Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Is the second highest uninterrupted fall in Africa after Tugela-South Africa),located on the Kalambo river near the southeastern shore of L.Tanganyika on the Tanzania-Zambia border. Discovered way...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Kama uandaaji wa vitabu vya kodi kwa upande wa mfanya biashara je huandaliwa sawa na vitabu/makabati (samahani kwenye A/C ndivyo tulikuwa tunaziita) vya/ya income statement na balance sheet ?? Na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu katika biashara washindani ni watu muhimu sana na wana faida nyingi sana na moja wapo ikiwa ni kukufanya uongeze bidii katika biashara yako Na katika biashara kuna aina kuu Tatu za...
17 Reactions
18 Replies
4K Views
GREAT THINKER VIPI HAYA MATATIZO TUMEISHA YAPATIA UFUMBUZI? AU NA SISI NI SEHEMU YA MATATIZO? Hili jukwa limekuwa na Watu wanatoa michango mbalimbali na watu wanakuja na Aidea zilizo enda shule...
1 Reactions
29 Replies
8K Views
nani mkweli baina ya BOT na international data usd to tsh - Recherche Google https://www.bot.go.tz/FinancialMarkets/ExchangeRates/ShowExchangeRates.asp
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba msaada ni jinsi gani nitaweza kusajili nembo ya biashara online Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
3K Views
WAKUU WASALAAM! AU MWAGONA! MIMI NINAPENDA KUANZA MCHAKATO WA KUNUNUA MASHAMBA NIPANDE PARACHICHI ZA KISASA HAPA MBEYA MAENEO YA MPOROTO, ISYONJE, MBOZI. NAOMBA MNIJUZE CHANGAMOTO ZA HICHI KILIMO...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta wataalamu wanaoweza kuafanya tathmini ya bodi (board evaluation) na wanaoweza kutengeneza sera ya kutafuta fedha(fundraising policy) Wadau tusaidiane Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CFA (COMTAZ finance Africa LIMITED), we are the bridge between your project/business/ startup/Idea and finance, Never fail to reach your goals because of lack of capital or collateral. We are here...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakubwa! Kama kuna mwenzetu humu. Anaelewa ni wapi naweza kupata machine (mpya kama hiyo hapo chini) hapa Tanzania. Anijuze Vitu kama PRICES etc Product Description TDS-1821...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Bwana Joachim Wangabo amesogeza mbele kwa muda usiojulikana ziara yake katika Wilaya ya KALAMBO baada ya zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya Wajasiriamali kususua. Ziara...
0 Reactions
1 Replies
837 Views
Wadau, chekini taarifa ya fursa hiyo hapo chini kutoka TCCIA; Ndugu Viongozi wa TCCIA, Tunapenda kuwajulisha kuwa tumepokea barua kutoka Wizara ya Viwanda,Biashara na uwekezaji kwamba Ofisi ya...
3 Reactions
38 Replies
8K Views
Kwa masikitiko makubwa sana ndugu zangu ninaleta malalamiko yangu kwa serikali yangu Pendwa, Hivi mnatutaka nini wafanya Biashara? Hizi restriction Mlizoweka kila mahali kuwa na uhitaji wa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza kwa mwana jamvi yeyote Alie na uelewa na hii campuni ya Tpurchase ambayo inajihusisha na online investment Kisha kurudishiwa asilimia 40 ya pesa uliowekeza...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Private sector inajiendesha bila kutumia kodi wala kupata ruzuku. Ingini kubwa ya private sector ni kuwa holela, njia za mkato, ukwepaji kodi, utoaji ajira zisizo na uhakika sana na kutengeneza...
1 Reactions
3 Replies
888 Views
Mi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili nachukua shahada ya uhasibu. Wana JF nina mtaji sh. Million 5. Je naweza kuwekeza katika aina gani ya biashara na iweze kunilipa vizuri kwa miaka 2. Naombeni...
0 Reactions
71 Replies
20K Views
Za asubuhi wadau, Nilipata tender ya kumtengenezea mteja barcodes kwa ajili ya bidhaa fulani ambayo anataka kuiuza sokoni. Sasa nilitaka kujua - je kuna njia rasmi ya kujua whether or not bar...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu ,, Heri ya Mwaka mpya!! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,, ninae kijana wa kiume wa ndugu yangu ambae amemaliza darasa la saba mwaka Jana lakini kwa bahati mbaya hakufanya...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Heri ya Mwaka Mpya 2019! Kwanza natoa pole kwa madalali mliodhulumiwa pesa zenu na wateja. Pia natoa pongezi za dhati kwa madalali wanaofanya kazi zao vizuri na kwa uaminifu. Kuna usemi usemao...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Enyi wafanyabiashara au wajasiriamali,msipende kukatumia haka kaneno 'boss' mfano Karibu boss,umetaka ipi boss?, Ni neno ambalo linatumika in various environment. But let me be specific kwa case...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…