Mkufunzi wa Maswala ya Biashara Ndugu Felix Maganjila Akitoa Mada kwenye Mradi wa kuwejengea Uwezo wanawake Kwenye Ujasiriamali kupitia Taasisi ya Manjano Foundation. Mafunzo hayo yalianza wiki...
Tafadhali wakuu wenye uzoefu wa biashara ya kupika na kuuza ubuyu naomba mchanganuo hapa kwa niaba ya wanajf wote.
Mchanganuo uwe kuanzia upatikanaji, mahitaji, viungo, soko, upakiaji nk...
Karibu kwa jumla na reja reja. Tumeshusha mzigo toka Shamba. Tupo tandare sokoni. Ewe mkazi wa jiji la dar popote ulipo . tupigie 0682665574 au 0765054826... Huna aja ya kwenda temeka mzigo uko...
Wadau habari za mihangahiko.
Nimebahatika kusoma kitabu ambacho kinaelezea financial discipline and opportunities nikaona kitu kinaitwa Roth IRA je wewe wakijua??
Baada ya kusoma zaidi nikagundua...
Kwa wanaofahamu na waliowahi kusafiri kwenda china je kuna biashara ya simu used na kama ziko bei za simu kama
IPHONE 6
IPHONE 6S
IPHONE 6S PLUS
na nyingine za juu yake mwenye uelewa naomba...
Wakuu,
Kutokana na kufurika kwa soko la ndani la kitunguu kwa msimu huu,nimegundua hakuna namna zaidi ya kupeleka nje ya nchi.
Kampala inasemekana wana bei nzuri ila tatizo sijui lolote hapo...
Hapa pananichanganya sana, bado sijaweza kujua kutambua dollar moja ni sawa na shilingi ngapi ya Tz mana huwa naona watu huandika viwango mbalimbali,
kifupi nahitaji kujua jinsi ya kutambua...
Habarini za sahizi wana JF,
Kuna Tangazo hapa nimelisikia Kuhusu HISA,
Na wanasema kwamba HISA moja unapata kwa 400/=Tsh.
Naombeni ufafanuzi wana JF Kuhusu HISA,
Ipoje??
Nini faida...
Wapendwa natarajia kuanza biashara ya kuuza nguo za kike na ningependa kuagiza nguo online kwa Kutumia mtandao wa Ebay.Nimependelea Ebay kwa vile iko na vitu vizuri sana vya wanawake nivipendavyo...
Makamu wa Rais wa TCCIA Viwanda Octavian Mshiu akibadilishana nyaraka na Rais wa Chamber ya Biashara ya Uturuki
Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA) inatajia kufanya ziara ya Kibiashara...
Nilianzisha thread kuzungumzia hizi online media zilizochipukia siku za karibuni naona ilifutwa bila sababu yoyote ile.
Anyway nilichokuwa nauliza je kuna nafasi au fursa kwa zingine kuja kwenye...
Hapa kitaa kwetu Nyamalango vyakula baadhi ya maduka na magenge bei ni juu
Nyanya Moja ndogo 200-300
Unga Dona 1300
Sembe 1500-1600
Mchele 1900-2200
Sugar 2400
Mafuta Lita Moja (Korie) 3500...
Mishahara ya watumishi imeshuka ghafla baada ya bei ya unga kufikia sh 2000, ile ya maharagwe kufikia sh 3200 kwa kilo na kodi ya mapato kubakia palepale. Kwa vyovyote vile mishahara...
Umeenda shule ya msingi, umejifunza kusoma, kuandika na hesabu, ukaenda sekondari ukapewa maarifa mengine yawe ya sayansi, sanaa, biashara n.k
Umeingia mtaani unafanya mambo yako mengi tu lakini...
Kwa wataalamu kwa kuangalia kwa macho tu haya yaweza kuwa madini gani? Kama ni madini ya aina yoyote yale ukigundua nicheki DM au whatsapp +255785956171 ni muhimu sana , najua huku nitapata msaada.