Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wakuu, naomba wenye ujuzi na uelewa katika maswala ya ujenzi na gharama za ujenzi wa nyumba mnisaidie makadilio ya gharama ya kujenga nyumba hii. Thank you in Advance.
7 Reactions
30 Replies
13K Views
Habari za mda huu wana JF, natumai mu wazima mnaendelea kuijenga Tanzania ya viwanda. Mimi ni mjasiriamali mdogo ambae nimeamua kujiajiri kwa kutengeneza viatu vya ngozi, ni biashara ambayo nina...
0 Reactions
1 Replies
919 Views
Habari za majukumu wakuu Kwa mwenye ufahamu au mtaalamu wa mikopo naomba kujua Kama inawezekana kutumia kiwanja kilicho pimwa kama dhamana ya kupata mkopo Benki kwa ajili ya mradi wa kilimo...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu habari?, Nina ndoto za kuwa mfugaji wa kuku wa kienyeji lakini tatizo ni mtaji. nimeamua kuweka angalau 10,000/= kila siku kwa miezi 6 ili niwe na mtaji wa kutimiza ndoto zangu,sasa basi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari yenu wana Jf. Nimechukua nafasi hii ilikuongelea mashirika ya simu kujiingiza ktk biashara za kutoa fedha na kupoke kama ma Bank na vile yanavyo haribu uchumi wa Taifa letu. Unajuwa...
0 Reactions
48 Replies
14K Views
Nimeshuhudia mara kadhaa wahudumu wa hizi biashara ndogondogo, ambazo hufanywa na watu wengi, hususan akina mama - hufanya makosa ya kimahesabu sana hasa kwenye kurudisha chenji! Leo asubuhi, kwa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Kama mtu anaishi nje ya nchi atafanyaje ili aweze kufungua account ya benki huko TZ
1 Reactions
0 Replies
789 Views
Salaam wakuu! Jajajomills we want to make it simple and clear, sembe na dona safi, inatengenezwa na Jajojomills tu. Hizo zingine ni lazima uchekeche kabla ya kutumia, uchafu kibao!! yaani ni...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Wakuu, Mwenye uzoefu na hizi Tritank (zinatengenezwa Arusha) za kuhifadhia maji tafadhali nijuze naona bei yake ipo chini kidogo ya Polytank na Simtank (za Dar). Shukrani kwa ushirikiano katika...
1 Reactions
12 Replies
11K Views
habarini wandugu, nina tv yangu ya mchogo ilikuwa inaonesha rangi vizuri ila saivi inaonesha rangi ya blue iliyochanganyikana na nyeusi kiujumla inaboa kinoma noma, sasa juzi niliileta kwa fundi...
1 Reactions
1 Replies
716 Views
Habari zenu jamani, nilikua naomba kama kuna mtu anajua njia rahisi ya kutuma mizigo kutoka Marekani kwenda Tanzania anipe mwongozo.Coz sielewi Tanzania posta wanatumia vigezo gani wanapo charge...
0 Reactions
21 Replies
11K Views
Habari zenuwana JF. naomba ushauri wa hili jambo Nilifungua biashara stationary ndogo tu mwaka 2013. Halafu mwaka 2014 kutokana na biashara kutokuwa nzuri nikaifunga. kwa kutokujua kuwa biashara...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Barrick, AGA on defensive By J. MWAMUNYANGE THE EAST AFRICAN Posted Saturday, November 29 2008 at 09:58 Two of Tanzania's largest mining companies have come out fighting over...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa wadau wanaoishi Marekani..haswa wa Houston. Kuna tetesi kwamba Dr Tenende wa Houston na wenzake wachache wako mbioni kuandaa mkutano wa diaspora ya watanzania wanaoishi marekani. Cha...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu kuna kitu kimoja nimekiona kwa wafanyabiashara wengi wa Tanzania ambacho naona kama kinaendelea na kuzoeleka kwa wafanyabiashara wengi sina uhakika kama wako sahihi lakini kwa mtazamo wangu...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wadau. Natafuta mjasiriamali wa kushirikiana kupanga nae fremu kwenye hostel za wanachuo udsm na kufanya separation ya fremu space via aluminium na kila mtu akafanya biashara yake...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wana jamii. Nahitaji taarifa au msaada wenu hasa wadau, wataalamu wa uchimbaji madini ya Dhahabu. Mimi ni Mtanzania lakini naishi nje. katika mazungumzo na sifa mbali mbali za nchi yetu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi nasikia Tanzania hii kuna madini mengi sana jamani na biashara ya madini watu wanatengeneza pesa sana mm nataka maarifa juu ya madini haya yanayo patikana humu nchi 1. Greenganet 2...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wana JF naomba kuuliza bei ya madini ya green amazonite na mtu mwenye kujua soko lake kwa hapa Tanzania. Ninaposema soko namaanisha ni wapi naweza kuuza au ni kina nani ambao wana"dili" na...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…