Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

As Salaam alaykum wote Ninatumai mko kati hali njema bi idni Allahi katika mwezi huu mtukufu wa ramadani. Mimi ninapenda vitu vyote vya real eastate. Lakini bahati mbaya sioni nchini miradi ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Looking for serious investor in order to register Construction company
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani napenda kuwatahadharisha kwamba muwe makini sana na bidha zinazotengenezwa na kampuni ya WESTPOINT. Nilinunua fridge mpya hivi karibuni Quality Plaza. Baada ya wiki moja ikaharibika...
3 Reactions
39 Replies
18K Views
Uchumi unakuwa kwa 7% Tuko vizuri kwenye Hatari.
4 Reactions
27 Replies
3K Views
SAFARI ya kwanza ndege za Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) kwenda Mumbai, India itazinduliwa Julai 17, mwaka huu huku dirisha la kukata tiketi kwa safari hizo tayari limefunguliwa rasmi...
6 Reactions
32 Replies
5K Views
Wakuu Nimepata safari ya kwenda Moron Comoro Kikazi Ila nataka kuitumia safari hii pia kuangalia fursa mbalimbali za biashara Naomba kwa yoyote anaejua mawili matatu anisaidie 1)ukiachia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Greetings folks, I am writing to air my disappointment with tiGo Tanzania data prices! Every day i pay Tshs 2000 for a 1Gb Internet Bundle! Surprisingly,Today i can only get 800 Mb at the same...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Waungwana niko hapa DRC na leo nimeona ni vyema kushare fursa za kibiashara hapa.. Kwanza kabisa napenda kuwafahamisha kuwa kuwa Mtanzania hapa DRC hasa hapa Goma ni ujiko,, wacongo wanatupenda...
16 Reactions
73 Replies
18K Views
Wakuu habari zenu, Mimi ni mkulima mjasiriamali, nalima mwenyewe na kuuza pamoja nanunua kutoka kwa wakulima wenzangu mazao mbalimbali na kuuza pia. Pia nafanya ufugaji wa Kuku na Mbuzi na hivi...
12 Reactions
21 Replies
16K Views
Asalaam Kama kichwa kinavosema. mwenyeufahamu au ambaye tayari amepata hii leseni ya usafirishaji bidhaa mbalimbali kwenda nchi jirani za Afrika Mashariki, naomba anisaidie kufahamu hatua...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hi mbinu tulisema tokea mkulu alivosema wale jamaa watabangua kwa meno
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habarini wadau napenda kuuliza nikitaka kuanzisha chuo cha computer ni vigezo gani natakiwa kuwa navyo na pia ili niweze kutoa cheti ni vigezo gani natakiwa kuwa navyo? Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nachukua fursa hii kutafuta mdau mmoja mwenye dhamira ya kuendesha biashara ya daladala, aungane nami akichangia gharama za uendeshaji tukiwa na makubaliano ya kugawana mapato. Mie Nina miliki...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Pasipo kupoteza muda, niende kwenye mada; Naomba kujua kiundani namna ya kuandaa hii Memorandum of understanding na Article of Association,pili naomba kujua endapo inaweza...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Dogo ndo kwanza ana miaka 27 ila ndo mcheza mpira tajili kuliko wachezaji wote duniani. Faiq ambaye ni kiungo wa timu ya Leicester city utajili wake unazidi wa Cr7 mara 27 wakati anamzidi utajili...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF..nauliza ipi rangi bora kutoka katika kampuni hizi..plascon, coral, goldstar, robbialac
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Anaeuza Anichek 0713099309
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habarini za humu ndani, naomba kwa mwenye uelewa kuhusiana na biashara ya vifaa vya magari na mapambo( spare parts&accessories) kuhusiana na soko lake hasa kwa majiji ya DSM na dodoma...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Nduguu zangu naweka Uzi huu kutak kujua xheria ya ukusanyaji ushuru nani anafaa kuripa ushuru huo kisheria ,nimeongea hivyo nikiwa na maana kunawafunga viungo ambao kazi yao n kufunga viungoo nao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf. Vp kuhusu biashara ya kuchakata Kokoto Dodoma kwa ajili ya ujenzi hali kibiashara ikoje? Mana baadhi ya Miji hii biashara imeshuka sana.Mwenye Uwelewa naomba kujuzwa.Shukran.
0 Reactions
0 Replies
462 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…