Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kwa wasio yajua, au pengine unayajua lakini hujui kama ndio nayazungumzia. Ni haya picha. Yanakua ya urefu wa 8Ft na upana wa 4ft, Unene wa 12mm au 18mm Naomba Wazoefu ya haya ma Board, au...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
AINA YA UCHIMBAJI Unaweza kuchimba dhahabu kama: 1:Mtu binafisi 2:Kikundi 3:Ushirika 4:Kampuni A: MTU BINAFISI Hapa wewe ndiye utakuwa mkurungezi (boss). Gharama zote za uchimbaji utahusika wewe...
2 Reactions
3 Replies
5K Views
Naomba kufahamu iwapo unapokata bima ya trekta na tela linakatiwa bima yake. Au tela halikatiwi bima. Iwapo linakatiwa bima, ni kiasi/gharama gani kwa mwaka. Bima ya kawaida (third party). Sent...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau, Naomba muongozo wa namna mnavyosafirisha mizigo kwa wateja wenu nchi za jirani kama Malawi, Zambia, Kenya Zimbabwe na Congo! Na ningependa kujua kama mnatumia haya mabasi ya falcon au...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni Kijana mwenye bachelor yangu ya IT lakini nimeamua kujikita kwenye biashara ya ununuzi wa mazao kama soya, ufuta na mahindi kwa kipindi hiki cha mavuno kutokana na kuwa na uzoefu na...
5 Reactions
75 Replies
7K Views
Habari Tanzania ! Kwa wale wapenda biashara na fursa mijini. Kuna biashara nzuri sana waweza ifanya wateja wako wakiwa wanawake marika yote. Technology haijamuacha mwanamke au wadada duniani...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanandugu msaada tafadhali. Ninafanya biashara Kariakoo duka la nguo za kiume na nimewekeza pesa nyingi Ila mambo hayaendi kabisa tatizo limeanza baada ya Corona maana nimeanza biashara mwezi wa...
5 Reactions
60 Replies
14K Views
Natumai tuko salama,baada ya kuishinda cvd19. Huu usemi wa "masikini akipata matako hulia bwanda". Sijui unamaanisha nini?mtanifahamisha wahenga. Ila ninachojua mimi, mtu baada ya kuishiwa pesa...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Najua sio wote, ila hii kasumba ipo sana, Nimeshuhudia hili kwa wafanyabiashara wengi. Japo nikiri kuna wengine wapo fair sana. Unamuulizi bidhaa kama ikatokea hana anakujibu vizuri sina, njoo...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22, nimemaliza Elimu ya Secondary mwaka 2017. Nashukuru nilipata ufaulu mzuri ila sikuweza kuchaguliwa hvyo kutokana na uchumi sikuweza kuendelea na masomo bali...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Napatikana( Simanjiro) mji mdogo wa Orkesumet natafuta mtu mwenye mtaji tufanye biashara ya mazao kipindi hiki cha mavuno, mazao ya Mahindi na Maharage. Mawasiliano zaidi ni 0688057418 na 0757057873
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika miaka mitano iliyopita, idadi ya watumiaji wa simu katika eneo la Afrika, Kusini mwa Jangwa la Sahara imeongezeka mara dufu. Kwa mujibu wa GSMA (Shirika la Kimataifa la Makampuni ya Simu)...
0 Reactions
1 Replies
765 Views
Nchini Tanzania, kama ilivyo katika maeneo mengine duniani teknolojia imeleta maendeleo na mabadiliko makubwa kwenye jamii. Hakuna shaka yoyote kwamba teknolojia imebadili namna na kasi ya...
0 Reactions
5 Replies
813 Views
Habari zenu wana JF Nataka kufungua duka la samaki hasa wale wanaotoka ziwa victoria but nina changamoto kadhaa. Kwanza sijawahi fika Mwanza kabla na pia sijui upatikanani wa samaki hao kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu. Wakuu naomba tufahamishane benk yenye ac ambayo ukiweka hela baada ya muda Fulani wanakuongezea kiasi. [emoji120][emoji120][emoji120]
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za muda huu wakuu. Katika hali ya kupambana na maisha, siku chache zilizopita nmepata nafasi ya kuingia jijini Mbeya kwa lengo la kutafuta namna ya kujikwamua kiuchumi. Hivyo basi naomba...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Habari Tanzania ! Napenda kutoa wazo la uanzishwaji wa kiwanda kidogo cha utengenezaji magodoro rahisi na rafiki. Bidhaa ya godoro itakuwa ni nafuu kwa mteja au wateja utakao walenga. Haya...
2 Reactions
33 Replies
6K Views
Biashara za ahadi ya malipo ya tarehe fulani (Promissory Notes). Kwa wabongo ni sumu usijaribu huwa hawajali muda! Hii kitu imenisababishia headaches mpaka sasa nimekwama. Kuna watu nimewauzia...
17 Reactions
72 Replies
6K Views
Jana waziri wa fedha Mh Mpango amesema serikali imeingia mkataba na mashirika ya ndege ya nje mfano Rwandair na Ethiopian Airline kuweza kusafirisha minofu ya samaki kutokea Mwanza na mbogamboga...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Habarini wana jamvi, natafuta mashine ya kumwagilia water pump, inayotumia mafuta na petroli, (IWE MPYA) Kwa mwenye nayo au anafahamu wapi naweza pata, naomba an pm natanguliza shukrani
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…