Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habarini wapendwa naomba kujua katika hizi siku kuu tajwa hapo juu mjasilia mali huwa anatumia njia gani kuuza bidhaa yake.Yaani awe na vigezo gani aingie ndani,asanten
1 Reactions
3 Replies
1K Views
ECONOMISTS wenzangu wa jukwaa letu pendwa la kiuchumi. Habari zenu wakuu ! CBA ndio uchumi wenyewe.. Naomba tushirikiane kwa wale wenye ujuzi zaidi jinsi ya kufanya cost and benefit analysis...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Karibuni Sana one2 one focus company Ltd tunajenga nyumba kwa bei nafuu Sana na kununua viwanja na kuuza viwanja kwa bei nafuu Sana pia tunafanya renovation na finish za nyumba (contact...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu. Nakuleteeni umuhimu wa kumiliki hii Card ya payoner ambayo ukisajiri leo utatumiwa kadi yak ndani ya wiki 3 kupitia njia ya posta,then utaverify kwa kuweka upya namba za siri ,utaweza...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
wakuuu habari,naomba msaada wa kuelekezwa wapi wanaburn CD ambazo zinzlakuwa na cover lake juu ya CD, pia nifahamu ni shilingi ngapi kwa CD moja, na wanauwezo wa kubarn CD ngapi kwa siku, msaada wadau
0 Reactions
1 Replies
701 Views
wakuu naomba mwenye Kujua machine ya kubarn/ print CD zenye cover juu, he naweza kupata wapi,na shilling ngapi,na na iana gani hiyo,napenda yenye uwezo wa kubarn CD mia moja kwa siku.msaada wadau
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Habari zenu wakuu Kuna mtu anauza kiwanja ambacho hakijapimwa maeneo ya Kigamboni eneo la muongozo - Shirikisho Tatizo langu kubwa ni kwamba sina jinsi/namna ya kumjua muuzaji au mmiliki halali...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wachumi mnisaidie tafadhari, eti kama uchumi unakuwa kwa 7% na mfumuko wa bei ni 7%, hii inamaana yeyote katika tafsiri za uchumi? #elimu #education #economics #
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Benki ya Dunia yasifu ustahimilivu wa uchumi wa Tanzania Benki ya Dunia imesema Tanzania inafanya vizuri katika sekta ya uchumi kuliko nchi nyingine jirani kama Kenya na Uganda kwa ukuaji imara...
0 Reactions
0 Replies
570 Views
Salaam, Mahali ninapoishi/wilaya haina mahala pa kusafishia picha, inawalazimu kusafiri hadi mkoani kwenda kusafisha picha hizo.Kwangu nimeona kama ni fursa, nnafikiria kuingia kwenye biashara...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Habari wana JR mimi huwa najiuriza swala moja " nyerere alifunga migodi ya madini enzi zake na kusema tutasubili watanzania wapate elimu juu ya madini haya waje wachimbe wenyewe". je hadi sasa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Speculation would first seem to be one of the easiest things on earth because you might think of making money by hitting bid and ask buttons for trading instruments of your choice. Hitting bid and...
0 Reactions
0 Replies
596 Views
Mwananchi limeandika jinsi treni itakavyoleta miujiza. Najiuliza, hivi miujiza ya mabasi ya mwendokasi ilishakuwa realised? Tuliaminishwa miujiza na mabasi, tuamini na treni? Ngoja tuwe na...
1 Reactions
1 Replies
935 Views
Wakongwe habari zenu Nani anaweza nisaidia kupata database ya Makampuni pamoja na NGO s zote zilizopo Tanzania pamoja na contact zake Kama kuna link ambayo tunaweza kuingia na kukuta list ya...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Hii ni kuashiria hali ya uchumi ni mbaya au imekaaje kaaje hii Ukipita maeneo kadhaa ya hapa mwanza town center mitaa ya Darajani utakuta matangazo ya kupangisha fremu za maduka miezi inakatika no...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu jana nilikuwa ktk pita pita zangu, ktk kijiji flani ngoro ngoro nikashtushwa na bei ya mahindi ambapo nilijaribu kuulizia bei ya debe moja nikaambiwa ni Tsh 28000.. kwa wastani wa sadolini...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba kuuliza kwa anayefahamu kuwa nikiingiza bidhaa iliyotengenezwa South Africa nchini Tanzania nitalazimika kulipia ushuru? auliza hivyo nikizingatia kuwa South Africa ni nchi ndani ya SADCC...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari wana JF, Naombeni kujua bei ya dhahabu kwa gram na mnunuzi anaenunua kwa bei nzuri. Nipo Dsm Nb: Dhahabu mbichi (sio mkufu, hereni au vito vya thamani)
2 Reactions
5 Replies
13K Views
Eti wadau aibu inayonikumba nahisi inanisababisha kufeli vitu vingi sana. Nawezaje kujiondoa na suala la aibuu ili kufanikiwa mipango yangu. Naombeni ushauri wadau natanguliza shukrani.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa mmujibu wa kikao cha management ya bank ya CRDB kilichofanyika jumatano tar 17 sept 2014. Kujaadili ufanisi wa huduma na utendaji kazi wa Bank hiyo kimeazimia kuzuia matumizi ya smartphone kwa...
7 Reactions
82 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…