Wakuu Naomba Tujadiliane Hapa, Najua Wengi Wetu Tu Tumefanya Uagizwaji Wa Logistics Mbalimbali Kutoka China.
Mfano Mimi Nimenunua Vitu Kama Vitatu China Kabla Ya Kuzuka Kwa Ugonjwa Wa CoronaVirus...
wakuu natumani ni wazima wa afya
samahani me ni mjasiriamali mdogo
natafuta soko la kuku wa kienyeji kwa ambae anahitaji ani PM
nipo Dar es salaam kigamboni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Natumaini wote ni wazima wa afya.
Mimi nataka kuagiza gari Japan kuna kampuni inaitwa YOSHIDA AUTO ila nimesikia njia nzuri ili nisitapeliwe initumie Pay Pal.
Sasa naombeni msaada hiyo huduma...
Watanzania rahisi ni ghali sana. Zipo aina ya investment zinaendelea ndani ya taifa letu ambazo kwa wenye akili tuna maswali mengi yakujibiwa.
Embu jiulize mtu anakuwa na shamba la matunda nakuwa...
Wakati dunia ikiendelea kupambana na janga hili la corona lilokuja kwa kasi na kuenea katika nchi mbalimbali katika mabara yote duniani ningependa kupata mawazo yenu juu ya sehemu za kuwekeza au...
Wakuu kwema?
Niliahidi kuendesha shidano la kumsaka mtu mwenye wazo bora kila mwezi na kutoa mtaji mdogo ili tuweze kukwamuana kama vijana.
Niliahidi kuboresha shindano hili aidha kwa kuongeza...
Natumai uko mzima wa afya. Kwenye miaka hii mpaka 2020 watu wamekuwa na ndoto na kiu kubwa ya kuweza kutoa hela kutoka Paypal. Kwasababu watu wengi wana mawazo ya kujipatia kipato online na...
Kwanza hebu tufahamu maana ya neno lenyewe Saikolojia ni kitu gani, Saikolojia ni elimu ya akili au nafsi. Kwahiyo saikolojia ya fedha ni elimu ya jinsi tunavyoichukulia fedha ndani ya akili zetu...
Kiuhalisia janga hili zaidi limeathiri wajasiriamali wadogo wadogo, watumishi tuambueni mmeathirika kwa kiwango gani kama ni mwadilifu kazini, usije tuambia kuna ziada wakati unasubiria tar 30...
Mwaka huu mwaka wa neema sana, japo changamoto hazikosekani kabisaa.
Wale wenzangu na mimi wa kununua mazao na kuyatunza na kusubiri bei ipandee mwaka huu mnatakiwa kitumia hesabu kali sana za if...
Habari.
Huwa serikali inajitengenezea fedha zake yenyewe? Je, ni kwanini isiprinti pesa nyingi za kutosha kila mwananchi apate? Au kuna siri gani hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Greetings ndugu zangu wa JF.
Kama kawaida leo nipo hapa kutoa darasa jinsi yakufanya pesa isikauke mfukoni [emoji383]. Kwasababu.....tena tuache utani pesa ni muhimu sana kwenye day to day life...
Habari za jioni wana jamvi mm ni kijana wa kitanzania ambaye napambana na hili janga la umasikini, nina bajeti ya 50ml nahitaji kujenga Lodge ya kiwango cha kati Room zisizopungua 7 reception na...
BAADA YA CORONA NI KUINUA UCHUMI WA NCHI.
Leo 13:15pm 24/03/2020
Ikitokea moto halafu ukazimwa utabaki Moshi na muda si mrefu Moshi utaisha na hali ya hewa itarudi kama kawaida,Corona imepita...
Music video production ni moja ya plan zangu nilizopanga kuanzisha ndani ya mwaka huu,hadi sasa bajeti yangu ni hiyo milioni 85,hapo nyuma niliwahi kuwa na studio ndogo ya kushoot matukio kama...
Habarini wapendwa
Naomba mwenye ufaham kuhusu hii biasahara ya uuzaji wa nywele anifahamishe je ni wapi nitapata kwa bei rahisi na mtaji natakiwa nianze na kiasi gani?
Ahsanteni
Sent using...
Wasalaam.
Kati ya hizi benki naomba kujua ipi nzuri na kwanini in general kwa upande wa huduma na mengine mengi yanayohusu huduma muhimu za kibenki.
STANBIC
ECO BANK
BOA BANK
STANDERD CHARTERED...
Katika harakati za kijasiliamali mtambo huu unaweza kuwa tija kwa wajasiliamali.
Mtambo huu umeundwa maalumu kwa ajili ya kuendesha mashine ya kawaida ya kunyolea ambayo inatumika katika ofisi...
Niko kwenye mchakato wa kufanyiwa Tax Clearance ili nipate lesseni jianze biashara. Sasa Je, kwenye kukadiria inakuwaje? Mambo gani ya muhimu kuyazingatia isije kula kwangu?
Msaada please
Sent...
Wakuu habari za mida?
Naomba msaada leseni yangu ya biashara ya kampuni imeisha na unatakiwa kufanya annual return brela, na sijafanya biashara kabisa kutokana na kitegemea fund mahali inagoma...