Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari zenu wakuu, Kuna mzigo nahitaji kusafirisha South Africa, nilikuwa naomba kuuliza kama kuna basi ambalo linafanya safari za Zimbabwe au nchi nyingine jirani na SA kisha mzigo ukifika...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Popular California Based E-Commerce Website StatesDuka Makes Its Debut in Kenya & East African Market USA to Kenya, Tanzania & East Africa Online Shopping and Shipping for $15 per KG by Air...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TBL Batch yenu ya tarehe 21 September, 2017 kwenye saa 4.13 hivi ina bia yenye ladha ya Apple nhisi ni Reds. Mnatuharibia kwakweli, hii ni bia ya Tatu wiki hii naikuta. Kakagueni niko Mbezi...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Maisha ya mafanikio na uhuru wa fedha ni jambo linalotafutwa na kila mmoja wetu, lakini ni wachache mno huwa wanafanikiwa. Hii ni kwa sababu kuna wanaotaka na wanaotamani mafanikio na uhuru wa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wahusika 20/10/2017 ni deadline na mliniandikia barua kuanza KULIPA Mwezi September Online. Nipo online tangia asubuhi kwenye TAX RETURN ELECTRONIC FILING SYSTEM Usajili is complete tangia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzanian entrepreneur is looking for business partners to join forces in exploiting a lucrative business in the DRC. PM to see the business plan.
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Wajuvi, Niko na shida naomba kuuliza njia gani naweza tumia kurekodi mauzo na manunuzi ya vitu kwenye biashara (duka). Ili niweze kujua nimepata faida au hasara kubwa or ndogo.
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Natumai mko salama, Dhumuni la Uzi huu ni kuwaomba wadau wote wenye Uzoefu na Usafirishaji wa Bidhaa mbali mbali kwenda Kuuza Nje ya Nchi, Haswa Bidhaa za Vyakula na Matunda. Ningependa Kujua...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wakuu! natumaini nyote ni bukheri wa afya ngoja niende kwenye mada moja kwa moja,kama wewe ni mtengenezaji wa bidhaa za chakula kwa mfano,unga wa lishe,unga wa mhogo au bidhaa za...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za muda huu wana Jamii forum, Mimi ni kijana ambaye nimechaguliwa chuo cha maji ngazi ya stashahada kozi ya Water Supply and Sanitation Engineering mwaka huu. Naomba mchango wenu wa tsh...
1 Reactions
78 Replies
6K Views
Wakuu habari za majukumu, Nina kiasi cha milioni mbili na nusu, naomba ushauri wenu kati ya haya mawili -Nina eneo kujenga chumba self kimoja cha standard ni milioni mbili na nusu, umeme, maji...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Benki Kuu ya Tanzania ndio taasisi yenye usimamizi wa taasisi za kifedha zifanyazo kazi nchini zikiwemo mabenki. Moja ya jukumu la Benji Kuu ya Tanzania ni kui endorse maafisa wakuu wanaotaka...
0 Reactions
1 Replies
851 Views
Biashara ya kuuza vifaa vingi hususani till za voda ni chanzo kikubwa cha utapeli kwenye ofisi zao. Vifaa vingi vinavyotumika kwa ajili ya kazi zinazohusu vodacom hutolewa bure lakini ukienda na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu mi nataka kujua ni aina gan ya bidhaa naweza kuingiza toka dubai kama nina milion nane je nauli na gharama za kwenda na kurudi zikoje
0 Reactions
9 Replies
13K Views
Wakuu habari, Naomba ushauri juu ya biashara ya maji ya uhai(chupa)na maji ya viroba ya Tsh.100. Changamoto ni zipi na maeneo gani ambayo naweza fanya biashara hii. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
17 Replies
16K Views
Wakuu, Kuna jamaa mmoja anaulizia kama mtu anaweza kufanya malipo online kupitia mpesa?
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nigeria wanaye tajiri mmoja anaitwa Tony Olumelu. Huyu bwana anao mradi maalum (foundation) kwa ajili ya vijana wa kiafrika wenye mawazo mazuri ya kibiashara (entrepreneurship). Kwa miaka kadhaa...
11 Reactions
33 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu,. Mwaka 2014 nilihitimu kidato ya sita shule mojawapo nchini, nikafanya application kuingia chuo kikuu nikachaguliwa kwenda kusoma course ya uchumi pale udsm. Kwa bahati mbaya...
18 Reactions
254 Replies
67K Views
Jamani kama siku tatu au nne zilizopita nilikuta kipindi TBC na RC Makonda alikuwa akiongelea juu ya kufanyika Maoenesho ya bidhaa zinazozalishwa Dar es Salaam. Anayejua taarifa yoyote kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima kwenu wana jamvi, Nahitaji kutengeneza mifuko yenye jina la biashara yangu kwa ajili ya kuwekea bidhaa za wateja wanaponunua vitu dukani kwangu. Naomba mnisaidie mawasiliano au sehemu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…