Samahani nauliza kuhusu biashara ya gas kwa matumizi ya nyumbani.Ni vigezo vipi vinahitajika mpaka mtu awe wakala wa usambazaji wa bidhaa hii. Mfano wa makampuni ya Orxy gas,Majimas gas nk.
Nchi ya Kenya imekuwa kinara wa uchumi kwa muda mrefu kwenye ukanda huu wa EAC lakini hali yake inazidi kuwa mbaya kadri ya siku zinavyozidi kusogea ukilinganisha na majirani zake ambao wanakuja...
A Sri Lankan parliamentarian has alleged he was offered a $2.8 million bribe to switch his allegiance and support the country’s new government as the island nation’s political crisis deepens...
Hello wana jf wenzangu. Nahitaji kufungua ofisi ya kutoa mikopo midogo midogo kwa wafanyabiashara waliopo mkoa naoishi. Je ni taratibu zipi natakiwa nifuate ili kukamilisha ofisi yangu bila...
Naomba kuwashirikisha hii fursa, kwangu nina kisima kirefu chenye maji mazuri sana yaani yamepoa hayana test ya chumvi kabisa. Nimeona kuna fursa kubwa kwenye biashara ya kuuza maji, kama yupo mtu...
Ndugu wana JF nawasalimu,
Baada ya salam husikeni na kichwa cha mada,
Kama kinavosema nina shida ya kupata mkopo na nina dhama ya biashara na kiwanja na pia ninaishi kwangu yaani sijapanga...
Ndugu zangu humu jf nnajua humu kuna watu wa aina tofauti maboss wa mawizara na mabenk naomba muongozo wenu Mimi nikijana nimemaliza chuo tangu 2011,kwa kweli tangu nimemaliza chuo sijawahi kupata...
Habari za kazi ndugu zangu. Mimi hapa ni muhitimu wa chuo nimekuja kwenu kuulizia ni taasisi gani ya kibenk inayotoa Mkopo wa bajaji au gari aina ya carry(kirikuu) kwa kuwa ndio biashara ambazo...
Natamani sana kutoka kimaisha, niliplan kufungua biashara yangu flani hivi hadi kodi ya nyumba nikalipia ila nikakwama ikabidi ile frem niiuze ili nisipoteze hela zote bure, kuna biashara ingine...
Habari Wakuu,
Kichwa Cha Habari Hapo Juu Chahusika, Ni Mtumishi Nipo Kanda Ya Ziwa.
Tunahitaji Archives Boxes Kwajili Ya Matumizi Ya Ofisi
Naomba Kusaidiwa Anwani ya Mzabuni Ambaye...
Zijue nchi ambazo kwa sasa ndizo zinaongoza kwa kuwa na mazingira mazuri ya Kufanya Biashara duniani
1. New Zealand
2. Singapore
3. Denmark
4. Hong Kong
5. Korea
6. Georgia
7. Norway
8. US
9. UK...
Naamini ni wazima wote humu ndani, leo naleta taarifa yamkini baadhi yenu wameijua hii
lakini siamini kama kila mtu anaijua hii news, kabla ya kuelewa vibaya sifundishi what is bitcon au
how to...
Baada ya kupata mwanga kuhusiana na Epson printer, Sasa ni wakati wa kuagiza mzigo unifikie.
Kwa mujibu wa Jumia, Printer waliyo nayo ni mpya kabisa yenye Bottles 4 zenye wino wa kutosha...
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo nchini (TADB), Japhet Justine amesema benki hiyo imejipanga kuhakikisha uzalishaji wa maziwa unaongezeka hapa nchini ili kutoa fursa kwa...
Nina mkopo wa nmb ambao umebaki kiasi cha tzs 2,031,474.10 ambapo niliamua kwenda crdb kuona kama wanaweza kununua deni hivyo nilifika na afisa mikopo alinipigia hesabu akanambia naweza kupata tzs...