Wakala wa VH.SHAH wauza sukari kwa bei "chee" kanda ya ziwa
WAKALA na msambazaji mkubwa wa sukari katika mikoa ya kanda ya ziwa VH. Shah, ameendelea kuuza sukari katika mikoa hiyo kwa bei elekezi...
A friend of mine aliguswa na makala yangu ya biashara ya nafaka kwa wenye mtaji mdogo. Alipoguswa akaamua kuingia kwa akiba yake ya TZS 10M aliyokuwa nayo benki.
Akanunua gunia 300 kwa wastani wa...
Nasikia Azam sasa hivi hali mbaya. Economy ni 20,000 badala ya 25,000.
Kuna chombo kinaitwa Zanzibar One hii ni noma inakimbia hatari, one hour Zanzibar to Dar es Salaam halafu chombo kimetulia...
Basi Ndugu zangu naandika hii ili kuwapa umakini Na haya mambo ya Forex mwanzo nilifanya Forex kupitia Templer FX nikapoteza Pesa nyingi Na BoT ilivyoingilia ikabidi niachane nayo, then kwenye...
Kama kichwa kinavyojieleza, nimepata dharura leo nahitaji mkopo wa faster kiasi cha laki nne, ni taasisi ipi wanaweza kutoa mkopo kwa riba nzuri, dhamana ipo kadri ya mahitaji ya taasisi...
Salaam wadau!
Naandika kwa kifupi ili nieleweke na nisiwachoshe. Naomba wenye uzoefu na Tabora wanisaidie.
Mimi ni mtumishi ambaye nimeamishiwa huu mkoa kutoka Arusha, huko nilikuwa nafanya...
Wasalaam,
Nimekutana na matangazo ya ya vifaa vya kujikinga dhidi ya maambukizi ya covid19 nimechoka,
Barakoa 1@2000?
Sanitaiza 250ml@10,000?
Sanitaiza 100ml@5,000?
Sisi wenye vipato vidogo...
salaam wana jf.
Naomba usaidizi wa hii biashara ya kubeti nataka
kuifanya ila cjui pa kuanzia naomba Mwenye kujua
anisaidia .
Natanguliza shukrani kwa wana jf wote
Habari JF.
Kuna watanzania wengi wana pesa za kutosha na hawajui wawekeze wapi, Jibu ni hili Mtaani kuna graduates wengi wasio na mitaji na wana mawazo mazuri ya kibiashara.
Fursa ni kwako wewe...
Nauliza hivyo sababu niliona mzee wangu amepoteza pesa nyingi baada ya Bank ya Wakulima kufungwa kisa kufilisika na waliishia kupewa fidia ya million 1.5.
Je, nini huwa kinatokea kwa Fixed...
KWA MJIBU WA CHAT HAPO CHINI JE ALIYE BIDI AKAWINI ATAPATA INTEREST KIASI GANI KWA MWAKA?
Financial Markets
Treasury Bonds Auction Summary
Auction Summary
13.5% 15 Years Treasury Bond Number...
Wadau wa JF naombeni ushauri nataka kuanzisha program ya kukopesha ela kwa wajasiriamali tu ili kuinuana kiuchumi. Kama unajua njia sahihi ya kuanzisha hiyo program, hasara na faida zake naomba...
Mwaka 1879 Malkia aliyekuwa anaiongoza Ufaransa Bi Marie Antoniette aliambiwa wananchi wake hawana Mikate akajibu kwa kifaransa “Qu’ils mangent de la brioche” kwa maana ya kiingereza “Let them eat...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu
Katika siku za karibuni kumekuwa na habari nyingi kuhusu hatua mbalimbali zinazochukuliwa kupambana na kuenea kwa homa ya kirusi cha corona.
Wiki hii serikali ya...
Wakuu nipo Dar na kwa kweli nimeshuhudia mengi ambayo kiukweli ni fursa kubwa ya kupata pesa.
Kwa mfano nimeshuhudia Dar viazi mviringo vitatu tu tena vya ukubwa wa kawaida kabisa vikiuzwa kwa...
Kuna kitu kinaitwa CPI - Consumer Price Index; kuna udambwi dambwi mwingi sana wa kichumi lkn kwa lugha rahisi maana yake ni -> bidhaa na huduma zinazotumika zaidi kwa mwezi katika kundi fulani la...
Habari za majukumu wadau. Niwaulize, Ni ipi njia rahisi ya kutuma fedha kutoka South Africa kuja Tanzania? Imenilazimu kuuliza hivi kwa sababu kulingana na shughuli nizifanyazo inanilazimu kupokea...