Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Hali ya sintofaha inayoendelea wilaya ya nachingwea ya kuhakiki mikorosho na wauza korosho Mtu mmoja aliitwa siku ya jumatatu apeleke risiti zake zote alizouzia korosho alipofika ofisi ya mkuu wa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu Nimeipitia hii thread na imenisaidia kuanzisha biashara kwa mtaji mdogo sana hasa kwa aaiye na uwezekano wa kuata mitaji mikubwa Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa - JamiiForums...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ujasiriamali ni shughuli inayohitaji ujasiri na uimara kiroho na kimwili. Kama unadhani kufanya biashara au Ujasiriamali ni shughuli yako ya pili au mbadala baada ya kukosa kazi unayoipenda basi...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimepata hizi habari ila sina uhakika nazo kwamba CBA bank wamepunguza interest rate from 24% to 21%, ingawa hii rate sio friendly pia ila kama wamepunguza nadhani ni wakati wa mabenki sasa...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Kwanza polen na majukumu, pia mungu ashukuriwe katika kutupatia uhai wa kila siku, Naanza na kuwapa ushauri wa kupanua biashara yako kimataifa, 1. Sister schools, Wale wenye shule ambazo...
8 Reactions
41 Replies
7K Views
Wakuu, Nahitaji kufungua duka kwaajili ya kuuza viatu vya kiume, walengwa ni vijana wenye umri wa kuanzia miaka 15 mpaka miaka 35. Hivyo naombeni ushauri wenu, ni jina gani litafaa kwaajili ya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ndugu wanajf wiki moja iliyopita nilikuja hapa na kuwashukuru kuwa baada ya kunishauri kuwa nifungue genge kwa kamtaji kangu kale ka sh.350,000/=.Nimefanikiwa kufungua genge kwa sh.100000/=na...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Habari wadau? Hivi ni biashara au huduma gani naweza kuianzisha mwaka 2019 na baada ya miaka 5 ikakua na ikafaa na kizazi changu kijacho. Mtaji wangu mpaka June mwakani naweza kuwa na cash 20M ...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za jioni wakuu, kwanza kabisa nipende kueleza hali halisi ilivyo huku mkoa wa lindi na mtwara kwa hali ya korosho wa hali kimsingi ni mbaya sana kiasi kwamba watu waliokuwa bado na korosho...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wasaalam. Wakuu kama mada tajwa hapo juu, Naomba kila mtu mwenye biashara ya ujasiriamali ambayo amewahi kufanya au pengine mpaka sasa anafanya. Dhumuni la uzi ili kila mtu apate mbinu mbadala...
2 Reactions
62 Replies
12K Views
Nawatakia Christmas njema na mwaka mpya Kwa ma mc wezangu wote
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KIJANA WA UMRI WA MIAKA 20+ AFANYE NINI KUJIHIMU NA MASUALA YA KIUCHUMI NA KIUWEKEZAJI? Mwaka ndiyo upo ukingoni , wengi wetu wakati huu pia tumeongeza umri kwenye namba za miaka yetu na wengi...
2 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari za muda huu wana jukwaa! Naomba kujua tafsiri sahihi ya mmachinga ambae ndie mlengwa wa kitambulisho cha umachinga! Swali langu: kama wewe ni mtumishi wa serikali mfano mwalim, au...
3 Reactions
31 Replies
5K Views
Hallow guyz, Ebhana mimi ni kijana mjasiramali lakini katika pitapita zangu mitandaoni nikakutana a video moja ya jamaa moja akiwa ana refine mawese kwenda mafuta haya yakina korie bila machine...
0 Reactions
14 Replies
10K Views
Hivi tofauti na ufugaji na kilimo idea kubwa ambazo zitakufikisha mbali zaidi ni zepi zaidi ya nyanja za teknolojia hususani ile ya mawasiliano. Kwa dunia ya sasa matajiri wengi wantokea kwenye...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Baada ya kumaliza form four miezi michache niliyokaa nyumbani ilikuwa productive sana nilifanikiwa kujiingizia hela nzuri sana kwa umri wangu kupitia biashara niliyohifanya ( forex) ila hii sio...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Natumaini wengi wenu mtakuwa mmegundua hali ambayo si nzuri katika biashara ya ushindani kati ya maji yenye chapa ya KILIMANJARO na maji kama UHAI na mengineyo. Hali iliyopo ni kuwa katika...
1 Reactions
38 Replies
8K Views
Habari wanajukwaa, Mimi naomba kufahamishwa jambo; kwa mfano ninahitaji kuanzisha kampuni ambayo itaitwa JIWE. Lakini malengo yangu hiyo kampuni ifanye biashara nyingi kwa jina hilo hilo la JIWE...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
*📚Tofauti Kati ya Mwajiriwa na Mjasiriamali* Kwa hakika kuna tofauti kubwa kati ya mwajiriwa na mjasriamali; tofauti hii inahusisha tabia, fikra, maamuzi au hata matendo. Kuna baadhi ya watu ni...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Dalili kuu 7 zinazoonyesha mtu ambaye atachelewa sana kufanikiwa. by Saidi Makini MAFANIKIO 1. Siku zote ana pesa za kununua vocha na kuweka vifurushi,ana pesa za kununua nguo lakini hana PESA...
2 Reactions
56 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…