Uwepo wa ng'ombe wengi ulinishawishi kutaka kujenga kiwanda cha viatu lakini nilipochunguza malighafi nikakuta kumbe ngozi zetu nyingi hazifai kwa kazi hiyo, labda kwa mikanda tu ya suruali...
Mzuqa!
Miaka miwili mitatu iliyopita ilikuwa vigumu Denmark, Norway, Finland, na Sweden kuona watu wanatumia simu za China za Huawei. Samsung ilitawala soko vibaya sana.
Ghafla bin Vuu yani...
Huawei Tanzania imeendelea kubuni mbinu mpya za kukidhi haja za wateja wake kwa kuwaletea karibu simu na vifaa vyenye viwango vya kimataifa. Ili kuwahudumia wateja wake katika namna bora na ya...
Katika mwendelezo wa kuhakikisha kuwa watanzania wanapata haki yao ya mawasiliano na kumiliki sio simu tu bali simu ya kisasa, Huawei imeendelea kuchanja mbuga katika kujiongezea soko la simu zake...
#AMA KWELI KODI YA KICHWA YA MIAKA ILE IMERUDI, HAPA JF 99.9% ya wanabody tumo humu na vinatuhusu.
MKUU WA MKOA WA IRINGA ATOA VIGEZO VIPYA VYA WANAOTAKIWA KUPEWA VITAMBULISHO VYA UJASILIAMALI...
Serikali imekodi ndege ya ATCL ktk safari za rais nchi za nje hivi karibuni. Kwa muonekano wa haraka itaonekana shirika limefanya BIASHARA kubwa. Atcl inamlikiwa na serikali kwa 100%. Wataalamu...
Habari wakuu, naomba mnishauri katika hili. Niko mbioni kumaliza elimu yangu ya diploma ya Mechanical engineering, na baada ya kumaliza nitahitaji kutumia elimu yangu iweze kunipatia pesa. Je ni...
1,DAGAA WA BUKOBA
Dagaa hawa wanapatikana masoko mengi, hawa wanakua hawana mchanga kabisa, wanauzwa kg moja elfu nane huwa inashuka had elfu tano, hawa unanunua vifuko unapack unauza mtaani...
Habark za jioni wadau nimejaribu kuingia leo kwenye usajili wa kampuni nikafanikiwa kupata kitu hiki RAZU 51142 jee hii ni nini na natakiwa nifungue wapi ili niendelee kutafuta majina. Au...
Habari wana Jf as tupoelekea katika Tanzania ya viwanda nikaamini nitaweza na nitapata support yakutosha katika kufanikisha hili jambo hivyo basi nimefikiria juu ya kuanzisha kiwanda cha...
*TAFSIRI YA JEDWARI*
*1⃣Daraja LA kwanza utakua na watu 6 chini yako watakao kuchangia 10,000 kila mmoja na utapata jumla sh.60,000 kwenye simu yako. Kisha utatoa 20,000 utapanda daraja la pili...
MOTIVATION FOR THE INITIATIVE (CHINA BELT AND ROAD INITIATIVE)
China has several reasons to promote its new Silk Road plan. As the world’s biggest trading nation, China’s main interest is to...
“Habari zenu wkuu"
Naomba msada wa ufanuzi juu ya swala la thamani kati ya Kwacha ya Zambia na shilling ya Tz.
Mara nyingi nmekuwa nikisikia kuwa KWACHA ya Zambia haina thamani mbele ya SHILLING...
Hemu tujaribu fikiri kidogo hapa, wanasema ukiwa na pesa huna idea na ukiwa huna pesa unakuwa na idea.
Mifuko ya plastic imekatazwa sasa fursa ipo hivi...mie nasoma chuo mipango hapa mipango...
Habari wana jf, kichwa cha habari chajieleza nawasihi ndugu zangu msinywe maji haya ni chanzo cha madonda ya tumbo maji haya yanazalishiwa Shinyanga Ph yake ni acid ya 6 hivyo kuwa chanzo kingine...
Ndugu, kwa yeyote mwenye utaalamu katika manunuzi ya mtandaoni. Je kunauwezekano wa kurudisha muamala wa manunuzi ya kimtandao yapoje. Hasa kwa njia ya master card..
Nawasilisha kwenu. Ahsanteni