Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

kuna hawa jamaa naona kila siku wanakuwa na sehemu au service road wanafanya biashara. unadhani kuna weza kuwa na fursa gani... mobile business
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Do you want to start any of the following 65 businesses ? Tyres Retail - New Real Estate Agency - 42 pages Executive Barber Shop - 42pgs Petrol Station (Independent) - 47pgs Motorcycle Spare...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nahitaj kupata mtu anaeshona mapazia ya kisasa na anapatikana maeneo gani Dar?? Kwa wanaofaham naomba wanijulishe.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa mahitaji ya kuchimbiwa kisima kwa bei nafuu tuone sisi thanzania drilling company tupo morogoro bei yetu ninafuu sana inaanzia 65000 tu kwa mita karibu mdau
0 Reactions
1 Replies
838 Views
Wakuu habari zenu.Nimekuwa nikijiuliza na kupiga mahesabu ya kubana matumizi hususan katika suala la chakula kutokana na hali ya uchumi ya sasa ilivyo.Ningependa kufahamu kutoka kwa wale wenzangu...
3 Reactions
58 Replies
12K Views
Naitwa mohamed juma ni mfanya kaz wa Halotel Niko APA kutambulisha huduma ya royal bundle hii lain inakupatia mb bila kikomo mwez mzika na dakika 120 all network na dakika 300 Halotel kwa Halotel...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu! Natafuta gari ndogo iwe corolla, starlet, duet au gari ya aina yoyote kwa atakaekua tayari aniuzie nimlipe kidogo kidogo isiwe ya bei kubwa ata ikiwa imechoka lakini inaweza kupiga...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi Kama kichwa cha habari kinavyosema mimi nipo Dar es salaam Kwa wazoefu waliowahi kutumia kikuu kuagiza baadhi ya bidhaa! Nataka na mimi niagize sasa nikiagiza bidhaa yangu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natumai wana Jamvi wenzangu mu wazima wa afya tele. Kama ni wazima karibuni kwenye uzi wa malalamiko dhidi ya benki za Tanzania. Kwa miaka mingi sasa nimekua mkopaji na mnufaika wa taasisi za...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Sifa moja ya kodi ni kuwa comprehensive kwa maana ya inatakiwa kucover eneo kubwa na sio kuwapa burden watu wachache walipe kodi. Sasa. Kuna hawa jamaa wenye nyumba za kupanga inshort wanapokea...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama wewe ni mkulima au unamjua mkulima/wakulima wa Dengu tafadhari wasiliana nami. Nahitaji dengu aina ya TULIDALI tani 120 haraka sana Contacts: E-mail: sanjarahoneytz@gmail.com Mob...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
MTANZANIA mwenzangu, najua unajua kuwa siku za karibuni nchi za Tanzania na Uganda zinatarajia kufanya Kongamano la kibiashara la pamoja ambalo litakuwa ni mara ya kwanza kufanyika nchini kwetu...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
jmosi nakuja mwanza nakuja kutafuta frem nataka kufungua goli la phone accessories maeneo yA mwanza kuna kiasi kidogo nimepata nataka nisikichezee NAOMBA USHAURI KWA WAJANJA/WANAOIJUA VIZUR...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Kwa walioko ughaibuni hasa Ulaya na America ,nahitaji soko la floor parquet (mbao za sakafu)
0 Reactions
1 Replies
930 Views
Shamba la heka 2 linauzwa.Lipo maeneo ya chalinze kwa mwarabu,km 2 kutoka morogoro road 0769512418
0 Reactions
1 Replies
730 Views
Mwamba baada ya kukichafua sana route ya dar arusha sasa wameamua kuaminisia makali yao na route yao ya zamani ya Dar mbeya tunduma kwakweli hawa jamaa wana mwezi mmoja tu ndani ya hii route ila...
3 Reactions
8 Replies
5K Views
Kanuni za kuikuza biashara ndogo ili iwe biashara kubwa Kila kitu kinachoanza kwa hatua ndogo kinatakiwa kukua katika ukubwa, hivyo unapoonzisha biashara ndogo basi fahamu namna ambavyo biashara...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Je hawa jamaa wanaozunguka K/koo na gari wakiuza flash zina nyimbo tofauti tofauti wanavibali au wamezilipia hizo nyimboo maana BASATA wangeanza na hawa jamaa na wachoma cd K/koo kama Kweli wako...
0 Reactions
2 Replies
831 Views
Mwenye Gaming CPU aje tufanye exchange na Laptop Dell Latitude E6220 Core i5 2nd Gen Processor 2.50 GHz (4 CPUs) Ram 4GB HDD 210 No Battery Nahitaji CPU yenye Kusukuma Games hizi Fifa 18 Fifa 19...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa muda wa miaka minne nimekaa na tatizo hili sasa ninadhani ni wakati muafaka wa kuomba ushauri!! Mimi ninafanya kazi inayoniingizia kwa mwezi sh.700,000/= tasilimu.Sijajenga nyumba ila nina...
4 Reactions
84 Replies
46K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…