Ndege mpya ya ATCL ya Dreamliner, inatarajiwa kuanza safari zake za tarehe 29 Julai 2018 kwenda Mwanza na KLM kwa kishindo baada ya tiketi kuisha mpaka za kufikia tarehe 18 Agosti 2018. Hongera...
Wakuu habari zenu...
Nataka kufungua kampuni ambayo itachangia sana kupunguza makali ya ukosefu wa ajira nchini Tanzania.
Tatizo ni kwamba sina hata dala mfukoni. Sitaki kushare idea hapa ila...
Freezer ya kisasa imetumika mwezi mmoja tu inauzwa UBUNGO Kibangu Dar es Salaam, ina teknolojia ya fast freezing, unaweza kugandisha au kutumia kawaida kama friji, ni size ya kati ina uwezo wa...
Wakuu habarini?naombeni ushauri wa kufanya biashara ya mahindi kutoka mbeya mpaka mwanza.
Ni hatua zipi za kiserikali natakiwa kuzifuata ili niweze kupata kibali cha biashara iyo.
Pia mwenye...
Nina wazo la biashara ambalo ni zuri na kwa mtaji wa m5 unawezo kuingiza laki 8 kwa wiki mbili au m1 kwa mwezi! Utapiga hesabu
Nimekwama kwa sababu Ya mtaji
Hivyo anae taka kufanya aje pm...
Habari wanabodi
Nina mtaji wa mil 5 naomben mawazo ya biashara ya kufanya.
Binafsi nawaza kufungua ofisi ya masuala nilosomea na ninayofanyia kazi, (professional office) then niweke na...
Wadau kwema??
Humu jamvini kuna Uzi mzuri na wenye mafundisho mazuri ya ujasiriamali ambao bro ONTARIO aliuanzisha kwa ajili ya kufundisha biashara ya fedha za mataifa mbali mbali. Sasa sijui...
mama muuza mbege wakati nachukua oda zangu nimekutana na mada watu wanataka kutrade forex.niwaonye tu walevi wangu hiyo biashara haina regulatory body .hela ikiliwa ni imeliwa hutoweza kushtaki...
Wasalaam great people
Ladies and gentlemen
Kuishi kwingi kuona mengi. Hakika tunaishi katika dunia amabayo tunaanza kuona watu wenye vipaji au hobbies zoa wanazigeuza kuwa biashara na hakika...
Kama bango linavyosomeka hapo juu weka order ya bidhaa uitakayo ambayo kama itakuwa ndani ya uwezo wangu nitakuletea mpaka DSM Ubungo kisha utanilipa gharama yake ya hiyo bidhaa.
Ukiwa seriously...
Mimi nimenunua simu mpya kabisa ya tecno,mkataba nimepewa ya mwaka mmoja ila nimeshatumia hii simu kwa Sasa ni mwezi kasoro na inanisumbua Sana upande wa spika & maik,Simu nimenunua tah.5/7/2018...
Habari wadau,
kama heading inavyojieleza ni kuwa natafuta mtu serious, narudia tena mtu seriuos wa kufanya nae partnership kwenye biashara ya Usafi wa maofisini na food products packeging. Tayari...
Habari za leo wanabodi.
Naomba kujua Jambo hili. Katika ukopaji wa kawaida huwa tunalazimika kuwa na Shaman ya Mali isiyo hamishika na pengine iwe na thamani sawa au zaidi ya kiwango cha mkopo...