Wadau,
Naombeni idea zenu kuhusu biashara gani naweza kufanya kati ya Zanzibar na Bara (ikiwezekana Dar).
Na pia kuhusiana na masuala ya kodi.
Mtaji ni kama 10m.
Shukran.
Nashkuru sana baada ya kupigwa ban nimepata adabu ya kuwaheshimu viongozi wa Jamii Forums.
Naomba mawazo, nina kamshahara kangu napokea kwa mwezi kanapitia NMB sasa nataka kuweka AKIBA kiasi...
HELLO!
Leo naomba tusaidiane suala moja, ni ukweli usio pingika kuwa ujasiriamali ni jambo ambalo linaweza kuokoa vijana katika tatizo hili la ukosefu wa ajira lakini kibaya ni kwamba vijana...
NIna tatizo linanisumbua la kuingiza maji ndani kupitia madirisha ya Aluminium
Mvua kidogo tuu ikinyesha maji mengi yanaingia ndani, tumejaribu kujaza silicon lakini haikusaidia, naomba mwenye...
Ni majuzi tu tuliambiwa na waziri pale mjengoni kuwa korosho itashuka bei kutoka 3300 hadi 2600 kisa imeshuka ubora[emoji16] lkn sasa someni hapo kwenye tangazo la dalali wetu
In God we Trust
Natural Resources and Tourism minister Ezekiel Maige (pictured) was again in the firing line here yesterday over what Members of Parliament described as deliberate mishandling of procedures...
Nianze kwa kujitambulisha kama mdau wa viwanda na kiwanda changu kina tumia kwa wingi unga wenu wa Azam Ngano.
hapo mwanzo unga wenu ulikua mzuri sana very soft lakini hivi sasa umekua mbaya ule...
Mama kwa hakika serikali ya Tanzania haikukosea kuipa cheti cha ushindi kwa mabus ya Tahmeed. Sasa Tahmeed wamezidi kudhihirisha kuwa wataendelea kuwa vinara kwa vipindi vyote na kukosa mpinzani...
Greetings,
Binafsi nilifungua malkia account kwenye bank ya crdb ambayo kila mwezi nilitakiwa kuweka elfu 50. Kutokana na sababu za kuumwa nilishindwa kuendelea kuweka hela km ilivyotakiwa. Kwa...
Habari wakuu.Naomba kufahamu namna ya kuexport raw cashew nuts ,ni documents gani unapaswa kuwa navyo na taasisi gani za kiserikali zinahusika katika utoaji wa hizo documents. ( Kwa sasa serikali...
Nataka niagize bidhaa china kuna mtu alinigusia Kua naweza agiza kwa kutumia hawa alibaba nimedownload app yao nakupitia pitia bidhaa ninazotaka nimeona bei ni rafiki kabsaa
Ila kitu ambacho...
Nchi ya Kenya wanajitahidi sana kufikiria na kupanga kipi wanachoweza kuuza katika nchi za ulaya na kwingineko,
Kikundi cha C-Weed Company and women members of the Kibuyuni Seaweed Farmers group...
Habari wapenda mimi naitaji kufungua biashara ya kuuza spea za pikipiki asa san na aujue nipo Songea ningependa mwenye uwelewa anisaidie kunipa mchanganuo wake na pia mtaji ni kama kiasi gani...
Ukanda maalum wa Uuzaji Bidhaa Nje ya Nchi (Export Processing Zones)
Mpango maalum kwa ajili uanzishaji wa uwekezaji unaolenga katika mauzo ya bidhaa nje ya nchi kwa ili ya kuanzisha ushindani wa...
Wazo la biashara ambalo hujalipima kama linakubalika ama la laweza geuka bomu la kukumalizia mtaji wako. Make sure you validate your idea.
1. Jaribu kuangalia kama kuna mwingine anaefanya...
Wadau habarini za Jumapili?
Tafadhali naomba kufahamishwa vizuri matumizi ya huu mfumo wa TANCIS, naskia Tanzania Customs Integrated System.
Je mtu akikwambia kuwa Stuck on Tancis ana maana gani?
Poleni na majukumu wadau na wanajukwaa.
Katika harakati za maisha, siku moja nimekutana na sarafu za DIME ambazo zilikuwa zinatumika katika Taifa la United States. Ni sarafu isiyokuwa na thamani...
Kipindi nikiwa Tanzania rate ilikua Tsh 20 = 1 Ksh, lakini leo muamala wa Mpesa ya Voda kuja kwa Kenya, rate inatumika Tsh 23.48 = 1 Kshs
Kwa dollar ndio imebamizwa chini maana naona rate...