Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Natafuta nyanya ambazo naweza kununua kutoka shambani.
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Salaam wadau Katika moja ya idea(project) zangu zilizo kichwani ni biashara ya kukodisha makokoteni, dhumuni kubwa la kutaka kuanzisha hii biashara ni kukuza au kutengeneza mtaji wangu mwenyewe...
5 Reactions
34 Replies
10K Views
Bank za Barclays barani Afrika kubadilishwa jina na sasa kuwa ABSA bank, hii ni baada ya Barclays ya Uingereza kuamua kuachana na biashara ya Africa na kuuza hisa zao nyingi za Barclays Africa.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Neutral The market did not do anything significant last week. In fact, the market has generally been choppy since February...
4 Reactions
2 Replies
470 Views
The latest Deloitte African PE Confidence Survey indicates that investors interest in TZ has increased from 52% in 2016 to 67% in 2017. This is good news
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habar wakuu Wiki 3 zilizopita nimeweza kufungua biashara ya miamala ya pesa (tigo pesa&m pesa) matarajio yangu ni angalau kwa mwez iniingizie si chini ya 50,0000 kwa mwezi Kabla ya kumuweka mtu...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Ukipata pesa leo halafu uka nunua kiwanja, usitafute pesa ya kuanza kujenga, bali tufuta pesa fanya kitu amabacho kitaingiza kipatao kingine kwa ajili ya kujenga kwenye kiwanja hicho, Ni Sawa...
36 Reactions
109 Replies
11K Views
Habarini wandgu? Nina simu ya smarphone na huwa natumia muda mwingi saana kutumia kwa ajili ya social media n.k. Nimejitathimini na kujiuliza je kupitia hizi social media zinazonyonya muda wangu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna uzi uliletwa humu kama sikosei ilikuwa tarehe 22 February uliosema kuwa fursa yakujipatia pikipiki mpya kwaajili yakufanyia kazi kutoka kwawaziri waviwanda nauwekezaji Ndugu Charles mwijage...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Je, mnajua ni kosa kwa watu binafsi kukopeshana kwa riba? Ni muhimu sana kwenu kulijua hili. Anakuja mtu anaomba umkopeshe hela.Unamkubalia lakini kwa sharti la riba ya kiasi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau; Ndugu yangu ako na 15,000,000 nahitaji biashara itakyompa profit isiyopungua 3m kwa mwezi.Je ni biashara gani inaweza kuwa na return hiyo Asnateni kwa msaada
2 Reactions
74 Replies
11K Views
Najua watz wengi tunapenda michezo mbalimbali na haswa huu mpira wa miguu. Na hiii imeenda mbali zaidi kufikia hatua ya watz wenzetu kuiona hii ni kama fursa kwao ya kujiingizia kipato kulingana...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Waslaamu, Naomba maelekezo kwa aliyewahiq kukopa katika mabank hapa nchini,kwa miradi ya kilimo cha kumwagilia na greenhouse. Nitashukuru kupata maelekezo yenu. Siku njema.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1.Mfumo wa kutokupeda kujifunza,sio wengi wetu wanao penda kujifunza wengi wetu tunapeda kufanya mambo bila hata kufikiria namna ya kupata maarifa ya kutosha kuhusiana nalo. Tanzania tunayo...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari za kuamka Wanahitajika wabia wanne wenye uwezo wa kuwekeza katia ya milioni 1.5 hadi 7 katika biashara inayohusu elimu.Matarajio ya faida ni kati ya shilingi 300,000 hadi 750,000 kwa miezi...
0 Reactions
1 Replies
829 Views
Wakuu nilikuwa na mpango wa Kuagiza mashine kutoka China na nisha pata hadi Proformal Invoice, Ila baada ya kuwasiliana na Ma agent walinipigia ghalama za kufa mtu ikiwemo kodi, Ikabidi nifuatilie...
6 Reactions
25 Replies
4K Views
Salaam Wakuu, Ni dhahir shair bila chembe ya kumung'unya kuwa uchumi umedorora, biashara zinafungwa na hali ya uchumi imekuwa ngumu kuitabiri Sabab mjasiriamali sio mwanasiasa ayo mengine...
8 Reactions
18 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…