Habari zenu wana jukwaa.
Niende kwenye kiini Cha mada, Mimi ni mhangaikaji mwenzenu yaani ni mtu naisaka pesa popote inapopatikana ilimradi iwe njia ya halali.
Natafuta pesa bila kujali ni kazi ya...
Kuna siku nilileta bandiko hapa la Mdada gradute kuuza uji watu kwa kifupi povu liliwatoka na wengi unakuta wako mtaani na wengine wanaishi kwa shemeji na wengine wamejiriwa wanakula Kilo 3 na...
Kila mmoja kwenye maisha anataka mafanikio maana mafanikio yako ndio yatakayokufanya ushi maisha ya kifahari, uweze kumilijiki majumba pamoja na magari ya kifahari.
Lakini umetamani sana kutafuta...
Wasalam wakuu
Kumekua na faida chungu mzima za kununua bidhaa mtandaoni hususan eBay,Amazon,aliexpress, na wengineo
Leo naomba nije na maswali kuhusu hawa alibaba
Kiukweli mimi nina uzoefu na...
Nime import bidhaa na nimechajiwa VAT bandarini ila wateja wangu wa Zanzibar wakitaka ingiza mzigo zanzibar wanachajiwa tena VAT,
Nitumie document gani, ili wakionuesha wasichajiwe tena VAT??
Ukifika Dar Intl Airport na ukaingia pale FLAMINGO RESTAURANT kama upo makini utagundua movements zisizo za kawaida yaan kama kuna biashara isiyo ya kawaida inafanyika pale yaani kuanzia wahudumu...
Kwa wale wote wenye uhitaji wa fulanaa au manga Kali zilizokwixha printiwa zinapatikanaa hapaa kwangu nichek kwa nambar 0658176932or 0742036732 au unaweza nichek au kunifollow instragram follow...
kwa anae tumia ADVCASH ...ukishajiunga kuna sehem 3 za kujaza ile ya pili wanadai baadh ya vitu flani flani hivi ila kwangu nimeona nafuu barua ya utamburisho kutoka bank but nilipoenda bank...
Wadau ni njia zipi nifuate ili kufanya kazi na haya makampuni???
Pls kwa anayejua na aliyefanya nao naomba anaeleze.
N:B Pia mapungufu ya kazi hiyo mniambie wadau.
Kwa urahisi waweza ni sms...
Haya ndgu zangu wa kanda ya ziwa, tujumuike pamoja kupata mafunzo ya Forex yatakayoanza tarehe 20 November 2017 jijini Mwanza. Training hii itaendeshwa na wataalam wa hii business The Million...
Kwa kiasi kikubwa sasa biashara (Industry) mbalimbali zinakutana na mabadiliko mengi na yasiyotarajika na kutabirika (environmental uncertainty).
Ushindani katika biashara umekuwa mkubwa...
Hii habari ni mbaya sana kwetu Watanzania, lakini pia ni fundisho kwetu tujisahihishe kujua ni wapi tunapokosea katika mikakati ya kukuza uchumi wetu. India imeweza kuuza Tanzanite yenye thamani...
Habari wakuu, nauliza msaada wenu, hivi faini ya pale bandarini kwa siku ukichelewa kuclear gari lako ni shilling ngapi kwa siku?
Naomba msaada wenu,
Kuna gari nimeagiza lakin jana ilikuwa siku...
Utangulizi
Fuatilia maelezo ya kila mfumo ukitilia maanani faida na hasara za kila mfumo. Unaweza pia kumtumia mshauri wa masuala ya biashara kukushauri kulingana na mazingira yako utakayofanyia...
22.6m/- set for monthly innovative ‘green’ idea winners
BY DAILY NEWS REPORTER
12 APRIL 2018
Dar es Salaam online platform has introduced a sustainable social media platform...
Hivi viwanja vya Songwe Mbeya Vijijini kwanini vinauzwa kwa bei kubwa hivi? Kwenye makazi square metre wanauza 11,500/=. Hii ni ardhi ya Serikali au?
Kiwanja cha square metre 600 ni milioni...