Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wafanyabiashara ndogondogo, wachonga Vinyago na Wachoraji wa picha mbalimbali wanaouza bidhaa zao kwa wajumbe wa mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo kwa Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC),katika...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
https://www.nyasatimes.com/reserve-bank-speaks-on-cryptocurrencies-they-are-not-legal-tender-in-malawi/ Naona Reserve Bank ya Malawi wameelezea vizuri saana hii issue ambayo ina watatiza watu...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Baada ya utawala wa bitcoin almost miaka 10 sasa FB nao wamekuja na kinachoaminika ni mpinzani wa BTC, Libracoin!! Mpaka sasa hii coin ina support ya mashirika makubwa duniani kama stripe, uber...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF, Kuna malalamiko mengi sana juu ya mikataba ya madini na hasa huhusishwa viongozi kuwa wanahusika kutuibia madini yetu wakishirikiana na makampuni ya mabwenyenye. Tuhuma hizi zimeanza...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
HABARI ZENU WAPENDWA.! KESHO JIONI NITAKUWA NA SOMO LA KUWAFUNDISHA JINSI YA KUMKOPA TENA MTU ANAEKUDAI. USIKOSE.
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Nataka nianze hii biashara.Naomba anaefahamu wanapouza miguu na vichwa vya kuku kwa jumla anipe muongozo.Au aliyewahi kuifanya hii biashara.Eneo la biashara ni Mwanza
1 Reactions
7 Replies
8K Views
khabari za mchana wadau na vijana wote mlio wanachama wa Jamii Forum pendwa kabisa. Napenda kuwakia jumatatu njema na yenye baraka kwa wote. Nadhani inafahamika kama kwa sas kuna changamoto...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari, Leo ningependa kwenda moja kwa moja kwenye mada ni kwamba unapotaka kufikia mafanikio basi fanya kazi kwa bidii lakini kama ukitaka mafanikio makubwa zaidi basi inakupasa kushirikiana na...
3 Reactions
37 Replies
6K Views
Shirika lisilo la kiserikali linalojishughulisha kuwezesha vijana kielimu na kiuchumi (SOMAFCO) linatarajia kuanzisha kiwanda cha kubangua korosho mkoani Morogoro nchini Tanzania. SOMAFCO...
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Habari zenu wakuu Nimekua msomaji wa thread humu kimya kimya na kiukweli nimejifunza mengi Ningependa kujua hii biashara ya uber inalipa, sina ufahamu mzuri kuhusu hii biashara japo watu wachache...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wandugu, Naombeni ushauri,nimehangaika sana mtaani na ajira mpaka imekuwa kero. Sasa nimebahatika kupata ka usafiri yaani gari ndogo nimesohezewa na ndugu yangu ili nitafutie biashara ya kufanyia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
KAMPUNI ya Mafuta ya Puma Tanzania imempongeza Rais Dk. John Magufuli kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), na lugha ya Kiswahili kukubalika kuwa lugha ya nne kwenye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana JF, Kichwa cha habari kinajielezea, Huu ni uzi wa kipekee unaohusu maswala yote yahusuyo biashara, masoko na mauzo, kwa hiyo kama utakuwa una kitu chochote unahitaji kufahamu juu ya...
3 Reactions
119 Replies
28K Views
Habari ya kazi wapambanaji wenzangu Nawezaje kupata ujuzi wa kutafuta simu zilizopotea kwa anaefahamu Naomba msaada wa maelekezo maana nimeona ni fulsa nzuri ya kujitengenezea kipato katika mkoa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu Great thinkers! Nimekuja na swala jipya linalolenga maada kuhusu nembo ya Tbs kwa brand za wafanyabiashara na wajasiriamali wadogo wabogo au level yoyote. Nauliza swali kama kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je wewe una fedha na hauna wazo la biashara, ila unatamani kufanya biashara? Basi, tega sikio lako la thamani. Halmashauri ya jiji la Mwanza inaenda kuondoa na kusitisha huduma ya vibasi vidogo...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Tangu tarehe 12 Agosti 2019 kuna wiki ya kuhamasisha uwekezaji mkoani Kagera inaendelea Mjini Bukoba. Ratiba, Muhtasari wa fursa na mwongozo kamili tayari vimertolewa. Naambatanisha hapa kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
WanaJF Heshima Kwenu! Ninaomba MSAADA Wa Hilo.Hasa Kwa Mtu BINAFSI ama NGO.Nitashukuru pia kama kutakuwa na "Mchanganuo
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Habarini za asubuhi wanajamvi.... Mimi ni mfanyabiashara wa biashara ya mitandao ya kifedha kama vile M-pesa,halopesa,tigo pesa na Airtel money.. Lakini nizungumzie kidogo kwenye mitandao ya...
1 Reactions
8 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…