Habari wana JamiiForums
Naomba kujuzwa na kupewa muongozo kuhusu biashara hii ya kusafirisha bidhaa kutoka Tanzania kwenda Marekani, Canada, England na South Africa
Naomba kupewa muongozo jinsi...
The 6-Month Savings Accelerator: How Top Earners Use Psychology to Double Their Wealth
Supercharge Your Savings: Double Your Wealth in Six Months
Tired of living paycheck to paycheck? Do you...
Meneja wa Bei na Bidhaa kutoka Vodacom Tanzania, Ipyana Mwankemwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya VYB Balaa! Mtu ni Connection! ambapo vijana wenye umri kati ya miaka 15 mpaka 28...
Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wa kampuni ya Vodacom, Abednego Mhagama akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni ishirini kwa mshindi wa kampeni ya Ni Balaa! Kila Mtu ni Mshindi Bi...
Wakuu wa jamvi, kwanza poleni na msiba. [emoji120]
Naomba kutoka kwenu kujua gharama za mtaji wa mashine ya kusaga na kukoboa nafaka kama mahindi, mchele n.k.
Napendekeza pia kushirikishwa...
Skuizi imekuwa kama fashion tu kuona wafanya biashara wadogo kwa wakubwa, makampuni Hadi taasisi mbalimbali kuwa na account za mitandao ya kijamii(Facebook, Instagram na YouTube)..
Na wengi wao...
Wakuu heshima kwanu.
Mwenye uzoefu na biashara ya simu za mkopo au agent wa simu za mkopo kutoka Easybuy au Watu simu naomba tuwasiliane.
Nitakulipa gharama za usumbufu.
Please DM
Mikopo husaidia zaidi kwenye Expansion, sio kuanza from zero
Kama ni kuanza biashara mpya Inapendeza zaidi kuanza biashara kwa mtaji wako au sehemu ndogo sana ya mkopo ili upate uzoefu, uzijue...
Daah! Nakumbuka kitambo hicho kidogo nikiwa nimemaliza form six nikiwa na miaka 20. Baada ya kuona elimu ya bongo nimiyenyusho eti nitumie cheti cha form four baada ya kupata div three six...
Jipatie kava za sofa kwa bei nafuu
Zipo kava za kawaida
Kava ya mmoja 30,000
Kava ya wawili 40,000
Kava ya watatu 50,000
Pia zipo kava za marinda
Kava ya mmoja 40,000
Kava ya wawili 50,000...
Habari wakuu,
Nataka kuanza kufanya hii biashara ya vitenge kutoka Zambia, kuna Jamaa anaifanya biashara hii aliniambia ina faida yeye alianza na mtaji wa milioni 1.5 mpaka sasa mtaji umefikia...
Wadau habari.
Kwa mtu yeyote yule anaifahamu vizuri biashara ya nywele zinazotoka nchini China naomba anifahamishe, sina uelewa kabisa na hii biashara. Ningependa niifahamu vizuri nione kama...
Baada ya maradhi sugu, hakuna kitu kinachokosesha amani kama kuwa na madeni.
Hili jambo linatia stress ya hali ya juu mno.
Na mbaya zaidi ni kuwa stress hii inakufanya ushindwe ku focus kufanya...
Mambo vipi wakuu mko poa?!! natumaini mko salama. Kwa wale wazee wa forex naombeni msaada ni broker yupi ambae unaweza uka-deposit na ku-withdraw pesa kupitia mitandao ya simu ya Tanzania.
Pia ni...