Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Katika harakati za kujiajiri kuna mambo manne ambayo endapo yataweza kukutana kwa pamoja basi suala la kujiajiri na kukua kijasiriamali litakuwa kama baraka kwako. Mambo hayo ni: a. Wazo sahihi...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Hii habari itakuwa ni mwiba kwa wale waliokuwa wanabeza ununuzi wa ndege kubwa ya Boeing 787 Dreamliner,pitia hii link Ndege kubwa zaidi ya abiria duniani kuacha kutengenezwa... Sent using Jamii...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kumekuwa na mafundisho mengi yanayosema ni vizuri kuandika busines plan kabla ya kuanza biashara/mradi,Lakin ukifuatilia kwa undani hakuna business plan hata moja ambayo huwa inaonesha kipindi cha...
7 Reactions
49 Replies
10K Views
ninauwezo mkubwa sana wa kutengeneza chai masala lakini nashindwa kuingiza sokoni kwa sababu ya viofungashio na elimu juu ya hii biashara na ukizingatia hii bidhaa ni bora sana na ni ya asili pia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
A Accountant Adventure Tourism Advertising Agency Advertising Copywriter Advertising Maps Advertising Sheets Advertising Specialty Sales Aerobics Classes Amusement Rides, Inflatable...
0 Reactions
20 Replies
13K Views
Wakuu nimetoka kuongea na Vodacom Naombeni wazoefu nisije tapeliwa na naambiwa nitumie simu nyingine nifuate maelekezo ili nitumiwe pesa nilizishinda Nimestuka Maana laini yangu ni mpya Ina wiki...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Naitaji mawazo yenu ndugu nina kazi ya kuniingizia kipato kidogo sana ambacho hakiwezi kusongesha maisha ya mimi na familia yangu kisipo pata sapoti kutoka vyanzo vingine .......Nina kiasi cha...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Wadau sekta ya usafiri wa anga imeyumba kwa upande wa shirika la Singapore airline la nchini Singapore taarifa zinasema shirika ilo limendika anguko la faida ya kibiashara kwa kiwango cha asilimia...
0 Reactions
3 Replies
715 Views
Hivi leo wanawake wamekuwa mstari wa mbele katika kuwahi na kufanyia kazi fursa mbalimbali. Fursa hizo ni pamoja na uwekezaji katika biashara ndogo na za kati. Ni dhahiri kuwa mama ndiye...
5 Reactions
20 Replies
7K Views
Habari wakuu. Baada ya kufanya majaribio ya bidhaa mbalimbali, napenda kushare nanyi kitabu kinachofundisha jinsi ya kutengeneza bidhaa hizi mwenyewe bila mwalimu. Kimekusanya bidhaa zaidi ya kumi...
6 Reactions
29 Replies
9K Views
Ivory coast bei ya korosho imetangazwa kuwa TS2580/=, tusisahau kuwa hiyo ndio nchi inayo lima zao nyingi la korosho duniani. Pia wamewarahisia sana ununuzi wadau Hii ni athari kubwa sana kwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Licha ya kwamba Biashara ya Usafiri wa pikipiki maarufu kama Boda boda kuwa maarufu kote Afrika Mashariki. Visiwani Zanzibar imepigwa marufuku na inafanywa kinyume cha sheria. Wale wanaojihusisha...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu salam, Nahitaji kujenga vyumba vya kupangisha kwa watu walio single yaani chumba na sebule ndogo na choo cha ndani. Nahitaji vyumba vitatu, nitatumia matofali ya kuchoma, bati za kawaida na...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jana nilibahati kakukaa wa wanazengo katika mitaa ya kati kujadili changamoto za kimaisha na hasa kwa wanaoishi mjini. Nimegundua kwamba maisha ni magumu kwa kila mtu sio mfanyakazi wala...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Najiuliza naomba tushirikishane uzoefu kuhusu nyumba za kupanga. Nia ni iwapo mtu anataka kujenga nyumba zaidi ya moja kwenye kiwanja kimoja, wapangaji wenye vipato vya kati na kuendelea...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nawasalimu kutoka jinini Mwanza, Mwaka jana nimeingia kwenye biashara ya kukatakata magari haikuwa rahisi kwa sababu nilikuwa sijui chochote kuhusu magari na ukizingatia ni biashara inayohitaji...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu, Mwaka jana nilianzisha kiofisi changu kidogo tu mtaani cha secretarial services (hasa kuprinti na kuscan kwani nilibaini kuwa nilipo ni njia kubwa ya wanachuo) baada ya kupata laptop...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Haya tena tunaopenda kula riba karibuni Leteni list ya mabenki na offers zao tuone zipi zinalipa in 3/6/9 and 12 months Leteni namba za percentage za hizo interests ili tujue ukiweka milioni...
3 Reactions
25 Replies
5K Views
Wakuu naomba mwenyewe uzoefu wa masafa ya mataifa ya Afrikaa anipe Bei ya nauli ya Burkina Faso ni usafiri gani mzuri niutumie Kuna mzigo naenda kufuatilia Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hellow bosses i hope mpo poa kwa anae fahamu njinsi au namna gani naweza kupata namba ya kampuni ya kufanya malipo kupitia mitandao ya sim mfano namba ya kampuni ya mbet kwenye mitandao ya sim ni...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…