Nina shida na kupata laini za uwakala tigopesa, airtel money na m pesa kwa bei nzuri
Ni sehemu gani ninaweza nikapata zenye jina langu na bei nafuu
Kwa sasa nipo Singida Itigi
Je Umewahi kusikia kuhusu Wordpress?
Kama hujawahi basi ni kujuza tu kwamba wordpress ni content management system(CMS) kwa ajili ya website.CMS ni mfumo maalum ambao unamwezesha mtengenezaji wa...
Wapendwa sana wanaJF, habari za asubuhi...
Siku chache zijazo nimefikiria kuanzisha biashara ya kuuza soda za chupa na za kopo (take away) kwa bei ya jumla na rejareja.
Mwenye uzoefu na biashara...
Igweeeee
Nimekaa nimewaza na kuwazua nifingue biashara gani ili maisha yasonge mbele hapa jijini
Wazo pekee ambalo naona linaweza kuwa tofauti kidogo na zile biashara za kuigana mwishowe kuanza...
Habari, Wakuu humu jamii forum
Simu yako ya zamani au unayoitumia unaweza kubadilisha na kuchukua simu nyingine, kutoka dukani kwetu kwa kuongezea pesa kiasi ili upate simu nyingine iwe mpya au...
Amani iwe nanyi,
Siku chache zijazo nina mpango wa kwenda kununua trekta mpya aina ya swaraj. Kama ulishawahi kumiliki au unamiliki, ni trekta ipi nzuri kati ya swaraj 855 nyota 4, swaraj 744...
Najua wote muwazima
Wacha nisonge kwa mada moja kwa moja. Nimewahi kuleta maandiko mbali mbali ya forex humu kwa siku za nyuma kipindi nikiwa naifanya nk
Kwa mara ya kwanza nimeijua mwaka 2013...
NYUMBA YA KISASA(HEKALU) INAUZWA.
Location : Goba
TAARIFA ZA NYUMBA
1) GOROFA YA JUU
--- V.I.P Masterbedroom yenye ukubwa wa 30sqm na imezungukwa na balcon upande wa kulia, kushoto na upande wa...
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Philip Besiimire (kushoto) akimkabidhi jezi ya Vodacom gwiji wa Soka Barani Afrika kutoka Nigeria, Nwankwo Kanu mbele ya wanahabari ambapo mwanasoka...
Wafanyabiashara Ngara Watakiwa Kurasmisha Biashara Zao Ili Kupunguza Mzigo wa Kodi Kwao
Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe (Mb) amewataka Wafanya biashara wilayani...
Mshindi wa wiki ya saba ya kampeni ya Vodacom Tanzania Plc ‘Ni Balaa, Kila Mtu ni Mshindi’ Elias Nakara (Kushoto), akipokea mfano wa hundi ya shilingi laki tano kutoka kwa Mkuu wa kanda ya...
Habari za Muda huu waungwana.
Kama kuna mtu/ kampuni ana magari na anahitaji mizigo (local au transit) au anapata changamoto kupata mizigo.
Ntumie mawasiliano yako PM tutawasiliana vizuri...
Position strategy is the process by which an organization identifies its strengths, assesses gaps in the market, and choose how to present itself to the audience and enter the market. Without...
Nipo kwenye tasnia ya waste material nina mkataba wa miaka 4 mikoa tofauti nakutana na malighafi mbalimbali ikiwemo vyuma chakavu, Paper waste, plastic waste n.k nimeanza hatua ya kwanza...