Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Njia za kufanya ili kutokuweza kuajiriwa bali kujitegemea.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakati hapa nyumbani viongozi wetu, wanafanya siasa za kitoto, kuchagua watu wasio na uwezo mkubwa kwenda bunge LA EA, China viongozi wamekuja na mradi mkubwa was biashara utakaounganisha nchi 65...
1 Reactions
0 Replies
758 Views
Naomba kwa mwenye uelewa wa wapi na kwa bei gani zao la Mwani linapatikana kwa hapa Tanzania,natanguliza shukrani zangu kwa wanajamiiforum wenzangu ahsanteni.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
je, unaifahamu supercomputer na faida zake kibiashara na uchumi? angalia video hii fupi kuhusiana na uwekezaji unaoweza kufanyika katika technology ya supercomputer kukuza uchumi na viwanda
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau wote jamvini. Radio mpya ya kisasa inategemewa kufunguliwa mkoani Tanga mwanzoni mwa 2015 hivyo tunaomba mawazo yenu kwenye jina la Radio. Tumeona ni vyema tukachanganya mawazo kwenye...
0 Reactions
86 Replies
9K Views
Kwanza niwape pole kwa kufungiwa utengenezaji wa kinywaji pendwa konyagi ndogo aka kiloba. Toka kiloba kimefungiwa hali imekuwa ngumu kwa wadau ukizingatia life ilivyo bana. Ushauri wangu ni...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wasalaam Wadau ninatafuta ushauri /mmbia wa kushirikiana tuanzishe day care maeneo ya Pugu. Nina eneo lenye fence ya ukuta na jengo dogo. ...kuna maji umeme liko barabarani na daladala zinapita
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair is bullish in the medium-term, but neutral in the short-term. Price tested the support line at 1.0850, closing...
0 Reactions
0 Replies
292 Views
Habari wana bodi, Unaruhusiwa kuuliza swali lolote linalohusu ujasiriamali na marketing/sales nawaahidi kuwajibu maswali yenu yote kama Mungu atakavyonijaalia. Pia hata kama wewe unaweza kujibu...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Wanabodi, Tanzania kama nchi, tunakabiliwa na tatizo kubwa la Wafanyabiashra wa Tanzania, kushindwa kuingiza bidhaa zetu kwenye masoko ya kimataifa!, tatizo ni nini?!. Mifano. Tanzania ndiye...
8 Reactions
107 Replies
9K Views
Wadau, Mimi ninamtaji wa milioni tatu nataka kufungua duka kubwa la mahitaji ya mwanadamu kama chakula na vitu mwingine. Naomba ushauri
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Samaki wabichi jumla na rejareja wanauzwa unaletewa mpaka ulipo Kilo moja:1kg(vipande vitatu vikubwa) 7 500 Kilo mbili:2kg(vipande vinne na nusu) 14,000 Kwa bei zetu za jumla ni rahisi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku za karibuni tumepata taarifa mitandaoni na kutoka Benki Kuu ya Tanzania kuhusu kufutwa usajili benki ya kibiashara ya FBME. Msimamizi wa Masuala ya Kisheria (Statutory Manager) wa FBME...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Leo biashara nyingi zimefungwa sababu walilazimishwa kulipa kodi walizokwepa hapo nyuma. Ni sawa! Lakini Madhara yake yamekuwa makubwa kwa Raia maskini, waliokuwa wanategemea vibarua kwenye...
2 Reactions
1 Replies
785 Views
Habari, Nimekuja kwenye jukwaa hili nikiamini kuna wataalamu wa kutosha na wenye uzoefu na mambo ya uchumi, kwa sasa serikali yetu aitoi vibali kwa watanzania kuingiza mahindi/sukari ndani ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama unajenga sasa au unataka kujenga ni vizuri kuyajua haya: 1.Kabla hujajenga omba ushauri kwa wataalamu wa ujenzi(Mfano wakandarasi) ili kuepuka kujenga nyumba isio na ubora kuepuka hasara za...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Wasalaam ndugu zangu, Leo katika pita pita zangu huku na huku kuangalia vichwa vya magazeti nimekutana na hii "Prof Mhongo kutia saini mkataba wa Tanzania kuuza mihogo China" kwenye gazeti lao...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
When I first went to university the initial week was filled with the usual getting to know the lay of the land such as how the library works (in a surprisingly mysterious way I might add), where...
1 Reactions
1 Replies
454 Views
Habari wana Jf, kwanza nitangulize heshima kwenu wana jamvi. Nimeuleta huu uzi kwenu kwasababu mpo active muda wote nina imani mtanisapoti. Nataka kuanzisha kiwanda kidogo cha kutengeneza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wenye uzoefu kwenye fani hii, naomba mnipatie makisio ya gharama za kufuga kuku wa nyama kama 500 hivi pamoja na breakdown ya Matumizi na faida. Niko tayari kulipia gharama kama kuna mtu...
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…