Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari zenu Waheshimiwa wote, Nilikuwa naomba muongozo wenu ktk hili,sisi ni vijana tupatao watano na biashara yetu ni kugema Ulimbo,tulikuwa tunasikia hizi tetesi kuhusu Saccos na tunataka kuwa...
0 Reactions
32 Replies
21K Views
SALAAM!. samahani wakuu kwa wanaojua jinsi ya kufungua paypal acount plz nina acount crdb na akiba sasa nataka kuopen pay pal acount ili niweze kununua bidhaa online thanx
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakuu Naombeni msaada, nataka nianzishe kampuni ndogo ambayo itakua inasambaza bidhaa flani Mtaji wangu ni mdogo sana, je naweza kutumia chumba changu kama ofisi. Sina ela ya kukodi frem
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika hatua ya uibuaji wa mradi (Project Plan), ni baadhi ya taarifa tu (facts and issues) hujulikana na zingine hazijulikani. Kutojulikana kwa taarifa hizi zingine (Unknown facts &issues/total...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Iko na extenal cd room yake ina ufa kwenye kioo haina ubovu wowote.aina ni asus.specification zake ziko hapo kwenye picha.ni Palmtop sio laptop. Bei laki 2 tu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuwait dinar ndiyo pesa yenye nguvu kuliko zote kwa sasa ambapo ukiwa nayo moja ni sawa na hii yetu(Tsh 5509)..ya pili ni Bahrain dinar ambayo moja ni sawa na TSH 4169..Ya tatu ni Oman rial ambayo...
4 Reactions
48 Replies
113K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish This pair trended upwards last week, briefly went above the resistance line at 1.0750, and then retraced southwards...
0 Reactions
1 Replies
469 Views
Habarini wakuu kati ya kuuza na kubadilisha mitungi ya gesi na kuwa na mashine ya kukamua juis ya miwa ipi iko poa kimaslahi?
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Wakuu,nina shamba la familia la ekari 4 lenye hati ya kimila tuliyopewa 2010 mwezi wa saba. Kulingana na hali ya kiuchumi ya sasa,ninataka niunganishe familia yangu yenye watu wazima 6 km kikundi...
5 Reactions
33 Replies
6K Views
Siku 100 za rais wa Ghana Nana Akufo Ado amefanikiwa kuimarisha uchumi alioukuta ukiyumba na kufanikiwa kudhibiti mfumuko wa bei kwa zaidi ya asilimia 12. Pia Ameidhinisha kiasi cha dollar milion...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari, Je, kadi za NMB zinaruhusu manunuzi ya mtandaoni kama amazon, aliexpress n,k? Hii ni baada ya kuwauliza wao wakanijibu ndiyo. Aliyewahi jamani jee ni kweli?
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Biashara zinazidi kudorora, mabenki nayo yanaendeleza kupunguza wafanyakazi. Gharama za uendeshaji zimekuwa adui wa maendeleo. Mazingira ya uchumi hayaruhusu kuendelea kama zamani. Tuna wasomi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hebu wataalamu naomba mnielekeze kidogo juu ya hili, mbona kila siku tunasikia currency kubwa dunian sijui ni us dollar, mara pound mara euro mbona najaribu kuchek exchange rate ya Oman rial...
1 Reactions
13 Replies
9K Views
1. The persuit of happyness: Movie ya will smith, ni nzuri kuona jinsi jamaa anapambana na vikwazo. 2. There will be blood: Daniel Day-lewis, naipenda sana hii movie. Jamaa alikuwa anachimba na...
11 Reactions
60 Replies
11K Views
Jamani nilitaka nisahau salamu Asalaam alykum ! Kuna MTU kakata tamaa ya maisha maana kila jambo analofanya haliendi na inafika kipindi anakosa hadi hela ya kula inamlazimu kuazima Pesa kutoka...
0 Reactions
4 Replies
845 Views
D’Day as Tanzania Central Bank Releases Tsh. 500 Billion Into Circulation… D’Day as Tanzania Central Bank Releases Tsh. 500 Billion Into Circulation… | TZ Business News
0 Reactions
2 Replies
983 Views
Msaa kwa hilo
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…