Kuna baadhi yetu tunaowaza kujenga kwa ajili ya familia. Kununua viwanja kwa ajili ya familia. Kunununua mashamba kwa ajili ya familia. Ni jambo jema sana ila tunasahau kuwekeza kwenye digital...
Habari za saa hizi wanajamvi we zangu.
Nilikuwa na wazo la kufungua biashara ya kuundumi wateja wanaoitaji pesa (Kutoa) na kuweka kwa upande wa mabenki yani NMB Wakala, CRDB Fahari Huduma na nk...
Nili apply TILL ya M-Pesa mwaka jana mwezi wa 6 kwenye duka la Vodacom desk nikaambiwa baada ya miezi mitatu kutokana na umbali wa duka nlienda kuangalia kama tiari nianze biashara nkaambiwa...
Jamani, nahitaji kwenda kukopa pesa CRDB vigezo na masharti yao ni yapi? na kama nina account na haijatumika muda mrefu naweza kupatiwa mkopo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Je, katika wakati huu wa hili gonjwa umeona fursa gani? Zingatia yafuatayao:
Endapo serikali ikiamuru kila raia avae barakoa, hii inamaanisha kwamba wafanyabiashara waanze kujiimbikizia makontena...
Habari wazee,
Nimeshafanya mazoezi ya kutosha nataka kuanza kutrade, Nahitaji kujua ni Broker yupi anafaa. Sihitaji matapeli au wahunihuni.
NB nimejaribu Kusignup kwa baadhi, ila naambiwa nchi...
Kadi kibao za watumishi zinazotumika kama dhamana. Hawa Wakurya wana mpaka mashine za uwakala wa mabenki. Mtandao wao ni mkubwa, Mtwara walikamatwa wanaendelea kama kawaida now.
Sent using Jamii...
Hbr ndugu.
Nimeshalipa frame sehemu ambayo imechangamka na haina maduka mengi ya mtindo huo.
Naomba ushauri mtaji wangu si mkubwa sana ni vitu gani vya muhimu vinavyotoka sana ili nianze navyo...
Naomba kufahamu kama biashara ya sigara za rejareja na vocha maeneo kama stend hivi inalipa?
Wataalam naomba ufafanuzi au tujadili kwa mapana kidogo.
Nina mtaji wa shilingi laki 2 utafaa...
Katika kipindi hiki cha ugonjwa wa corona, ambapo wengi wetu tupo nyumbani, moja ya changamoto kubwa tunayokutana nayo kununua mahitaji ya kila siku ya nyumbani kama vile vyakula, mboga mboga na...
Mimi nimekuwa nikinunua magari mtandaoni kutoka Japan,lakini mara nyingi nimekuwa nikikutana na changamoto za hapa na pale na pia nina jamaa zangu na marafiki zangu wametapeliwa kwa njia tofauti...
Wadau kinauzwa kiwanja Morogoro mjini nyuma ya petrol station ya Oryx ambayo inatazamana na Hospitali kubwa ya Morogoro..Kina ukubwa wa Square feet 8500 na kina jengo la ofisi kama 10.Kinafaa kwa...
Baada ya zoezi la kubadili laini kwenye mfumo wa alama za vidole imepelekea Tigo kupoteza wateja wengi na hii kwavile udhaifu wa huduma zao kwa upande wa vifurushi, kusema ukweli Tigo tunatumia...
Wandugu; ukisoma taarifa kutoka nchi mbali mbali utakutana na habari zinazoelezea hatua zinazochukuliwa na serikali za nchi zao kupunguza makali ya athari za corona.
Hebu jisomee hapa:
How...
Kama una PC tufanye Partnership.
Mimi unajishughulisha na Video Library ni biashara ambayo haijaathiriwa na Corona hata kidogo zaidi Covid nndio imeongeza soko kwa watu kukaaa nyumbani na...
KIMOMWE MOTORS LTD WAAGIZAJI WA MAGARI KUTOKA NCHI ZA JAPANI ,UK,DUBAI NA SINGAPORE .
MALIPO YA GARI NI AWAMU MBILI MFANO GARI MILIONI 12 UTALIPIA MILIONI 6 KWA MALIPO YA AWALI KISHA IFIKAPO...
Ninaishi Dar es Salaam na nina vifaa vya stationery vifuatavyo:
Photocopy machine 1
Printer 1
Lamination machine 1
Binding machine 1
Computer 1
Maelezo.
Vitu vyote hivyo kwa sasa havitumiwi...
Well hii thread ni kwa ajili ya wote tuliaoathiriwa kiuchumi directly na corona. Najua kila mmoja atakuwa ameathirika kwa level yake lakini nawaongelea wale waliopigwa pigo takatifu. Mfano...
Habari JF!
Nimekutana na mshikaji mmoja hivi ananambia kwamba biashara ni pasua kichwa na kashabadilisha biashara kama tano ndani ya mwezi huu.
Vipi mdau, je na wewe umebadilisha biashara ngapi...