Nina miaka mitatu kazini, ninapata mshahara mzuri sana ila sielewi mshahara wangu unaishaje, siwezi kutunza fedha kabisa, mshahara ukiingia utafikiri napandwa na wazimu kila kitu nitataka ninunue...
Kama unajua vizuri kuendesha gari nanunayo gari au unaweza kuikodi basi karibu inbox tufanye biashara.
Ndani ya week moja hadi mbili zitoshe mtu kufahamu kuendesha.
Tafadhali karibu
Sent using...
Jipatie taarifa na maarifa mbalimbali kuhusu sekta ya miliki kuu kupita jarida hili.
Soma Jarida la The Darproperty bure, fuata link hii The Magazine(March 2019)
Hatua zipi ili (Muuza) aweze kufikia wa wadau kwa kutumia jukwaa la "Mitandao?
Je! ipo kampuni rasmi inayopokea, kuandaa, na kuweka matangazo kwenye Mitandao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wanaJF? Nina imani tunaendelea vyema katika kutafuta mafuta ya kulainishia vyuma. Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kama unasoma hapa nina uhakika sio mara moja au mbili umejiuliza...
Hi there,
Look...I won't keep you long just take a look at what I'm making right now!
I recently joined a program that's been paying me each and every hour - without lifting a finger!
I just...
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kunijalia uzima ambayo ni zawadi kubwa huku nikitumai kuwa hata wewe u mzima wa afya, pia nikushukuru wewe kwa kufanya kosa hili la kusoma thread hii kwani...
Mwezi uliopita kampuni ya uzalishaji ndege yenye makao yake makuu france airbus, ilitangaza kuwa ifikapo mwaka 2021 itasitisha rasmi uzalishaji wa ndege zake kubwa za A380, walisema kwa masikitiko...
Mwezi uliopita kampuni ya uzalishaji ndege yenye makao yake makuu france airbus, ilitangaza kuwa ifikapo mwaka 2021 itasitisha rasmi uzalishaji wa ndege zake kubwa za A380, walisema kwa masikitiko...
Mwezi uliopita kampuni ya uzalishaji ndege yenye makao yake makuu france airbus, ilitangaza kuwa ifikapo mwaka 2021 itasitisha rasmi uzalishaji wa ndege zake kubwa za A380, walisema kwa masikitiko...
Habari !!, natumaini wote ni wazima wa afya bila kupotea mda acha niende kweye mada moja kwa moja!.
Wadau nilikuwa naomba ushauri wenu ,mm natarajia kumalizia chuo miezi ya hivi karibuni...
Wanajukwaa! Nina wazo la kuanzisha microfinance, kwa mwenye uzoefu au ufahamu juu ya hili, minaomba tusaidiane. Nataka kufamu kuhusu namna ya kusajili, mtaji wake na pia taratibu mbali mbali...
Wakuu mimi elimu yangu ni kidato cha 6,nina mpango wa kuanzisha kampuni yenye mtaji wa million 3. Biashara sio mpya, bali naongeza mtaji na kuifanya kampuni. Process baadhi nazijua, za kwenda...
Habarin wana jamvi. Niko na EFD Machine lakini kila nikiwasha inaprint Power Fault na haiendelei popote msaada kutatua tatizo hili.
Natangulza shukrani
Habari ndugu. Natumai u mzima wa afya kabsa,
Leo Ni siku njema kabisa ambayo ningependa kukushirikisha kitu kimoja ambacho vijana wengi wa kitanzania na Afrika kwa ujumla tumekikosa katika...
Wakuu katika zunguka yangu nimehamia mji mpya nashangaa nataka fremu niweke biashara yangu Dalali amenitajia Bei yeye badala ya Mwenye banda..
Wazoefu nielewesheni nimetoka kijijni nimezaliwa...
Wadau hasa wanywaji wa pombe, kwa anayejua anijuze ni kinywaji gani ambacho mtumiaji akitumia hakitamsababishia ugonjwa wa sukari kwa hizi pombe kali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bodi ya utalii Tanzania(TBT) kwa kushirikiana kushirikiana na taasisi ya Magnet Youth Sports Organization inatarajia kumleta mshambuliaji wa kimataifa wa Denmark mwenye asili ya Tanzania ambaye...