Hello JF,
Ningependa kujua jinsi elimu inavyosaidia ukuaji wa uchumi...
reason being,
watu huku mtandaoni wamekua wakilalamika Rais kununua Ndege na kuacha ku invest kwenye Elimu..
sasa kwa...
Naitwa salum nipo mkoa wa pwani wilaya ya mkuranga mm ni mjasiliamali wa kati na najihusisha sana na kilimo cha mpunga kibiashara nalimia kilombelo sehem za mbingu , mngeta , chita nk
Leo...
Wakuu heshima mbele. Hii ni post yangu ya kwanza kwenye hii forum. Nimekuwa nikisikia kitu kinachoitwa VIKOBA. Ni kama cooperation fulani hivi lakini siielewi vema. Kama kuna mdau anaufahamu na...
Habari wanna JF?
Ninaomba kuuliza,,, ukiwa na account ya fedha za kigeni Kama ya currency ya Euro [emoji387], Je, unafanyaje ili uongeze thamani ya pesa utakayoitoa kutoka kwenye account yako...
Hizi biashara zote zinategemea zaidi bahati. Japo zinatofautiana kwenye kiwango cha kutegemea bahati. Zote hizi mtu anaweza kwa kiasi akatumia uchanganuzi na kuamua afanyaje biashara...
MAPENDEKEZO YA HATUA ZA KUCHUKUA ILI KUIMARISHA THAMANI YA SHILINGI
Utangulizi
Shilingi ya kitanzania, kama zilivyo sarafu nyingine iko prone to exposure. Hivyo hatua za mara kwa mara za kila...
Mafanikio katika jambo lolote lile maishani mwanadamu analolenga kufanya hutokea nje ya uwanja wake wa faraja, kwa kimombo wanasema, “outside of your comfort zone”,. Unataka kuwahi kazini, shuleni...
Habari zenu watu wa Mungu. Sijawai kukwama Jf kwa majibu ya msaada. Nimeona bidhaa online huko china. (Villa store). Muuzaj anataka malipo kwa mastercard. Sion insurance ya malipo. Mwenye namna ya...
Ndugu zangu Jf napenda kumshukuru Mungu kwa siku nyingine tena ambayo ametuwezesha kuiona. Mungu azidi kukulinda na kukubariki popote ulipo na akuvushe katika kila gumu ulilonalo.
Moja kwa moja...
Wakuu habari za shughuli mbali mbali, leo nimevuviwa moyoni nianze kampuni ya kuuza nafaka na mambo mbali mbali, kampuni hii itajihusisha na kufungasha vitu kama vile dagaa,mchele maharagwe, na na...
Mara nyingi wengi wanaoingia kwenye biashara kwa mara kwanza huamini sana mtaji ndio kila kitu. Kwa imani hiyo, hujikuta mara baada ya kuingia kwenye biashara wanakuwa hawaweki nguvu nyingi katika...
Ukifuatilia matukio yanayoendelea sasa hivi Tanzania ni wazi kuna sehemu ndani ya ofisi zetu nyeti tumewekewa pandikizi ili uchumi wetu uyumbe kwa manufaa ya maendeleo ya nchi nyingine...
Gharama za kuingiza kichwa cha semi trela zinapatikana mtandaoni.
Sasa naomba kujua gharama za kuingiza trailer (maana hizi hazipo kwenye kikokotozi cha TRA)
Naomba kujua gharama za kuingiza...
Mimi ni mwanafunz wa chuo kikuu cha elim dar es salaam ila natafuta fursa nzur ya biashara ya kufanya wakat nasom kuliko kutegemea boom tu na kuiendleza kwa muda ambao ntakuwa metoka masomon ila...
Nina kuku wengi wakienyeji kutoka Singida Nahitaji kupata namba za mtu anaenunua kuku hapa Dar as salaam mfano kuku 40 kwapamoja na nimajogoo!!
NB: kuku mmoja 20,000/=
Sent using Jamii Forums...
"Tala ni app nambari 1 Tanzania inayotoa huduma za kifedha kwa wadau wanaotumia mtandao wa Tigo na Vodacom !
Tunakupatia mkopo mikononi mwako, wakati wowote na mahali popote. Pia ada zetu ni...
Nimeona watu wengi wakiongerea hiki kitu pia baadhi wakisema sio muimu kwa serikali kuendesha shirika ilo kibaya zaid ni kwamba inaonesha san ilo shirika lina endshwa kisiasa sio kibiashara though...