VITU VIWILI VINAVYOKINZANA KUHUSU MAFANIKIO YAKO.
Watu wengi wanafeli, watu wengi wanashindwa kufikia ndoto zao na hata kuanza hatua ya kwanza kuelekea ndoto zao kwa asilimia kubwa ni kutokana na...
Jamani mm ni kijana ambaye unapenda sana kujiajil sema nataka nifungue kama bar ya kunywa vivywaji mbali mbali ,Naomba mchanganuo wa ghalama zake
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Jarida la Bloomberg la Marekani limeeleza kuwa, takriban biashara nane kati ya kumi ambazo huanzishwa, hufa baada ya muda wa miezi 18 (mwaka mmoja na nusu). Takwimu hizi zinamaanisha kuwa katika...
Vitalu vya uwindaji wa kitalii 71 kati ya 159 vilivyopo nchini vimerudishwa na wawekezaji licha ya kuwa na idadi kubwa ya wanyamapori kutokana na sababu mbalimbali ikiwapo kuyumba kwa biashara ya...
Habarini wanajamvi
Mimi Niko morogoro ilah nilifika tanga mjini soko la mgandini nikakuta magari mengi malori ya Azam yamebeba vitunguu ,makabichi,nyanya na vitu vingine nkaambiwa kwamba vyote...
Mimi ni mmoja kati ya wanaojifunza hii biashara ya fedha za kigeni,
Katika kusomasoma vitabu na kupata uelewa kidogo kuhusu forex nimekuwa na sintofahamu moja ambayo nadhani kwa wale ambao kwasasa...
Wakuu ni naomba kwa waliomaliza kushugulikia biashara ya wakala wa niambie kipi kinahitajika hapa Kati ya lesen ya biashara na TIN?
Nisije sumbuka hapo mbeleni naanza shugulikia juma 3.. Nimeanza...
Kumekuwepo na drama nyingi kuhusiana na KOROSHO, binafsi nina swali langu moja tu napenda kujibiwa na serikali au mdau yeyote anayeza maana serikali wenda wasijbu kwa kukosa majibu au kudharau...
Habari wanajf! Naomba ushauri kwa yeyote mwenye experience juu ya mikopo ya wafanyakazi kutoka kwenye mabenki yetu hapa nchini, ni benki gani inatoa mikopo mizuri (hela kubwa kidogo na riba...
Salaam wanajukwaa..
Naomba kuweka uzi huu mfupi.
Ktk biashara kuna biashara ambayo bidhaa zake zinakwisha, na biashara ambayo haiishi.
Biashara ambayo bidhaa inakwisha ni kama duka, unajaza...
Naombe ushauri wana jf mimi ni muajiriwa katika kampuni flani hiv mshahara wangu unakidh maitaji yngu yote tatizo nililonalo ni mzito wa kuweka akiba kwa ajili ya maendeleo ya baadae. Sasa nifanye...
Pombe ya mnazi ni asilia, haihitaji chachu, inachachuka yenyewe. Kwa sisi watu wa Pwani hii pombe ni sehemu ya mila. Kwenye matambiko, posa au harusi ni lazima iwepo.
Hili nimeligundua hata kwa...
Habarini wana JF..?
Naomba msaada kufahamu mashine za kufumia sweta.
• Bei yake complete
• Aina ya mashine hasa iliyo bora
• Zinapatikana wap?
# Niko seriously kwa hili ndugu zangu
Kwanza nianze kusema kwamba sina neno baya na mtu yeyote anayejihusisha au kufundisha biashara hii. Ni biashara inayoweza kuwa mkombozi mkubwa kama itafanywa kwa ubunifu, umakini na uangalizi...
Naweza sema sijachelewa sana kuyajua haya machache yakiyomo kichwani mwangu kuhusu forex. Najua vizazi na vizazi watakuja kufaidika na hiki kidogo.
Kadri ninavyozidi kuifanya hii biashara ya...
Habari Ya muda wadau
Naweza pata wapi muuzaji wa rejareja wa mita za umeme(kama za luku) (kWh meters) sanasana Three phase
Mechanical type (za zamani)
Na Smart meters
Asanteni
Sent using...
Habari za wakati huu wakuu, Niwape pole kwa mampambano mnayoyaendeleza nje ya mitandao kila mmoja kwa upande wake akiamini atapata kile anachokipigania.
Bila kupoteza wakati nielekee moja kwa...