nyumba imejengwa ina urefu wa 32ft by 26ft....imejengwa plane kwa maana ya kutokuwa na mikunjo ya nje...anyway naomba makadirio ya mbao na bati kwa ajili ya kupaua nyumba hii,bati standard za 3feet
Kwema wadau naomba mwenye uelewa na kampuni hii ya Alliance in global motion anambie ukweli wa hawa watu mana kuna mdada mmoja mphilipino aliniomba urafiki fb nikachat nae nikamuuliza lengo la...
Yapo maswali mbalimbali tukiwa tukijiuliza hali ya uchumi TANZANIA inaendaaje nazani kupitia huzi huu naamini kwamba wapo economists wengi tu ambao wanaweza kabisa kutujibu maswali yetu kushare...
Greetings everybody!
Kama kawaida leo jumanne jioni nipo hapa kukupatia mbinu zitakazokusaidia kuuza na kupata profit kwenye biashara yako ya mtandaoni.
Hapa nazungumzia e-commerce Store...
Natumaini muwazima wa afya, nimeandika uzi huu kwa dhumuni la kuwapa motisha vijana na mimi mwenyewe pia kwani katika maisha aya sasa vijana wengi wameamka wakiwa na ndoto kubwa, marengo makubwa...
Habarini wana JF...
Katika pita pita zangu leo nimeokota hili jiwe mwenye uelewa mzuri wa madini je hili jiwe lina madini yoyote au ni jiwe la kawaida tu???... nikiliweka kwenye mwanga limekua la...
Habari poleni na majukumu ya Kazi na mihangaiko ya usiku mchana.mimi Ni kijana ambaye na ndoto ya kufanya biashara ya nafaka.hususani ya kulangua mpunga vijijini na kuuza mjini. Ila sina uzoefu...
Jamani naomba kuliza kwa anaejua namna ya kuunda account ya online registration system anisaidie kwani nimefanya kila kinacho hitajika lakini sioni mafanikio.
Habari Wana Jamiiforums...
Let's cut to the chase, Nina mawazo mawili ya biashara katika area ya insurance na financial services ,Kwa research tulizofanya yanaweza kusaidia Watanzania kukua...
Nimekuwa nafuatilia comment nyingi za wazungu waliopo ulaya na US .
Wao huingia mkataba na mteja na ķuwa analipa kidogo kidogo kwa muda .na wengi hununua simu mpya kabisa kulingana na makubaliano...
Habari wapendwa wa jamii forums Kwanza nipende kutoa shukrani kwa mawazo yenu mazuri ya kujenga au kutoa ushauri mzuri kwa mtu.Husika na kichwa cha habari hapo juu Mimi Ni kijana Nina umri wa...
Salaams wana JF,
Wauza mbao wa hapa Tanzania, nahitaji mbao zote ngumu kwa ajili ya kupeleka nje.
Tafadhalini sana, naomba ambaye ana contact za wauza mbao wa Msumbiji,
au wa TZ wanao import...
Hello wananzengo
Nataka kuanza biashara ya viatu
Sasa naomba ushaur, kati ya viatu vya kike vya mtumba au spesho, au vya kiume mtumba.
Mtaji wangu n 150,000/=
Kwa wajuvi na wazoefu wa hizi...
Habari wadau,
Wale wenye maduka ya bidhaa za rejareja (mangi) tukutane hapa tubadilishane mawazo kidogo, tujadili ili kila mmoja aiweke biashara yake kwenyw kipimo kwa kulinganisha na wengine ili...
Kuna jamaa yangu mmoja yupo nje anataka kunitumia pesa. anauliza njia ipi nipokelee pesa?
Nkaona njia mbona zipo nyingi tu.. Kuna Xoom, Kuna Paypal, Western Union n.k
Nkaanza kufuatilia naona...
Habari.
Firm ( heavy duty machine) ya kusaga karanga aina zote , kutengengeneza peanut butter (75kg/hr) na kukuna nazi aina zote imefunguliwa moshi, soko la mbuyuni. Unaweza weka oda yako au...
Wadau, nataka nianzishe biashara ya kukodisha muziki kwa ajili ya kupiga kwenye matukio mbali mbali hasa ya sherehe.
Kama kuna yeyote mwenye idea na biashara hii naomba ushauri.
Natanguliza shukrani.