Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
This pair is bullish, though it only consolidated last week, moving between the support line at 1.1700 and the...
Isha wahi kukutokea una shamba au unafuga kuku au una Duka au una miliki basi la Usafiri au Mradi wowote ule.
UKO UNAFUGA KUKU
Unafuga kuku labda layers au Broiler na unawafanya kazi wawili au...
Habari Jf,
Nina msichana wangu wa nyumbani ambaye kwa kweli amenisaidia sana kwa miaka 2 na nusu aliyokaa na mimi.pamoja na kazi zake kufanya vizuri lakini pia hana kiburi au tabia za kuchocha...
Tanzania Q1 growth slows to 5.7% - CNBC Africa
Tanzanian growth slowed to 5.7 percent in the first quarter of this year, hurt by slower-than-expected performance of construction, transport...
Habari zenu wana jukwaa,
Ndo kama Leo tulivotangaziwa na tulivoona Leo ulikuwa ni uzinduzi Wa mradi mkubwa Wa Bomba la mafuta toka Hoima Uganda mpaka Tanga
Mimi kama mdau Wa sekta ya ujenzi...
Kama Ulisha wahi kutafuta taarifa kutoka google za biashara, Duka, Office lazima utaona majibu ya kile unachokitafuta yakiambatana ramani ya kile ulichokitafuta kutoka google.
Wakati mwingine...
Kwenye MAISHA bila kujali wewe ni MWEMA kiasi gani ni lazima kuna watu ambao hawatakupenda, bila kujali umefanikiwa kiasi gani lazima kuna watu WATACHUKIA mafanikio yako, bila kujali unafanya nini...
anaandika zingo
Mawazo ya HOFU ndani ya mtu hayana uhalisia na ni kitu cha muda tu, bali ni zao la TABIA za hofu tulizorithi au tulizolishwa kwenye jamii kupitia milango yako ya ufahamu na...
Wakuu salaam
Nipeni mchanganuo wa ujenzi wa nyumba yenye vyumba viwili na sebule chumba kimoja ni master
Na vyoo vya nje
Kwa hapa mwanza inaweza kucost sh ngapi?
Habari,
Mazingira yangu ya kazi ni kijijini nahitaji kujaza gesi ya lake pale Igunga mtungi wa kg 15 nauliza je bei ya sasa ya kujaza kg 15 ni bei gani. Nauliza nipate uhakika maana naagiza mtu...
Wandugu naomba msaada MTU mwenye uzoefu na Biashara ya max malipo, faida zake zikoje na utaratibu Wa kujiunga?
Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu habarii?
Naomba kwa MTU yoyote ambaye anafahamu hii biashara ya kuchukua move kwenye mtandao kisha kubarn na kuziweka kwenye CD, au dvd, namaanisha biashara ya aliyokuwa anafanya lufufu...
Ninayo good news ambayo napenda nikufikishie mtu wangu ambayo nimefikishiwa na Kampuni ya Mikono Speakers na wanapenda pia ikufikie.
Ninazo Complimentary Tickets zaidi ya 500 ambazo zitakuwezesha...
Wadau wale wataalamu wa mambo ya uchumi na ujasiriamali naomba kufahamishwa kuhusu Taratibu zinazotakiwa kufuata na kiasi cha mtaji wa fedha unaohitajika ili kuanzisha Microcredit Company hapa...