BENKI ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) mpaka sasa imekwisha toa mikopo yenye thamani ya Sh bilioni 141.3 katika miradi mbalimbali ya kilimo, ufugaji na uvuvi. Mikopo hiyo ni sawa na...
Dalili zinaonyesha kwamba hali sio hali kwenye mali zetu hasa ndege zinazofanya safari nje ya nchi
Tjue kwamba tuna kesi zifuatazo kwenye mahakama za usuruhishi wa biashara..
Symbion Power...
Wakuu habar za muda huu
Nina project naomba niwashilikishe ndugu zangu, ambapo mwisho wa siku tutapata ajira sisi sote, project inahusu utengenezaji na uandaaji wa program za masomo mbali mbali...
Kwa kawaida makampuni haya yanauza airtime za TV zao kwa packages mfano DSTV family, compact, premium etc... ikiwa na idadi ya channels kulingana na aina ya package.
Kiuhalisia mtu huwezi...
Biashara ya ndege hata Matajiri wakubwa wa Dunia wanaogooa mno kuwekeza hapo. Na watalaamu wa Biashara wanakuambia ndo biashara ngumu kabisa na hata haya mashirikia makubwa makubwa wanapigwa mno...
SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL) leo tarehe 24 Agosti 2019 limetangaza mabadiliko ya ratiba zake za safari za ndege.
ATCL imetangaza mabadiliko hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa...
hello JFs, ninahitaji muongozo na ushauri katika biashara ya video keno.Nini cha kuwa nacho, mtaji, faida, hasara na kila kitu kinachohusiana na biashara hiyo.Ninaomba ushauri.
Kifushi cha 100000, 80000 na 60000 kwa watanzania Wa leo ni ghali sana kwao kununua majumbani mwao. Iko siku soko la Tanzania litawawia gumu. Wengi wanaonunua dstv ni kwaajili ya EPL basi ambayo...
Usiulize MTU kuhusu biashara gani nifanye, uliza kuhusu nifanyaje biashara. Kila biashara inalipa ila unaitaji umakini kwenye kipengele cha demographic kuhusiana na biashara yako namna ya...
Msaada tafadhali
Nimejiunga jf zaidi ya mwezi umepita
Lakini nikitaka kumfolo au kurespond
Kitu chochote naandikiwa ivi
"Your account is currently pending for admin to approve"
Msaada wenu...
Binafsi ninaitaji kufanya biashara ya nguo za mtumba quality kabisa hasa za kina dada,mama na watoto nina mtaji wa Milion 2 ila Sina uzoefu wowote pia sijawahi kuifanya Naombeni muongozo wadau vip...
HISA za kampuni ya Acacia PLC inayojihusisha na uchimbaji madini nchini zimepanda bei kufikia TZS 7,000 kwa hisa moja baada ya kushuka wiki iliyopita ambapo zilishuka hadi kufikia TZS 6,750 kwa...
Habari za muda huu! kwa heshima na taadhima napenda kuleta wazo langu mezani ili nipate ufumbuzi au uwelewa wa kutosha kabla ya kutenda (survey).
Mimi ni mwajiriwa ktk sekta binafsi nna wazo la...
Kwa wadau wanaolewa mambo ya mitandao ya huduma za pesa.Naombeni mnijulishe huduma hii ya money gram nchini inapatikana na inafanyaje kazi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu, nnaomba ushauri na mawazo juu ya biashara nzuri ambayo naweza kifanya Jijini mwanza, nikiwa na kiasi cha Tsh 2 million. Nahitaji kwenda kuishi na kufanya Biashara mkoa huo, Ushauri, Maoni...
Wakuu, kwa wale wanao kijua vizuri kisiwa cha Mafia, naomba msaada ni biashara gani naweza kupeleka uko na ikatoka haraka. naomba mnisaidie, mdogo wenu. Natanguliza shukrani kwa wale watakao nipa...