Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wakuu nimechek kwenye mfumo wa ku calculate kodi wa TRA hyundai ix35 made in Korea haipo, nimeshindwa kujua napataje Gharama zake, Gari lenyewe hili hapa Naomba msaada kwa wanaojua...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu habari za weekend na za jumapili.. Nahitaji mkopo wa tsh. 800,000 ni waharaka nahitaji Kwa ajili ya mambo ya biashara yangu. Riba isiwe Kubwa Sana marejesho ndani ya mwezi mmoja tu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Naomba kuuliza, kutoa namba ya akaunti ya bank kwa mtu wa nje au ndani ya nchi akuingizie pesa. Je, kuna uwezekano wa kukuibia pesa zako au hakuna huo uwezekano? Naomba msaada wa maarifa tafadhali.
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Wananchi wenzangu natumaini hamjambo. Wadau wote wa BRELA natumani mko salama, Nina changamoto na namna ya kupata huduma BRELA Ni muda sasa nahangaikia hili swala , ukienda ofisini...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari Vijana wenzangu, Nimeamua kushare na nyie MAMBO 15 niliyejifunza baada ya kujikita katika uanzishaji wa biashara kwa mara kwanza katika maisha yangu mwaka jana (2018) 1: Kamwe usiombe...
21 Reactions
23 Replies
8K Views
Heshima kwenu wakuu!! Mimi ni mwanafunzi jinsia ya kiume wa chuo kikuu kimojawapo kinachopatikana katika mkoa wa Morogoro,Nategemea kuingia mwaka wa tatu mwaka huu hapo October. Kutokana na...
1 Reactions
10 Replies
7K Views
Kwa wale wazoefu naomba msaada wenu, couriers ambao wako vizuri kusafirisha mizigo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna hili wazo la kibiashara la kuuza samaki angali bado hai, kama wafanyavyo China, kwamba unaenda fish market unanunua samaki fresh kabisa kwenye maji...
2 Reactions
38 Replies
10K Views
Habarini wajamvi natumaini muwazima Mimi nkijana mwenye umri wamiaka 20 najishughulisha nambishe zakuuza phone accessories na vitu vingine vya electronics ninamda wamwaka mmoja tokea nianze kazi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu wapendwa ningependa kutanguliza salamu kwenu,naombeni msaada wenu kwa yoyote anaefahamu kwa undani kuhusu bisahara hii ya bia za jumla,Ahsanteni.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za jioni Wadau! Naomba kufahamu ni wapi hapa Dar huduma ya kukamua na KUCHUJA mafuta ya Alizeti inapatikana. -Nilipokuwa nafanyia hiyo shughuli Siku za nyuma ,wamehamia mkoani. Thanks
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Husika na Habari hapo juu,waheshimiwa shida Yangu ni moja tu kumtafuta mbia nisaidieni kujua niifanyie kazi! Idea Yangu inahusu kuanzisha mtandao wa kijamii wa kipekee!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habarini ndugu nina wazo la kuiboresha jamii forum ni naomba uongozi uwasiliane nani,naona nguvu ya jamii forum imeshuka nina idea nzuri sana,wazo hili nimeanza na jamii forum kabla sijawapelekea...
0 Reactions
2 Replies
935 Views
kila nikisikia nasikia fursa kubwakubwa tu. mfano mimi na kupangisha watu hotelini wapi na wapi. naombeni fursa za kilalahoi, mishentown, kijasiliamali kidogo, kiuongeajiongeaji au connections...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, soko la hisa la Dar es Salaam limeanza kwa mdororo mkubwa wiki hii. Ripoti zinaonyesha kwamba ni sh40,000 ndizo ziliripotiwa kupatikana leo kutokana na mauzo ya hisa...
7 Reactions
49 Replies
6K Views
Naomba anaejua kuhusu bima za magar zinagharimu sh ngap, mud a gani,je zinatofautianaje na zile bima za nyumba.?
2 Reactions
3 Replies
5K Views
Natumai mko poa, mnaendelea vyema kabisa na mihangauko ya kujenga viwanda kuunga mkono hoja ya mweshimiwa magu. Sasa iko hivi, juzi Kati nilipita tawi moja la equity bank Nika fungua account...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba ndugu zangu mnisaidie mchanganuo wa saluni ya kiume ya kisasa zaidi,nina million 4 nataka nifungue saluni ya kisasa na yenye mvuto nisaidien wandugu...siku njema
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Uhakika wa umbali halisi wa maji chini ya ardhi ili kuokoa gharama ya kuchimba eneo zaidi ya moja
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…