Habari wa JF!!
Kila nikipitia makala mbali mbali huwa nakutana sana na maneno haya "Uhujumu uchumi na Utakatishaji fedha".
Naulizia haya maneno yanamaana gani na yanatumika kwa kitendo gani...
Wakuu habari
Natarajia kuanza biashara ya kuuza kuku wa kienyeji, kuwatoa mikoani na kuja kuwa uza hapa DSM.
Ni mgeni kwenye hii business, kwa watu wenye uzoefu naomba mnijuze soko lipo wapi kwa...
Nimesoma hii makala sehemu moja huko kwenye intaneti nikasema sio mbaya kama nikiitafsiri ili iweze kueleweka kwa wote, pia nimebadilisha baadhi ya mifano kuendana na mazingira yetu, maana...
Habari,
Naombeni tujadili jambo hili kwa kina maana linagusa maisha kwa ujumla.
Katika mfumo wa utaftaji ni jambo linalohitaji mtu kuwa na nguvu flani. Kwa hali ya mazoea zipo nguvu za kidini na...
Makumbusho Panafaa kwa ajili ya biashara gani kati ya hizi mbili:
- Duka la mahitaji muhimu
- Phone accessories Mchanganyiko +Ufuni simu
Au maji ya jumla?
Wazoefu wa biashara naomba Mchangie...
Aje washika dau???
Nimekaa najiuliza kuna wasanii walikuja na bidhaa kede kede lakini zimeishia wapi ama wana fail wapi?
King kiba alikuja na energy drink (more fire)mwana FA (perfume),Diamond...
Asalaam wakuu, poleni na janga la korona popote mlipo.
Kwa kifupi nipo kijijini na mtumishi, nauliza kwa mwenye uzoefu wa hizi mashine za kukoboa na kusaga, changamoto zake na bei zake na...
Jaman poleni kwa kazi.
Mimi ni kijana mwenye hamu ya kufanya biashara ya kuuza viatu minadani.
Changamoto niliyonayo ni kwamba sijui Bei ya mabelo ya viatu pia sifahamu yanapopatikana hasa kwa...
Siku hizi 5 nikiwa napita usiku naona wanarudishia rangi kwa zebra! Bagamoyo road na Mwaikibaki Rd. Kama ni msaada waendelee ila kama serikali inawalipa basi naona huu ni ujinga na viongozi pia ni...
Salaam,
Naomba kwa yeyote mwenye kufahamu suala la biashara ya usafirishiji abiria wa kutoka Dar kwenda Zanzibar ipoje?
Ni mtu yeyote anaruhusiwa kuifanya hii biashara? Maana kuna tetesi kuwa...
Salaamu
Naomba kuuliza sehemu ya kujaza muda wa kupeleka return najaribu kujaza imekwama, je wenye ujuzi naomba msada inatoa ujumbe huu
Accounting year to be only dates at the end of the month...
Nina pesa nyingi sana kwenye makaratasi. Nina akili vizuri sana ila sina hela mkononi. Darasani nimekimbiza watu sana. Mawazo ninayo mengi na mazuri Sina vitendea kazi
Mawazo yamegeuka msongo wa...
Here?s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
EURUSD moved upwards 100 pips last week, still showing determination to go further upwards. The market would experience...
Msaada wenu nina mpango wa kuanza mutengeneza san tizer shida, ni vifungashio naomba muongozo wenu navipatane na bei zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini wandugu zangu,naomba msaada wanaotengeneza mabox kubebea vifaranga ani pm tufanye kaz mi mjasilia Mali mdogo sana asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzuqa wanajamvi!
Kijana mdogo 'Ontario wa Uingereza' mwenye miaka 20 Garvin Singh mwanachuo Uingereza anayesomea udaktari kaliza watu zaidi ya pauni za uingereza million 3 kwenye Forex...
HII NI MESSAGE ILIYOTOLEWA NA MENEJA UCHIMBAJI MADINI YA DHAHABU PALE NZEGA, ILIYOTOLEWA JANA KUWAJULISHA WAFANYAKAZI WOTE PALE RESOLUTE KUWA MGODI SASA UMEFIKIA MWISHO. Tafadhali endelea...