Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari zenu wanajf, Binafsi katika maisha yangu nimepitia changamoto nyingi sana za maisha kama kijana, Vijana tulio wengi tuna mawazo mazuri ila kikwazo kikubwa huwa ni mtaji. kama kijana ni moja...
0 Reactions
40 Replies
8K Views
Ndugu wapendwa napenda kujuwa kuhusu biashara ya fedha za kigeni (usd/ tshs) zinazofanywa kwenye mipaka yetu hususa Tunduma, nilipanda gari za IT zinazoenda mpakani, ndani ya ile gari kulikuwa na...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari zenu wanaJF Lengo la uzi huu ni ukuomba msaada wa mawazo pamoja na ushauri wa hiki ninachofikilia kukifanya, maana naamini humu kuna watu tofauti. Nadhani katika pitapita zenu mmekutana na...
0 Reactions
9 Replies
919 Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Jamani HUU NI MTAZAMO WANGU BINAFSI LARA 1!! (Hii sio dini na mimi sio nabiii so sitegemei wote mseme AMINA kuitikia pasi kupinga hoja yangu...
48 Reactions
187 Replies
26K Views
Naomba kuelemishwa Wana Jamiforums. Wiki iliyopita thamani ya Shilingi ya Tanzania ilikuwa $1=2450 leo thamani ya Shillingi ni $1=2498. Hivi kwa tarakimu hizo mfumuko wa bei umepungua au...
0 Reactions
2 Replies
876 Views
Kwa mtu anaefaham....nawezaje wekeza 50,000tsh??? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Wabari za kazi wakuu. Huko nyuma nilileta Uzi kuhusu TRA kunikadilia kodi kubwa tofauti na biashara, Nikachukua ushauri wenu wengi wakiniambia niende kwa meneja wa tawi lakin hakunielewa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Heshima kwenu Wakuu, Tafadhari naomba kufahamishwa Vibali vinavyohitajika ili mtu aruhusiwe kutoa huduma ya fumigation. Pia kama kuna taratibu zozote za kufuata au vigezo anavyopaswa kuwa navyo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
JE UNASHAURI MTU ANAYETAKA KUJIHUSISHA NA HII BIASHARA AANZE KUJIFUNZA NINI?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mr. Ali Mufuruki is the Executive Chairman of InfoTech Investment Group LTD, based in Dar es Salaam, Tanzania. The family owned Infotech Investment Group Limited has controlling interests in M&M...
5 Reactions
125 Replies
42K Views
Poleni na shughuli za utafutaji wajasiriamali. Mimi ni kijana mjasiriamali,kwa sasa natengeneza sabuni za maji na pia Niko mbioni kutengeneza za vipande na kisha mafuta ya ngozi na nywele...
1 Reactions
9 Replies
8K Views
Habari zenu wakubwa Nimepata line ya kuingiza sukari Tanzania baada ya kukutana na wafanyabiashara hiyo Dubai (sukari haitokei Dubai bali hawa jamaa wana base hapa) Naweza kupewa tani nitakazo...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habarini wadau Naomba were useful, njia ipi ni rahisi na bora kupokea pesa online ukiachana na Skrill, net teller wallets na western Union, Nani wengine ni Bora na hawana usumbufu? Sent using...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Fake S-26 Breast Milk Substitute invades East Africa Fake S-26 Breast Milk Substitute has been spotted being sold in East African supermarkets and shops. S-26 which is the most popular BMS...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Habari wakuu,, natumaini ni wazima wa afya njema,, kwa wenye matatzo Mungu awafanyie wepesi mpone tuendelee na harakati za kujikwamua kimaisha. Naitwa Brown Job wazo langu kuhusu biashara ya...
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Habari, Mimi ni kijana mwenzenu mwenye ndoto ya kufanikiwa nakufika mbali kimaisha na kusaidia watu wasiojiweza,watoto yatima,mama wajane,wazee wasiojiweza. Nimemaliza Chuo kikuu mwaka 2015,kwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau heshima kwenu.. Kichwa cha habari hapo juu kinahusika kwa asilimia zote 100% Wajuvi wa busness Nikiwa na mtaji wa Million 10 biashara gani naweza kuifanya nikiwa nchini Marekani?
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Kijiji Kimoja Alikuja Mchina Akasema Anahitaji Paka (Cat/ Nyau)[emoji250], Ananunua Mmoja Kwa Bei Ya 20,000/=, Basi Wanakijiji Wanahaha Kusaka Paka[emoji250], Wanawaleta, Mchina Ananunua Wote...
12 Reactions
19 Replies
5K Views
Habar wadau? Mimi nina kqmpuni,nina ofisi kubwa ,nina vibali vya kufanya kazi za serikali kweny taasisi zake! Wakati nafungua nilikuwa natafta wau nipate 10m kwa ajili ya biashara ya lending...
0 Reactions
5 Replies
748 Views
Naomba nifahamu changamoto na faida ya kufuga mbuzi kibiashara. Maana leo nimetazama kwenye TV habari kwamba mbuzi wa elfu sabini ameuzwa lakj na sabini. Hivyo nimetamani kufuga mbuzi kuanzia leo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…