Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

SADC Member anaingia mkataba na China bila mapatano na Member wengine wa SADC, je hii haiwezi kuharibu mfumo wa kodi wa nchi nyingine? Biashara kati ya nchi za SADC haina import duties, only VAT...
0 Reactions
3 Replies
850 Views
Dawa kiboko ya nzi inapatikana kwa pic moja 300 na jumla pic 50 kwa shillingi 10000 karbuni sana 0783859598
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wana jamvi. Nilikuwa kwenye pita pita yangu mtandaoni kuhusiana na mikopo, nikakutana na Hazina Saccos Tanzania. Miongoni mwa vitu vilivyonivutia ni pamoja na riba ndogo walizoziweka...
2 Reactions
1 Replies
6K Views
Wadau habari za jioni ,nadhani wote Ni wazima wa afya na mnaendelea vyema na shughuli za uzalishaji Mali. Nahitaji msaada ,Kwa yoyote mwenye soft copy ya kitabu chochote kinachohusiana na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Siku hizi ni kama fashion kijana akipata milion 20 anakimbilia China anaenda kuzoa uchafu huko analeta Tanzania 80% ya bidhaa za viwandani zinazoingia Tanzania zinatokea China Miradi ya ujenzi wa...
4 Reactions
68 Replies
5K Views
Kuna dalili zinazoonyesha ule uchumi wa kijamaa wa mashirika ya serikali kufanya biashara taratibu inaanza kurejeshwa. Biashara ya Clearing and forwarding imeajiri watu wengi na ni sekta huru kwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyojieleza. Naombeni kujua ni pesa ipi inathamani kati ya Kwacha ya Zambia na Shilingi ya Tanzania? Nitashukuru kwa msaada wenu
0 Reactions
21 Replies
13K Views
Watanzania wenzangu, sijui kama kweli mnanufaika ipaswavyo na hili shirika letu. Limebaki kuwa shirika la kuandaa mashindano ya insha mashuleni yaani upande wa biashara mimi naona ni upuuzi mtupu...
9 Reactions
53 Replies
7K Views
Wapendwa nilikuwa kigali last week kwa kweli kagame yuko sirias na uchumi wa nchi ile kwanza napenda kuwaeleza kule akuna takataka za rushwa wala umsaidie mtu upewe kitu..aisee jamaa amejipanga...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Naamin Mungu amekupa uzima tena,ndoa maana upo hapa unasoma...asante Mungu kwa ulinzi wako. Binafsi ni mfanyanya biashara ya dagaa wa bukoba,na mazao ya nafaka yote inategemea na msimu wa zao...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, Naomba kwa watu wenye uzoefu kuhusu biashara ya samaki aina ya kamongo wanaoagizwa kutoka China anisaidie maelezo kuhusu vitu kama utaratibu mzima wa kufuata ili kuingiza...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Binafsi namkumbuka sana Kikwete nilipiga hela sana enzi zile hata alivyoingia Magufuli mpaka kufikia 2017 mambo yalikuwa yanaenda safi ila kuanzia mwaka Jana 2018 dah kila siku zinavyoenda mambo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna muda wamekuwa ni msaada ila kuna mda wanakuwa ni waumizaji hasa kwenye mazao ya kilimo, yaani mkulima unaweza pambana huko shambani halafu mazao yakifika sokoni dalali anakupangia bei huku na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za kutwa wadau.? Naona fursa katika hii biashara ya mahindi kutoa shamba na kuleta mjini. Nilikuwa nahitaji kuanza hii biashara nilikuwa naomba mwongozo juu hii biasha. Ni mtaji kiasi gani...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kuna simu fulani hivi naihitaji sana mtandaoni alibaba na aliexpress inauzwa ila bei ni ghali mno Ila nimeambiwa kule China kwenyewe madukani ni bei chee tu Na pia nimeambiwa pia kule pia used...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wanaJF, Naombeni kama kuna anayefahamu jinsi ya kutengeneza "Facebook & Instagram ads" kwa kutumia smartphone, na endapo zikafanya kazi kwa ufasaha nitaomba anitafute kwa kunipa elimu juu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Natumai nyote ni wazima , nipo Zanzibar Nina mil 5 cash nahitaji kwenda Morogoro kwa ajili ya kujihusisha na ununuaji wa mazao kwa jumla kisha kuyahifadhi kwenye maghala kwa ajili ya kuuza baadae...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Kichwa cha post chajieleza. Natafuta kijana wa aina hii tufanye biashara. Mwanzoni nahitaji wawili tu, kinachotakiwa ni moyo wa upambanaji. Wazo hili nimekuwa nalo muda mrefu ila sina watendaji...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wana jf, Mimi ni dada, elimu yangu ni Bachelor ya Business Administration in Accounting, kwa sasa ni mwajiriwa kwenye kampuni moja kubwa tu hapa Dar kama Payroll Accountant. Mbali na...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunahitaji kununua machine yakushonea viatu na mashine yakuchongea ngozi za viatu. Ninaomba anayefahamu Maduka yanayouza, bei, nchi zinakotoka mashine.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…