Nawasalim kwa jina la muungano!! ,
Wakuu nina mtaji wa 20m nataka nianze biashara ya ng’ombe kutoka mikoani nakuleta Pugu DSM, naomba kujua ABC za hii biashara na kama inalipa au lah
Wadau wenye maduka kutokana na hali ngumu ya kiuchumi imeibuka tabia ya wateja kupenda kubandika bidhaa dukani yaani kulipia kidogo kidogo mpka amalize,sasa najiuliza mfano bidhaa nauza cash elfu...
Sababu ya mfanyakazi anaye hustle 24/7 kula 400k monthly huku Boss aliyekaa tu anakula 5M+,
oa wakuu wamiliki wa biashara wanatake risk! Yaani anguko lolote ni lake, we chako kiko standard, ko...
Sio sawa kusema kuwa kuna biashara ndogo, bali unaweza kufanya biashara kwa mtaji mdogo. Matendo yetu huongozwa kwa mawazo na fikra zetu, hivyo kuanza kusema biashara ndogo inaweza kuathiri...
Habari zenu wadau?
Natumai mpo salama na mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku. Mimi ni kijana mtafutaji. Tafadhali naomba ushauri kwa wale wenye ujuzi kuhusiana na suala la Studio za kuuza...
Ninayo app nzuri ya kupiga mahesabu ya duka.Inafaa kutumia wakati wa kufanya stock.
1. Unaweza kujua duka lako limekuingizia sh. kwa mwezi au kwa mwaka.
2. Inaonyesha thamani stock iliyopo dukani...
Mim ni kijana mwenye umri wa miaka21,
Nina mashine mbili moja ya kusaga na ya kukoboa mashine kubwa za kuzalisha unga wa kupeck.
Nina million kumi cash ya mtaji na mashine zipo complete kwa...
Kutunza taarifa za biashara ni eneo la muhimu kwa kila mfanyabiashara. Hii husaidia kujua mali ilyotoka, iliyoingia, mali zilizopo, madeni, mauzo na faida au hasara iliyopatikana.
Wengine...
Kwa Tanzania hasa kwenye miji mikubwa hili limekuwa tatizo kubwa. Wafanyabiashara wadogo tena wanaoanza biashara utakuta wanatumia hela nyingi za mtaji kuwekeza kwenye mwonekano wa duka badala ya...
A. Wastani wa faida kwa mwezi kwenye mauzo - 800,000
B. matumizi -
TRA (kwa mwaka) 300,000
leseni (kwa mwaka) 120,000
frem (laki 5 kwa mwezi) 6,000,000
Taka (elf 5 kila mwezi)...
Huu ni uzi maalumu wa kuelezea changamoto wanazopitia wafanyabiashara wa Maduka ya Rejareja almaarufu "Maduka ya Mangi".
Kama una Changamoto yoyote unayopitia andika hapa, hata kama wateja...
Wajuvi wa JF
Katika kufikiria namna ya kutoka kimaisha hapa mjini kujiajiri hakuepukiki maana ajira hakuna. Naombeni mnisaidie mchanganuo wa nini kinahitajika katika biashara hii.
Location nipo...
Wakuu wa JF
Kati ya biashara ya underwear, pochi, viatu vya kike na watoto na biashara ya phone accessories ipi ambayo una uwezekano wa kupata wateja wengi kila siku kwa maeneo ya uswahilini au...
Mafuta ya kuendeshea gari langu yanazidi kupanda bei. kwa wiki natumia elfu 70.kwa mwezi ni around 250,000. hapo sijafanya tripu za kutembelea nje ya dar ktk kusaka mashamba etc.nikipiga hesabu ya...
Karibu kupendezesha miguu kwa sendo kali na za kisasa. Kwa 15,000 tu unapata chaguo lako leo.
Kama unataka kwa jumla nakuuzia kwa bei ya punguzo kubwa kuanzia pair 5. Piga simu/WhatsApp: 0683535699.
Salute Bosses!!
Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwa wote waliobahatika kusoma uzi wangu niliouweka hapa miezi kadhaa iliyopita na tukaShare ideas mbali mbali za kibiashara. Lkn zaidi...