara na wabongo make kuna changamoto sana. Changamoto kubwa sana ni...
22 Reactions
73 Replies
9K Views
Salaaam. Usimwamini ndugu yako kwenye kuweka akiba. Maisha ni kuishi na ili uishi vizuri unatakiwa utimiziwe maitaji au ujitimizie mwenyewe. Kuweka akiba ya pesa na thamani ni moja katika...
16 Reactions
142 Replies
15K Views
Habari wanaJamiiForums Nirudi kwenye Mada husika. Mimi ni mwanachuo kilichopo Dodoma nipo mwaka wa kwanza. Sasa hapa nilipo nilikuwa nina milioni tatu lakini natamani zijizalishe ili...
2 Reactions
21 Replies
8K Views
Wakuu, Miongoni mwa biashara zinazozingua na kuwapa presha ya kupanda pamoja na vidonda vya tumbo wamiliki ni biashara ya vyombo vya usafiri (Uber, Bajaj & Bodaboda). Hii ni kutokana na madereva...
6 Reactions
5 Replies
4K Views
Kutokana na leo 16.06.2020 Rais JPM akilivunja bunge, ametangaza shule zote zitafunguliwa 29.06.2020 zilizokuwa zimefungwa mnamo April 17 kutokana na ugonywa wa covid 19. Hivyo wenye stock za...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…