Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Katika kipindi hiki kwa wale walio wekeza kwenye necessity goods au Bidhaaa muhimu basi wanaweza survive kwenye biashara. Bidhaa na huduma mihimu itabakia kuwa biashara ya mwisho kabisa kabla ya...
2 Reactions
0 Replies
658 Views
Nimeanza rasmi kusoma kwa undani issues za Stock Market (Forex, Commodities, Indices, Future nakadhalika) Nimepiga hesabu naona nahitaji at least miezi mitatu hadi nianze ku invest serious kwenye...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Sizioni sokoni siku hizi, Chibu pafyumu ndo zilijifia mapeeema, hata Mofaya ndo kabisaaa haijawahi kuzunguka kwenye bongo a huko kwenu zipo?
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakati dunia nzima iko locked down ikihaha kupambana na Corona virus TRA wao wanahaha kukusanya kodi wavunje rekodi, nimeshuhudia kampuni zikiandikiwa barua kua mwaka 2010, 2014, 2015 zilipeleka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa maoni yangu ni HAPANA: Wananchi wengi Tanzania au Africa kwa ujumla wana kipato cha chini ambacho utokana na shughuli za biashara ndogo ndogo hivyo kumzuia kutotoka nje ni sawa na kusababisha...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu, kama bandiko linavyo someka kuwa Bango dogo la biashara isiyozidi 300,000 linalipiwa barabarani? Kwa mwenye kujua anijuze. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika hustle za maisha huwa watu tunajaribu Biashara mbalimbali ili kuweza kufanikisha malengo yetu lakini wengi wetu huweka mitaji mikubwa pengine pesa za kukopa na mwisho wa siku changamoto...
29 Reactions
429 Replies
75K Views
Msaada Jaman Nina Mtaji Wa Elf 20 Je Naweza Kufanya Biashara Gan?
4 Reactions
31 Replies
15K Views
1. Jifunze kuweka akiba ya fedha 2. Tafuta mpenzi sahihi na tulia naye 3. Acha kuishi na wazazi au kupanga nyumba na washikaji 4. Achana na starehe zisizo na maana 5. Jali sana afya yako 6. Kuwa...
17 Reactions
43 Replies
7K Views
Habari jukwaani humu ni mara yangu ya kwanza kusafiri kuelekea Mtwara lengo likiwa ni biashara tafadhali. Naomba msaada wa kupata hoteli nzuri iliyo katikati ya mji kuanzia sh. 30,000 mpaka 40...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari za Jumapili waungwana. Kama kichwa kinavyojieleza, naomba kujuzwa ni mkoa gani mzuri kwa ajili ya ufugaji wa kuku wa mayai. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wadau, Mimi nipo Masasi Mjini na kwa muda huu ndo msimu wa choroko umeanza. Jamani, kama kuna mdau yeyote anataka kununua choroko kwa bei poa aje. Choroko zinalipa. Sent using Jamii...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Natamani nijue aina gani ya blog ambayo ni lazima kujisajili TCRA, najua wajuzi mpo. Nahitaji maelezo machache ndugu zangu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi nafanya kazi hotelini lakini natamani sana kwa sasa niache hii kazi nikafungue kazi zangu ndogondogo, ahsanteni sana. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu hii sarafu ina thamani yoyote? Nimeikuta kwenye mfuko wa shati nililonunua mtumbani. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari zenu. Wanauchumi na wadau wengine wote humu ndani.. Naleta mada hii kwa misingi ya kutaka kuelewa, kama nchi inaweza Ku print noti mpya. Kwanini inakopa pesa? Kwanini ina madeni kama...
12 Reactions
89 Replies
16K Views
Katika mifumo yangu ya maisha nilijikuta tu napenda mambo ya wamerekani weusi, nlikuwa napenda uvaaji wao "CASUAL" napenda namna wanavyochukulia maisha poa poa, kiasi kwamba nikajikuta na mm navaa...
2 Reactions
3 Replies
756 Views
Ndugu wafanyabishara na wajasiriamali wenzangu poleni kwa magumu yanayokumba biashara zenu hasa kipindi hiki Cha Corona virus. But on other side nipende kuwapa pongezi wajasiriamali wengine...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau, Hivi gharama za kuagiza Probox kutoka Japan kuja Tanzania inaweza kugharimu bei gani, transport fee and custom, mpaka gari linakabidhiwa mikononi mwako unatakiwa kuwa na pesa ngapi? Sent...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Maendeleo ya teknolojia yanatokea kwa kasi kubwa sana. Lakini kasi hii ya maendeleo na ukuaji wa teknolojia, pamoja na kuwa na manufaa kwa watumiaji wake wa mwisho, yamekuwa na maumivu makubwa...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…