Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habarini wajenga Taifa, Nina mpango wa kufungua kampuni ya usafi, naomba mawazo yenu ninahitajika niwe na kipi na kipi? Yani ni vitu gani vya muhimu vya kuwa navyo au kukidhi ili kuweza...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Dreamliner likianza kupaa nje ya TZ likachote Watalii Nairobi na Johannesburg kisha breki ya kwanza KILIMANJARO kisha Zanzibar. Dreamlinee iachane na route ya Mwanza isiyo na Mashiko. Huko Mwanza...
5 Reactions
40 Replies
7K Views
Habari za kutwa mwana jf mwenzangu?. Leo nimefikiria jambo nikaona sio mbaya kama tukilijadili kwa pamoja. Tatizo la watu wengi ni kutokuwa na ujuzi katika jambo fulani hasa katika ukulima au...
3 Reactions
30 Replies
5K Views
Naombeni kujuzwa jinsi ya kufungua maabara kwa ajili ya kupima malaria, mkojo, na haja kubwa. Pia naomba kujua gharama za vifaa vinavyohusika na mtaji wote kwa ujumla.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanaJF? Nina imani tunaendelea vyema katika kutafuta mafuta ya kulainishia vyuma. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kama unasoma hapa nina uhakika sio mara moja au mbili umejiuliza...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Msadaa wakuu naomba munisaidie wapi nitapata karkade rosella kwa wingi bei ya jumla na bei zake tafadhali nahitaji sana
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana jf ni matumaini yangu my wazima was afya,naomba tafadhari naomba kujua makato pindi utumapo pesa kutoka NBC kwenda Benki zingine kama CRDB,NMB n.k Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nataka kuitoa huko Alibaba nipeni mchakato jamani Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Iapo serikali itawawezesha wananchi kurasimisha shughuli mbalimbali za kibiashara na kiuchumi na kuwa wezesha wajasiriamali kupata huduma za kitaalamu,mitaji pamoja na fursa za masoko ya nje na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini say Asubuhi wadau wote wa JF hususan wabobezi katika hii. kona maalum ya Uchumi, Kama kichwa kinavyojieleza, nimekuwa nikiona vitega Uchumi vingi katikati ya mji (kwa maana ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu... Kwanza niwashukuru sana kwa kusoma huu uzi. Nataka kufahamu hizi biashara za networking ni ipi bora zaidi maana kila siku inaibuka mpya juzi kati kuna jamaa yangu alinialika...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Naomba kuuliza hivi ela za Oman aina ya baisa INA maana hazitumiki huko omani na kwanini Tanzania wanakataa kubadili Baisa, Ila wanakubali Riyal INA maana baisa hazitumiki tena au hazitumiki tz...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habarin za mida hii, naomba kupata mtu/watu/taasisi wanaojihusisha na kutoa mikopo kwa riba nafuu, nipo Dar es salaam Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale wanaotoa bidhaa China au popote duniani, iwe nguo aina zote, viatu nk naombeni mmoja wenu atakaeniamini tufanye nae biashara,mi ni mwenyeji sana nchini Msumbiji, bidhaa toka Tanzania...
0 Reactions
24 Replies
13K Views
Hod humu jukwaan,..mimi n mjasiriamali ambae hapo mwanzo nlijisajiri na kupewa tin namba tra..na nimekuwa mlipaji mzuri tu wa kodi,..miezi michache iliyopita likaja tangazo la kwamba wote wenye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau naona zantel kupitia hisa 85% za Et El Salat imenunuliwa na Millicom ambayo ni kampuni mama ya Tigo Tanzania.Ila jina la kampuni litabaki kama Zantel na vile vile Serikali ya Zanzibar...
0 Reactions
44 Replies
11K Views
Habari za mwaka mpya Wana JF, mwaka ndo umeanza tutafte pesa kwa namna yeyote ile, Tuache uoga athari za umaskini ( dhiki) ni chungu mithiri ya Moto wa jehenamu.
22 Reactions
100 Replies
12K Views
Namtafuta huyu jamaa alijinasibu yupo Zanzibar anauza magari.Katika uzi wake alijinadi anauza magari.Sasa namba yake napiga haipatikani.Yeyote aliye karibu naye amfikishie ujumbe nna shida naye...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Na.amiri kilagalila mc.amiri,mr.mtaani Kwa mjasiliamali na mfanyabiashara yeyote Tanzania ukitaka uendelee kufanya shughuli zako kwa uhuru zaidi basi ujue tu lazima ufuate utaratibu. Ni kwambie...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Namaingo na mkakati wa kuunga mkono jitihada za Serikali kuboresha kilimo. Na, MOHAMED HAMAD-DAR ES SALAAM Serikali na mashirika ya umma hapa nchini, wamekuwa na mikakati mbalimbali ya kuboresha...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…