Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Juzi nilikuwa napita pita maeneo ya mjini kama unavyojua Mkulu kesharuhusu wamachinga kupanga vitu, nikawa napita kutafuta saa moja hivi ya mkononi kwa ajili ya mdogo wangu. Nikapita eneo...
12 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu, salamu na pole na mishughuliko mingi, Kiukweli ukifika Ubungo kutoka Mataa- pandisha kama unaenda Kimara kipande chote kile mpaka ilipokuwa idara ya maji kifaa sana kumpata mwekezaji...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndg...Wana Jf...Mimi ni mkulima Nina pump mpya...Aina ya Sansan...ya petrol horse power 5...Natumai kuvuta majitoka bwawani kuna Kwenye Karo la Kumwagilia...Nashangaa Leo ghafla Mora...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jameni kwa ambaye anafahamu naomba msaada kuhusu hii biashara.Naomba kufahamu yafuayayo:- 1.Vifaa vinavyotumika na bei zake 2.Wapi naweza kupata matetials kwa bei nafuu hapa Dar 3.Bei ya kuuza...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za jioni ndugu zangu wapendwa. Ni jioni ya machungu Kwa jirani yangu muda huu anapokonywa vitanda makochi na kila kitu Kwa kushindwa marejesho ya maliyeshindwa mwezi mmoja tu. Mvua...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Uganda - 25% living below the poverty line. Tanzania - 29% living below the poverty line. Kenya - 46% living below the poverty line. Don't let GDP figures mislead you. I always tell my fellow...
0 Reactions
3 Replies
780 Views
Habari zenu wadau, Kama kichwa cha habari kinavyosema apo juu, naomba kujua faida zake na changamoto zake hii biashara ya baby diapers (Pempas watoto) kwa mkoa wa Dar na mbinu gani niweze kutumia...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Farm for Lease A 2.5 hectare brick fenced farm at Madale Kisauke in Dar is for Lease. The farm has a chicken house that is fully equipped with water drinkers. It can accommodate up to 10,000...
2 Reactions
2 Replies
602 Views
habari wana jamvi huu uzi ni mahususi kwa wale wenzangu na mimi ambao tunafanya biashara ya vitu used. Yani kwa mtu yeyote anayeuza kitu chochote used anaweza kuutumia huu uzi na kutangaza na...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nauza camera Canon 650D kwa bei ya shilingi 850,000 tu. Pia napokea exchange deal na Smart TV LG au Samsung picha za Camera zipo hapa ndani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani naomba kufahamu faida inayopatikana kwenye mifuko ya UTT inatolewa katika mfumo wa simple interest au compound interest; yaani faida inakuwa inajumlishwa na mtaji au usipo nunua vipande...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Habari wanaJF, Ningependa kugusia kitu kabla sijaenda kwenye swali langu. Tukikumbuka mwaka Jana ama mwaka juzi vyuma vilipo anza kukaza watu wengi walikuwa wakilalamika pesa imepotea mtaani...
0 Reactions
0 Replies
674 Views
Katika thread yake Ontario mwenyewe amesema yuko tayari kutoa training na mentorship kwa wakazi wa Mwanza, Kagera, Mara na mikoa jirani yenye uwezo wa kufika Mwanza. Anachohitaji ni kuji-organize...
9 Reactions
81 Replies
11K Views
Tuanze na BILIONI 1. Naona watu wanaitajataja sana bila ufafanuzi wa kueleweka. . . Kuna wanaoifananisha na mikopo Ya elimu Ya Juu, wengine darasa katika shule. . . Nk. . . Ngoja Mimi niiseme...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu heshima kwenu, Humu najua ni wajuzi wa kuelimishana mambo mengi, Kufuatia mabadiliko ya kibiashara kwa sasa, biashara zimebuniwa nyingi za kuingiza vipato, naomba kujuzwa faida ya biashara...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu wana jamvi kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,kumekuwapo na fursa nyingi tu zinazopigiwa upatu kuhusiana uwekezaji huu wa bitcoin au bet za tatu mzuka na biko ,hivyo nlikuwa naomba...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu, Naomba kusaidiwa juu ya tawi lolote la bank ABC kwa mkoa wa Mwanza nahitaji huduma zao.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Na Thadei Ole Mushi. Huwa nacheka sana ninapoona mawaziri wetu wakikimbizana na Ruge mikoani kuzindua kitu kinachoitwa Fursa. Najiuliza pale Mlimani wanafundisha nini? Najiuliza pale SUA...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwanza niombe radhi kwa uandishi wangu wa kijeuri ambao naamini wengi wenu hamkufurahishwa katika posti ya kuombwa kuuziwa gari la milioni tano ambalo naamini nimelikosa kwa sababu ya kauli na...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…