Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wadau wa JF, Naomba kufahamishwa makadirio ya kodi kwa mwezi kwa mawakala wa huduma za kifedha kwa mitandao ya simu mfano M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money n.k Mfano mtaji wa laki tano kwa...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habarini za jioni wakuu, binafsi niko poa kabisa. Ndugu zangu, naombeni msaada wa namna ya kupata mawasiliano ya wakala wa Kampuni ya Kikuu Kanda ya Ziwa hasa hasa mkoa wa Shinyanga. Nina mzigo...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu, M ni kijana ambaye nmekuwa na mawazo ya kufanya biashara ya nguo kwa mda sasa, nlikuwa naomba ushauri kwa wazoefu wa biashara wanaofanya mikoani, na sehem wanapozitoa, na kwa...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Kampuni ya mawasiliano ya vodacom imesaini mkataba na Remmit world ili kuwawezesha watumiaji wa vodacom m-pesa kuweza kupokea fedha kutoka mataifa 50 bila usumbufu wa kupitia bank,sasa wale wazee...
6 Reactions
16 Replies
3K Views
DAY 1. Kwa Leo acha nianze kuelezea styli hizi za ufanyaji wa biashara kwa upande zaidi wa cryptocurrency na stock pamoja na mikakati.Japo siwezi kumaliza zote kwa Siku ya Leo.acha tuanze na hizi...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
swali: naombeni mnifahamishe wana Jf kwamba soko la madini(vito) kwa dar es salam liko wap? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Vp wakuu? Nauliza kama kuna mzoefu wa kutumia payoneer, ntaweza vp kuzitoa pesa kwenye card hii nikiwa apa tz?
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Nimepiga mahesabu yangu ya maisha, kwa kuanza nahitaji walau elfu 9 Mpaka 10 kwa kila siku niiweke. Biashara gani itanipatia wastani wa Elfu 9-10 kwa kila siku? Nataka nijiajiri. Hapa nina...
7 Reactions
386 Replies
112K Views
Na kama nikiweza basi I can make it through any year. Sijui kama hili ni jukwaa sahihi, lakini nahisi ni hivyo. Wakuu shida hazizoeleki, shida zinatweza utu wa mtu, yaani shida zinaweza...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Habari ndugu zanguni, Najua humu kuna watu wamadaraja tofauti tofauti. Vilevile natambua uwepo wa madaraja yote hayo na mimi pia ni miongoni mwao katika moja ya madaraja. Hapa naongelea madaraja...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
I salute y'all! Ndugu zangu, miaka kadhaa sasa nilikua na sera binafsi ya uwekezaji katika maarifa hasa katika kusoma vitabu na kujifunza vitu ambavyo kwanza sijavisoma chuoni na pili niliamini...
9 Reactions
40 Replies
7K Views
Watu wengi tumekuwa tukilalamika kuhusu kukosa mitaji ya kufanya biashara na kutuwezesha kujiajiri. Ukosefu wa mitaji umekuwa ni kilio cha vijana, wazee, walemavu, wakina mama na kila mtu. Hata...
1 Reactions
2 Replies
37K Views
Wengi tunachanganya sehemu tunazotakiwa kuwa laini ndio tunakuwa wagumu na sehemu tunazotakiwa kuwa wagumu ndio tunakuwa laini. Badilika jitambue kuwa na msimamo usikubali kuyumbishwa na mawazo...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomben mnisaidie jinsi ya kulipia bidhaa nimekwama ....hatua zake.plz
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Hello friends. I have got a brilliant idea for a product that a mobile phone telecom company (Eg. Vodacom, Tigo Tanzania, Vodafone, ViaTel, Airtel) can introduce, which will likely be copied by...
1 Reactions
1 Replies
802 Views
Gates ampiku Bezos na kuwa mtu tajiri zaidi dunia Boss Jeff Bezos alimpiku kwa muda mchache Bill Gates kama mtu tajiri zaidi duniani siku ya Alhamisi kufuatia kupanda kwa hisa za mfanyibiashara...
5 Reactions
19 Replies
6K Views
Habari Wakuu, Namependa aina ya biashara ya kufuga ng'ombe. Mimi ni kijana wa miaka 29 ninatamani kupata utaalamu wa kufuga ng'ombe ila sijui nianzie wapi kuanzia; - Aina ya Ng'ombe - Muda wa...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Waungwana wenzangu. A salaam aleykhum. Napenda kuchukua mkopo aidha TALA au BRANCH. ni wapi kati ya hawa kuna unafuu wa interest rates. Narudisha baada ya muda gani? Mwenye kuwajua tafadhali...
3 Reactions
42 Replies
9K Views
Natambua kwamba kuna watu wengi ambao wangependa kuwa wafanyabiashara, wajasiriamali au hata wawekezaji. Pia wapo wengi ambao pamoja na kutamani hayo yote bado wanakuwa na changamoto ya kupata...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari, Wengi wameenda Business school, wamesoma uchumi, wamesoma marketing na wengine wamefanya mpaka PhD katika maeneo ya biashara lakini bado wanapokuja katika real life situation wanajikuta...
9 Reactions
16 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…