kama nikishakuwa na business name halafu nikachukua tin halafu nikaenda manispaa kuchukua leseni ya biashara si nitakuwa tayari na uhalali wa kufanya biashara? au kuna kitu kingine naomba mnipe...
___MAKOSA KATIKA PESA__
[emoji383]MONEY MISTAKE 1
Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara. Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba...
Huduma ya Haven Ride Sasa Imeanza Rasmi mikoa yote Tanzania, ukiwa dereva au abiria nenda Playstore Download App yenye Jina Haven Ride, Mikoa ambayo tayari ina madereva Wengi hewani ni Dar, Dodoma...
natafuta mshirika wa biashara dar es salaam
awe na sifa zifuatazo
awe na stationary yenye internet cafe ndani yake
awe tayari kumiliki share za biashara tutakayoifanya
kwa maelezo zaidi...
Dar es Salaam — The precision of trading processes and standards at the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) Plc has attracted the attention of international observers, granting the 23-year-old...
Karibu KIMOMWE MOTORS LTD tukuagizie gari kutoka Japan na sehemu mbalimbali ,kwa bei nafuu kwa muda muafaka.
Tupo magomeni mapipa mkabala na kituo cha mwendokasi ,jengo la Rubeya gorofa ya kwanza...
Habari Wanajamvi! naomba Kujua Njia nzuri ya Kukuza soko la mikate Au Bidhaa yoyote. Kwa mtu anae subir Mteja aje Dukan Kununua Bidhaa.
Assuming other Factors are Constant.
Liko location nzuri...
wakuu
Nimepata frem kwenye eneo la shule mwanzoni wakati naitafuta nilikua nataka kuweka saluni ya kunyoa ila wameniambia saluni hapana maana lile eneo vyakula vinapikwa sana kwa hiyo itakua...
Msaada wa biashara ya Gym (Body Fitness), ili uweze kufungua gym bora ya kisasa unatakiwa uwe na mtaji wa sh. ngapi.
Nimeona fursa hii kuna sehemu watu wana huitaji wa gym yenye vifaa vya kisasa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Mimi ni mjasiriamali ambaye afanya biashara mtandaoni. Juzi nimepata mteja ambaye anahitaji bidhaa tofauti na zile ambazo nimekuwa nikiziuza. Jamaa yupo...
Habari za mchana wakuu,
Naomba msaada kwa wenye uzoefu na kodi za TRA. Nataka kuagiza bidhaa kutoka nje (China) kwa njia ya mtandao (Alibaba). Ni bidhaa tofauti kwa matumizi yangu binafsi ikiwa...
Source: Mtanzania aliyeshiriki kuunda Dreamliner kutunukiwa tuzo
By Elias Msuya, Mwananchi emsuya@mwananchi.co.tz
Dar es Salaam. Mtanzania aliyeshiriki katika uundwaji wa ndege Boeing 787-8...
Habarini za asubuhi ndugu zangu
Kuna kampuni inajiita enternal international wanajishughulisha na kupima mwili mzima kwa sh elfu 10 kisha wanakuuzia dawa
Hii kampuni ni network marketing ila wao...
Habari zenu Wakuu!
Natafuta mtu wa kunikopesha milion 3 kuna jambo nataka nifanye, na uhakika wa kumlipa ndan ya miez mi2 milion 3 na nusu.
Nitailipa kwa uaminifu mkubwa tu
Kiwanja kina hati ya...
Habari yenu wakuu, ni matumaini yangu mu wazima wa afya.
Kumekua na misemo na dhana kwamba wasomi wengi hawapendi au wanashindwa kujiajiri, na hutegemea kuajiriwa tu au kazi za mteremko...
Hii biashara inalipa sana, sema wamiliki walio wengi nao lazima wanaoja.
Je kwa mtu asiyetumia pombe hii biashara ni rafiki kweli? Kozi nimeona wengi sana ambao hawakuwa walevi ila wakianza hii...
ATI ni Association of Tanzania Insurers.
ATI waliweka tangazo kwenye magazeti mbalimbali wakitaka wamiliki wa hospital binafsi wawe wanachama wao ili waweze kufanya kazi na mashirika ya bima ya...