Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Modes naomba muulinde Uzi huu,nia na madhumuni kuanzisha thread hii ni kuwafungua macho wafanyabiashara na wajasiriamali wa Kitanzania juu ya fursa za biashara ndogondongo na za kati kati ya Ta...
8 Reactions
19 Replies
5K Views
Shilika la ndege la bongo limemwagiwa sifa ya kukamata karibia nusu ya soko lakini kiualisia sio na faida iko chini kwakua wanatumia ndege za Masafa marefu soko la ndani wakati ingekua soko la nje...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanzania tuna shida kubwa sana la ajira. Haswa kwa sisi vijana. Na kila mtu anakwambia jiajiri, na karibia wote wanaokwambia ujiajiri wanasema ujiajiri kwenye kilimo. Wakati huo huo bado kuna...
3 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakuu nawasalimu, Ama baada ya salaam naombeni ushauri wenu. Kuna frem ipo maeneo ninayoishi nataka kuilipia. Bado niko dilemma ni biashara gani niweke hapo kati ya butchery (Bucha) au salon ya...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Nashukuru kwa ushauri wenu wa nini kingine niuze katka ofisi yangu y mpesa nashkur wateja saiv napata lakin tatzo .....n kwamba lain zangu wamenicheleweshea sana mpaka sasa so nauza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna online shoping website nimeiona inaitwa BEROGENGE! Wamejitambulisha kuwa wana Ofisi pia DSM1 Naomba kufahamu kama kuna mtu anawajua na huduma zao!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naomba kuelekezwa namna ya kupata kitambulisho cha ujasiriamali vya rais Dr Magufuli Nini kinahitajika hadi ukipate, sehem vinapopatikana kama ni halmashauri au ofisi za TRA naomba kujuzwa
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, Naomba msaada kwa yeyote anaefahamu mahala naweza pata bunda kubwa za karatasi za Kaki au Nyeupe kama zile wanazotengenezea Bahasha yaani "Paper Rolls". Natanguliza shukrani...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Habari wajuvi wa Jf nimekuwa na matamanio ya kufanya biashara yoyote halali ili niweze kujikomboa kiuchumi na kupiga hatua kimaisha kama kijana katika harakati za kupambana kutafuta kianzio...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
siwezi ku-reveal particulars zangu zote hapa. mambo mengine tutaongea PM. Hii ni kwa mtu aliye serious tu. Habari wakuu. Nina kimgahawa changu kadogo maeneo ya dodoma mjini kuna movement kubwa Y...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu ni kampuni gani naweza nunua bitcoin, kwa urahisi, nataka kuwekeza kwenye cryptocurrency
0 Reactions
5 Replies
5K Views
sio kila mara unakula nyumbani. mara nyingine unalazimika kwenda kula migahawani au mahoteli. Ni experience gan mbaya ushakutana nayo? weka kero yako hapa. as for me, kuna siku nimeenda kula kwa...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Nadhani ujenzi wa reli ya kisasa ni jambo ghali Sana. Wakoloni walijenga reli kibiashara je SGR inajengwa kibiashara pia? Bidhaa zipi kutoka wapi zitasafirishwa kifaida kwenda wapi? Sioni mazao...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari zenu wana jf.... Mimi ni mhitimu wa wa chuo cha sokoine university of agriculture katika kutoka katika janga la ukosekanajia wa ajira nilikaa na chini nakupata wazo ambalo ninaweza...
3 Reactions
14 Replies
5K Views
Wakuu habari, ninaomba msaada kwa anayejua jinsi ninavyoweza kuwasiliana na Wakala yeyote wa SOKO LA HISA DSM, ninaomba kuwasilisha…
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa amabaee anaelewa Biashara hii namna ya kuagiza mzigoo toka Japan moja kwa moja na garama zake anaisaidiee maana mahitaji kuagiza moja kwa moja
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Mimi ni mnunuzi wa mtandao wa aliexpress mnoo Ijapo nina uzoefu kiasi huko kuna mambo hata kwangu hayakaa sawa kabisa Mambo yenyewe ni haya siyaelewi hasa discount coupun hii inakuaje...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu kwa mwenye uzoefu wa hii biashara nina mahindi yapo mbeya mimi naishi dar es salaam sasa nataka kujaribu kufanya biashara ya kusaga sembe kuleta huku dar kutoa mbeya mzoefu naomb msaada soko...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekaa hapa kwa mfanyabiashara mmoja naangalia jinsi anavyozalisha pesa kubwa kwa Pesa ndogo. Amechukua mzigo kwa@ 15,000 mpaka kuufikisha imemgharaimu@ 21,500 Thamani ya mzigo wote 210 * 21500 =...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Msaada ni aina gani ya biashara nayo weza kuanzisha chuoni na ikanipa faida.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…