Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Benki Kuu ya Tanzania tafadhalini ingililieni kati madeni ya watu wanayodaiwa na benki kwa muda hata wa miezi 3 tu. Kuna mameneja wa baadhi ya bank sio waminifu hawataki kuwasikiliza wateja wao...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wadau wote humu ndani. Naombeni msaada wa kimawazo. Ni mbinu zipi nitumie kufikia malengo ya kufungua biashara yangu mwenyewe (kujiajiri) Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
6 Replies
920 Views
Watu wachache wanalaumu hatua zilizochukuliwa Tanzania kwenye kupambana na Corona, wengine wanafikiri serikali inapaswa kufungia wananchi ndani (lockdown). Wananchi wanafikiri Uchumi wa Tanzania...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Leo tutaenda kujadili concept moja muhimu sana kuifahamu kama wewe ni mfanyabiashara au mjasiriamali (au unatamani kuwa). Je, ushawahi kujiuliza bidhaa yako au huduma yako inagusa eneo gani la...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini wana jf, ningependa kutoa ushauri kwa mitandao ya simu waweze kuweka options ya mtu ili aweze kublock namba yake pale anapopata na matatzo hata kama hana line yake hapo alipo hii...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Naweka swala langu hapa nikiamini sijakosea. Shida yangu kubwa ni namna yakuifanya 2.0Mil ianzishe na kusustain biashara. Shortly; mimi ni kijana nipo dodoma, nilikua nafanya kazi sehemu flani...
9 Reactions
119 Replies
19K Views
Habari wakuu, Poleni na mapambano dhidi ya Corona, mapambano ya kutafuta riziki na poleni kwa mfungo kwa wale waliofunga. Kichwa cha uzi kinajieleza, katika kipindi hiki cha mfungo nataka nifanye...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Je kunauwezekano mtu binafsi kufungua kampuni inayofanya kazi Kama za Tbs?, Ili kazi zinazofanywa na Tbs ziweze kufanywa na kampuni binafsi?. Utaratibu ukoje?.Naombeni mnisaidie mi niko huku...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nimeanzisha biashara ya kuuza sabuni na sukari kwa kusambaza majumbani kwa zaidi ya nusu mwaka.Sasa kwa naona mahitaji yameongezeka mno, hivyo natafuta supplier (Dealer) mwenye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Biashara Ya forex Trading (Foreign exchange market) inakuja kwa kasi sana nchini kwa sasa Wa Tanzania wengi wamekumbana na changamoto kubwa ya kupata waalimu wenye sifa stahiki kuwafundisha forex...
21 Reactions
137 Replies
22K Views
Toka kuingia kwa virusi vya coronavirus nchini njia mbalimbali zimechukuliwa na zinaendelea kuchukuliwa kuzuia kasi ya maambukizi.Taasisi za elimu zimefungwa, hoteli mbalimbali, mikusanyiko...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau, kama nilivyoeleza hapo juu. Biashara nyingi zimekuwa ngumu sana hasa kipindi hiki cha Corona. Tushauriane jamani biashara gani zitafaa kipindi hiki. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Huu ni ushauri kutoka kwa rafiki yangu. Hello JamiiForums, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26. Nimeajiriwa na vilevile nina biashara yangu binafsi, lakini nina ndoto za kurudi shule ambayo...
6 Reactions
102 Replies
13K Views
Habari za jioni. Naomba kuuliza kama kuna mtu anaejua mtu au mahali wanapofundisha kuhusu mambo ya tender bidding and preparation na gharama zao na contact zao please Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jana tuliona kwamba mzunguko wa fedha ndio damu ya biashara yako. Kama mzunguko huu usipokuwa vizuri basi biashara yako itadhurika. Na kama mzunguko huu utasimama basi biashara nayo itakufa...
5 Reactions
140 Replies
55K Views
Habari zenu wanazengo, naombeni kupata ufafanuzi kidogo kuhusu iPhone zinazouzwa madukani makumbusho dar...nilikuwa nataka kununua ila nikafanya utafiti kidogo wengi wakaniambia nenda makumbusho...
5 Reactions
93 Replies
20K Views
Habari wadau. Naomba mtu mwenye ujuzi wa kutengeneza Tambi za Kula (Spageti) bila mashine maana Mwezi Mtukufu unakaribia. Kuna kipindi niliona pale Buguruni wanatengezeza.
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau... Nimekutana na habari ya Nancy Lema wa Mwanza nikaona ku-share nanyi wadau mtoe maoni.. je binti yupo sahihi au wrong? Kafanya Shahada yake St Marys University of Minnesota na...
28 Reactions
426 Replies
53K Views
Kutokana na Covid19 makampuni mengi yametangazwa bei zake kushuka kwa kasi, hasa nchi zilizoendelea. Kushuka kwa hisa mambo kadhaa kwa wanunuzi wa hisa, lakini pia huashiria kitu kwa kampuni...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu nilikuwa najaribu kupitia mitandao ya mabenki mbalimbali ya hapa nyumbani kwetu TZ na nimekutana na hii kitu inaitwa HABA na HABA akaunti ya watu wa Exim Bank. Nimeona inaweza kuwa ya msaada...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…