Nakumbuka miezi kadhaa ya nyuma wakulima wa nyanya walizimwaga na kulisha ng'ombe mkoani Morogoro wakilalamikia ukosefu wa soko la badhaa hiyo. Mambo ni tofauti tena bidhaa hiyo imekuwa adimu...
US interested in Tanzanias plan to build new Mwambani port
By ORTON KIISHWEKO, 17th December 2010 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 226
THE American government on Friday expressed interest in...
Habari wana Jamii Forum kuna vitu kidogo sivielewi vizur kenye uchumi nami naomba kuuliza maswali mnisadie tafadhali.(mimi sio mchumi, napenda kujifunza kuhusu uchumi).
1. kuporomoka kwa shilingi...
Wanajukwaa habari zenu!
Mimi ni mjasiriamali sasa nataka kuingia kwenye biashara ya magari (usafirishaji), nina plan ya kuanza na semi moja. Nauliza kwa mnaojua ni vyema nikaanza na gari aina...
Habari wana JF.
Nahitaji kuingia ubia/mkataba wa usambazi wa bidhaa (Logistic service) kwa mtu yeyote mwenye maduka ya jumla ambaye huwa anawasambazia wateja wake (Retailers) bidhaa zake katika...
Wakuu kwa mnaotumia equity bank hii a/c Ya elimika inaruhusu kufanya online transaction km ebay, nk
UPDATE; napaswa kuwa na a/c ya ordinary ya kawaida ya sh 10000
shukran zangu za dhati kwa Mwl.RCT
Habari, mi ni student wa chuo na nina project nafikiria kuianzisha ambayo nimeifanyia utafiti wa kina. Natarajia kuifanyia kwenye frame ambayo pesa za kulipia hiyo frame ninazo so far and process...
Nimeenda kutoa hela kwenya ATM, baada ya kutoa nikaangalia salio ambapo ilionesha kuna Actual balance na available balance, amount ya actual ni kubwa kuliko available balance, naomba kujua tofauti...
Wakuu heshima kwenu.
Kama kichwa cha habari kinavojieleza naomba mnisaidie kumpata huyo mwana JF aliyeandika juu ya machine za kutengenezea mabati na nimetafuta ile thread sijaiona nadhani...
Hi wadau,
Nitaratibu gani zinazohusika.
Nataka kuimport mnyama WA kawaida wa kufuga toka nje,-nimeipenda mbegu, nifuate taratibu zipi, au niongee na swissport tu au
Pls help
Mafanikio kibiashara utegemea hatua za kimasudi
Na frank kadidi/MtotoWaMzeeWaSiku
Mtu awekapo dhamiri ya kujiingiza katika shughuli fulani akiwa na maazimio kuwa kupitia jambo hilo unafuu wake...
MASANJA MKANDAMIZAJI
AKILI YAKO UTAJIRI WAKO:
Laki tano, Mshahara wa Ma-Teller wa Benki hapa mjini Laki Tano, Bei ya TECNO PHANTOM mpya kabisa kwa kujishau Snapchat na Istagram Laki Tano, Bajeti...
Haya wale nduguzangu wa tanga...
Kuanzia jana mjini Tanga kuna supermarket mpya imefunguliwa inaitwa Mkwabi.
NASACO Building, Independence Avenue
M excited sababu bwana mambo ya kwetu maduka...
Habari zenu wakuu wa jukwaa hili,
Naomba kuelimishwa juu ya Biashara ya kimataifa kama ifutavyo:
1.Soko la dunia ninini?
2.Nawezaje kuuza bidhaa yangu nje ya nchi mfano:nataka kuuza Dengu India...
Kutokana na mwendelezo unaofanywa na hii mitandao ya simu nakusudia kuishtak kampuni ya tigo kitengo cha tigopesa kwa kutonirudishia hela yangu niliyokosea kutuma yapata miezi miwili iliyopita...
Habari wanajamvi,
Ikiwa mtu ni mwajiriwa serikalini ambaye anatoka kazini saa tisa na nusu jioni lakini pia mtu huyo ni fundi bomba wa kujitegemea.
Je, mtu huyo anaweza akatumia mbinu zipi...
Sijawahi fanya biashara ya kuvuka boda, sasa nataka nisafirishe mazao yangu nijaribu na soko la Kenya kama naweza kupata angalau faida maana huko Dar madalali hawana huruma na mtaji wangu.
Mwenye...