I don't know how to say b'se most of people. We struggle for poverty or financial problems b'se of ignorance and fear not the economy or government or other reason.
Poleni na majukumu ya hapa na pale wadau.
Leo nimewaletea fursa niliyoiona nataka tushirikishane ideas.
Iko wazi sasa hivi kuwa biashara ya mazao nchini imekua mbaya hii nikutokana na masoko ya...
Hatua ya kuamua kuingia katika biashara
Kuamua kuingia katika biashara ni majumuisho ya utayari wa kisaikolojia, kiakili, kiuchumi na kukabiliana na hatari au vitisho vyote vitakavyojitokeza...
Je kuna mtu yoyote anaeweza kunisaidia kuhusu kampun yoyote iliyoko tanzania inayojihusisha na utengenezaji na uuzaj wa mabus makubwa kwa hapa tanzania. Nnataka nifanye tathmin either kuimport au...
Nimepata shida ya ghafla biashara imeyumbaa. Si unajua msimuu wa Magufuli huu
So nina uhitaji wa Tsh laki moja au elfu 80 naomba mnikopeshe. Nipo kwenye kipindi cha mpitoo biash
ara imeyumba...
Imeripotiwa na gazeti la Mwananchi kuwa, bei za mafuta ya dizeli, petroli na mafuta ya taa zimepanda kuanzia Novemba Mosi, 2017.
Chanzo gazeti la Mwananchi: Bei za petroli, dizeli na mafuta ya...
The number of Tanzania’s centi-millionaires continues to grow substantially as economic growth in the country outstrips that of other countries in the East African region. Apart from the easily...
Kila ninapohamisha fedha toka bank kwa njia ya simu ni lazima niwe na salio la kawaida kwenye simu, tatizo ni pale ninaporuhusu kukatwa salio la kawaida ili muamala ukamilike salio linakatwa...
Wakuu,
Hivi kwa wale wenye ujuzi naomba kueleweshwa faida na hasara za kuregister biashara Brela kama partnership ama company. Ni vitu gani hasa inatakiwa kuviangalia (kodi? capital? aina ya...
Wasalaam wapendwa, husika na kichwa cha habari, naomba yeyote mwenye nia ya kunisaidia mkopo wa kiasi cha laki 3 nina shida ya dharura naomba anisaidie. Napatikana arusha.
Asante
Bila shaka neno uchumi limebeba maana nzito yenye tafsiri rahisi katika maisha ya watu. Porojo za takwimu za mtakwimu Mkuu huwenda ni sehemu ya maana lakini tafsiri itabaki kwa Umma.
Tumeanza na...
Watalaam wa madini naomba mnisaidie kujua aina hii ya madini. Mi ninayo muda mrefu ndan. Kila nikijaribu kuuliza kwa kila mtu sipati jibu la uhakika na je kama ni madini wanauza wapi ili...
Nimeamua kujikita katika biashara ya mboga mboga kama vile pilipili hoho, karoti na mboga za majani etc. Ningefurahi sana kufanya biashara na soko la Ulaya.
Natambua kua soko la ulaya linahitaji...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
The market consolidated from Monday to Wednesday and then dropped sharply on Thursday and Friday. There is a Bearish...
Habari wakuu,
Ninataka kuuza biadhaa yangu(machine ya umwagiliaji) yenye thamani ya Tsh 3 millions.Sasa makubaliano yetu ni kwamba watanilipa pesa nusu na nyingine watamalizia kulingana na muda...
Haki mmelogwa..juzi nlizungumzia QNET haya nasikia kuna hawa wengine soma vile wanajitambulisha
Questra Holdings ni kampuni ya Uwekezaji.
Kampuni hii ilianzishwa mwaka 2009 ikijulikana kama SFG...
Kilimo/ufugaji Mende kina soko kubwa sana nchini China. Sisi huku mende si tunawaua?
Kazi Ni kwako katika kutumbua jipu la umasikini.
======
Wapo wafugaji nchini China wanajikita na ufugaji wa...