Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kampuni ya Ante BV. ya Uholanzi inajishughulisha na utengenezaji na uuzaji wa mashine na Mitambo ya kilimo na usindikaji wa Maziwa na vyakula vinginevyo. Mashine hizi ni mipya kwa oda maalum toka...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Napenda kuchukua nafasi hii kuwataadhalisha Mihan gas kwa ujinga wa mipango isiokuwa na manufaa kwa jamii wala kampuni yenyewe Kwanza kabisa bado ni wachanga katika usambazaji wa mitungi na gas...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Baada ya Kukosa kazi nikawa nawaza. Unga kllo 50 kwa mwezi tsh 65,000/=, kwa mwaka 780,000/=. Maharage kilo tsh 2,000, kwa siku @265 530,000/=, nyama kilo 6500, kwa siku 100 650,000 (jumla siku...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Neutral Price went down on Monday and Tuesday, went up on Wednesday and Thursday, and came down again on Friday. This kind of...
2 Reactions
3 Replies
776 Views
Za mda huu wakuu, Naanza hoja bila kupoteza mda, Kwa kawaida huwa tuna siku za kitaifa ambazi watu huwa wanatumia kupumzika Au kutokwenda kazini lakini kwa wakati huo huo siku hiyo watu huwa...
0 Reactions
6 Replies
948 Views
Anajifanya kuwa ni mfanyakazi wa Airtel huduma kwa wateja kwa jina la Peter Dickson. Ukifuata anachokuelekeza unaibiwa pesa kwenye account yako ya airtel money.
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu nataka kujikita katika uagizaji wa spare za magari madogo na makubwa, tatizo sielewi hawa jamaa wa TRA wanachaji vipi kama unaleta used spare parts
0 Reactions
1 Replies
3K Views
The question above is common whenever I come across people who used to be traders. They started trading because they thought it was easy and because they thought they’d strike it rich...
6 Reactions
1 Replies
828 Views
Habari Wadau naombeni nisaidiwe kujua accounting package ipi ni bora kwa SME ili niweze kufanya maamuzi sahihi kuinunua!! Naweza kujua makampuni yanayouza hizo software hapa tanzania? Market share...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu Nina hisa zangu za NMB nilinunua 2008 ,sasa najaribu kuziuza sababu na shida ya pesa ila sasa ni mwezi wa pili haziuziki. Nawaza hakuna taasisi yoyote ya kifedha inayoweza kutoa mkopo na...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Uwekezaji Bora kwa Miti ya Mipaina/Pines na Milingoti/Eucalyptus. Uwekezaji wa kupanda miti unachukua muda mrefu kidogo ukilinganisha na mazao mengine ya nafaka hivyo toka muda wa kupanda inaweza...
1 Reactions
5 Replies
9K Views
House model desgnes. Contact 0763269695 For more information about house map with it's model.
0 Reactions
0 Replies
630 Views
Wana jamii, Nilikuwa na vifaa vya restaurant, je kwa hali iliyokuwepo sasa kweli inaweza kulipa? Vifaa vya kisasa ninavyo, mawazo yenu.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nina Kiasi cha Milioni 1.6 je nikianza kujenga room self naishia wapi?kiwanja nacho
3 Reactions
46 Replies
5K Views
Habarini ndugu zangu wana JF Mimi niko Dar es salaam na ninataka kufanya Biashara kutoka Zanzibar na kwa utafiti nimegundua Biashara ya electronics kutoka Zanzibar ni rahisi ila sijui ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanajamvi, Hapa Niko katika kituo cha Bus liitwalo FRIENDS jijini Kampala (Uganda) nikielekea nyumbani Tz. Ninachokiona hapa ni wafanyabiashara wa Ki-Tz toka Dar na Mwanza wamefungasha mizigo ya...
16 Reactions
75 Replies
21K Views
Wakuu, Ni kamapuni ipi inatoa bima kwenye mizigo inayosafirishwa kwa malori hapa nchini? Je gharama zikoje? Kwa anayejua tafadhari.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kumekuwa na makundi tofauti tofauti katika whatsapp yanayoibuka Ili kumvutia mtu awekeze pesa ili wajanja wazipige kwa kisingizio cha kutrade ili upewe mpaka 70%ya mtaji wako in 4days only...
12 Reactions
74 Replies
9K Views
*_TO BECOME SUCCESSFUL YOU NEED TO DO THE FOLLOWING :_* ● *_BELIEVE_* [emoji117] while others are doubting. ● *_PLAN_* [emoji117] while others are playing. ● *_STUDY_* [emoji117] while others...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninawasalimu kwa jina la Tanzania ya amani ndugu zangu walipa kodi,wafanya biashara,wanauchumi na wajasiriamali. Ni halali na wajibu wa kila mtanzania kulipa kodi kwa kila pato analoliingizaa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…