Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Idea ya VICOBA ambayo ilianzia India miaka ya 80 huko ilikuwa na lengo kuu moja kwa ajili ya kuhakikisha wale walio tengwa na taasisi lasimi za kifedha wanafikiwa. Financial Inclusion...
5 Reactions
0 Replies
2K Views
HONGERENI SANA MADIWANI WA HALMASHAURI YETU YA SHINYANGA Leo asubuhi kupitia Radio Free Afrika Matukio nimesikia Madiwani wa Halmashauri yetu ya Shinyanga mmeibua mjadala wa kupanda kwa Nafaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii ni kudhihirisha kwamba, Tanzania ni tegemeo la nchi zote katika ukanda huu, wakati huohuo mauzo ya mchele kwenda Rwanda, Uganda na Kenya yameongezeka Mara dufu mwaka huu. Kutokana na...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimefanya biashara ya vitenge kutoka Holland. Nilishirikiana na wenzangu mzigo ulishukia Ghana. Kwakuwa nilikuwa ninaanza, wateja walikuwa wananifuata nyumbani. Nimewasiliana na kiwandani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ipo hvyo wazee kwa wale wadau wa 'uber' madereva ama wenye magari. Hii imeanza zaidi kushika kasi kuanzia mwezi July. Kwa nini? Nadhani ni kwa sababu kuu mbili: 1. Mifuko ya watu inazidi...
11 Reactions
43 Replies
9K Views
1. Kujifanya unafahamu kila kitu Usijifanye unajua kila kitu, hasa kama ndiyo umeingia kwenye ulimwengu wa kibiashara. Kwanini? Kwa sababu kuendesha biashara ni kujifunza na kupata uzoefu...
6 Reactions
6 Replies
2K Views
Imeingia email hiyo hapo kwenye Screenshot. Sasa wakuu mzigo upo local post office umewasili bila shaka ni ofisi ya mkoani kwangu nilipoweka ufike si ndio au bado upo postal kuu Dar es salaam...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimeona tangazo kua kampuni ya ukaguzi na ushauri ya KPMG consulting company limited kua inafunga biashara(wind up) Je hii taarifa ni ya kweli?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
DALILI za bei ya sukari kushuka nchini zimeanza kuonekana kutokana na mipango ya kuongeza uzalishaji iliyowekwa ikiwamo uanzishaji wa viwanda vipya. wa viwanda vipya. Wakati sekta ya sukari ikiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kweli naandika ujumbe huu nikiwa na hasira kwelikweli..na huu mtandao unaoitwa TTCL,.Leo nimejaribu kuweka pesa kwenye akaunt yangu ya T_pesa..ili nijiunge na kifurushi cha serereka weekly...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Natumai mu wazima wote, Kama kichwa kinavyojieleza, Shughuli yoyote ambayo inaweza kunipatia 10,000 hadi 15,000 kwa siku. Location: Dar es Salaam Gender: Male Mtaji:150,000 Mr Confidential...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari ya Mapumziko wana Jukwaa? Tukiwa katika kuelekea kilele cha kumbukizi ya kifo cha Hayati Baba wa Taifa Mwalim Julius Kambarage Nyerere kesho ziku ya Jumatatu tarehe 14/10/2019, ni vizuri...
0 Reactions
5 Replies
793 Views
Ni ukweli kwamba Nchi za Waarabu wamefaidi mno Gesi na Mafuta na kwa sasa wameanza kuondoka huko na kuanza hata kujenga viwanda make wanajua wana muda mfupi sana wa kuendelea kufaidi. Kwa sasa...
1 Reactions
3 Replies
984 Views
Mimi ni dada, nataka kufungua kampuni ya Tax and Payroll Consultant. What are the qualifications?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mimi nipo Mbagala natafuta mtu tushirikiane tufanye biashara ya matunda. Tunayaweka kwenye package nzuri pamoja kutengeneza juisi za matunda. Kama upo interested ni-PM au Whatsapp 0658 495 324...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Naombeni mnieleweshe mliowahi kufika Pemba nahitaji kwenda huko kununua vifaa vya umeme used kama laptop na simu. Swali langu kwenu: Zile boti zilizo pale Posta ya Zamani zinazoenda Zanzibar kule...
0 Reactions
34 Replies
8K Views
Habari wakuu, Naomba kujua namna ya kutoa pesa kwa anayetumia Broker huyu JP Market. Msaada tafadhal Joselela,
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Greetings everybody! Naomba nianze kwa kukuuliza? Are you struggling to get your first client on UpWork au Online freelancing platform nyingine yoyote? Kama jibu ni ndiyo basi leo nipo hapa...
16 Reactions
69 Replies
9K Views
Habari wapendwa, naomba ujuzi wa kutoa ya lebo ya kwenye chupa mfano Heineken na Windhoek ili nipate unafuu maana natumia muda mwingi kutoa na nachelewa kupata pesa wateja nawachelewesha.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika miezi nikiri wazi biashara hazilali mimi naonaga ni hii miezi,sehemu nyingi sana biashara hasa sisi tunaolenga wahitaji wa "kila siku" biashara zimechangamka sana sana, unajisikia raha hata...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…