Wakuu habari za mda huu.?
Nimekuja jukwaani nikiwa naomba mchango wenu wa mawazo jamani muwe huru kuchangia...!
*nina laki moja 100000Tsh then nataka kufanya business jaman nifanye biashara gani...
Banki ya NBC Tanzania ninaomba muondoe kero hii.
Hatuna haja kutumia ATM kuweka hela kwenye akaunti. Nataka na ni maoni ya wateja wengi kwanini hamuendi kwa kasi. Tunataka tuweke hela kwenye...
Nina biashara mbili moja naifanya, hii ya pili bado nipo kwenye utafiti.
NINAHITAJI PATNER
Kwenye biashara ya pooltable ninalo moja kila siku linaniingizia 7000 (ndo hesabu nilompa kijana )ila...
Katika mambo ambayo yanaonyesha kwamba kampuni ina matatizo ya kifedha ni pamoja na kutokua na taratibu maalumu za utendaji wake hasa katika matumizi ya fedha.
Tatizo hili huwa sio la kushtukiza...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
This pair went upwards last week, creating a short-term bullish signal, before price got corrected lower on Friday. This...
Mambo vipi wadau naomba kuuliza namna ya kuanzisha Radio Station ni vitu gani natakiwa kuzingatia,taratibu za kufuata ni zipi na equipment zipi ambazo zinahitajika ilikuanzisha Radio Station ya...
Habari zenu wanajukwaa.Katika dunia ya leo kuna michezo ya aina mbalimbali kwa makundi rika tofauti.
Lakini kwanini mchezo wa golf unapendwa kuchezwa na watu matajiri,kuna siri gani katika mchezo...
Samahani kwa yeyote mwenye uzoefu na bei ya gari aina ya hiace ile super roof, nakusudia kuinunua ila nahitaji used ya kutoka nje ya nchi, japan au dubai, niinunulie yard sio kwa mtu.
kwa mwenye...
Naombeni kujua au msaada kuhusu hizi biashara ambazo wenyewe wanaziita online donation je zna ukweli ndani yake au ni ujanja ujanja tu mfano oilframe, global alliance, na zingine nyingi??
Asee hii Pesa inazidi kusogea juu iko 12,760,000 kwa 1 BTC muda huu kutokea Milioni Tisa, Wale wenye nazo its ur time to get profit by exchange it to local paper money.
Mi ni mkazi wa dar...nimekaa na kufikiria nianzishe biashara gani.nimetoka mtupu. Biashara za kila aina kila kona..nikaamua nifanye biashara ya vitu vinavyoisha faster na matumizi yake ni makubwa...
Leo nimepata nafasi ya kuandika waraka huu kwa ajili ya kuwakumbusha kidogo wafanyabiashara wenzangu na wajasiriamali wenzangu kuhusu dhana moja ya muhimu sana iliyopo katikati ya mauzo na...
Mahindi ndo zao kuu la chakula, na ni zao la Kisiasa.
Ni zao la kisiasa kwa sababu Serikali lazima ilinde bei.
Chakula kinatajwa kama moja ya Siraha za Mangamizi au Mapinduzi.Hivyo nchi nyingi...
Karibuni tushare issues mbalimbali zinazohusiana na fidia hasa wakati Serikali inahitaji eneo lako kwa ajili ya manufaa ya Umma
Unaweza kupakua hicho kitabu
YALIYOMO
Sehemu ya Kwanza...
It's real boaring kwa SUMATRA wa Dar yani daladali zinajipangia nauli tu ovyo ovyo na wako kimya mfano mdogo ni;
Makumbusho Gongolamboto.
Gongolamboto Mawasiliano
Gongolamboto Kariakoo...
Wakuu nina milionji 8.
Nipeni ushauri kwa Dar,
Kati ya biashara ya usafiri wa:-
-Suzurki Carry
-Bajaji
-Taxi
-Bodaboda
Na je hesabu yake kwa siku ipoje.
Stay Blessed
Wajasiriamali na wafanyabiashara wanatakiwa kujifunza ili kufanya shughuli zao kwa weledi unaohitajika katika kila hatua.
Bahati mbaya sana kuanzisha biashara kumeonekana kana kwamba hakuhitaji...
Orodha/list ya makampuni Tanzania. ina taarifa Zifuatazo :-
1. Jina la taasisi.
2. Jina la muhusika
3. Anuani ya posta.
4. Namba ya simu.
5. Namba ya nukushi.
6. Barua pepe
7. Tovuti.
7...